Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

Majibu ya Baadhi ya wanawake ukiwa na moyo mwepesi unaweza ukaungana na Khamis magunia ya mkaa au Mr Blue LUPANGO.
Hili tukio nalifaham vzr sana
Maana lilpotokea,shangaz yake huyu bint ni mama mmoja maarufu kino anaitwa mama kitungu,kuna alinipigia sim na kuniambia
Ukipata wasaa siku pita nyumban tuzungumze kna jambo limetokea ndiyo akanipa a,b,c,d
Hata hako kabint nakajua nshakaonaga kwake longtime ...
Wanawake waache uamcho juu,na wasipende kuwachukulia wanaume wengine poa au maboya
Wengine hujuwi wanawaza nini au shuguli zao ni zp
Ngoja niishie hapa

Ova
 
Naiona PROVOCATION hapo toka kwa marehemu. Majibu yake mabaya ndio yaliyosababisha mauti yamfike.

Baada ya hasira kumfika mshtakiwa, kikafuatia kitendo cha mauaji, ambacho kwangu nakichukulia kama Involuntary Act.

Hii hukumu ya mshtakiwa kunyongwa mpaka afe ni kubwa sana.
 
Hawa mbwa Wana dharau sana.
 
Tupe story kwa ufupi mrangi, kuna la kujifunza hapa.
 
Hapo kuna element ya extreme cruelty,

Alimchoma kisu hakukitoa mpaka akahakikisha amefariki.

Hayo ni mauaji ya kukusudia.
 
Inategemea, hiyo inaweza kuwa PRE-MEDITATED MURDER, alikuwa na kisu cha nini kwenye gari? Siyo hivyo tu, judge ana uwezo wa kuamua ni first degree au second degree depends on circumstances kama vile mshtakiwa ali-cooperate au haku-cooperate, huyo Mr. Blue ni wazi haku-cooperate na prosecution side na wapelelezi, hivyo akawasumbua sana.
Umesema first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty? Sawa! Unaona kukata mwili wa binadamu mwingine vipande vipande siyo "Extreme cruelty? Acha kutetea uovu......Huyu jaji kafanya sawa sawa.
 
Uovu ni uovu tu, wanaume tuwe wavumilivu, kama mke au hawara yako kakujibu isivyo, kwanini usiondoke au umwache au uvumilie na mzungumze? Sasa kuua kumesaidia nini? Anaenda kunyongwa......Hasira hasara, ujaribu kujicontrol.
 
Mkuu, kwa sheria zetu, Tanzania hatuna classes za murder kiwazi wazi, ila tuna mauaji ya kukusudia na mauaji ya kutokusudia (murder v manslaughter). Ila unachosema kina mashiko, kwa maana nia ya jamaa kumuua huyo mwanamke haionekani kuwa ilikuwapo, ni alifanya kwa kushtukiza tu kutokana na hasira.

Ila sasa ili kutumia hiyo ya mauaji bila kukusudia ilibidi jamaa akubali kuwa aliua ila hakukusudia. Kwenye utetezi wake yeye anasema anamfahamu marehemu kama mteja wake wa mabegi na hajawahi kuwa mpenzi wake na kwamba hakuonana nae siku hiyo.

Ngumu hapo kuleta hoja za kuua bila kukusudia, kwa kuwa mshtakiwa hakiri kuua.
 
Uovu ni uovu tu, wanaume tuwe wavumilivu, kama mke au hawara yako kakujibu isivyo, kwanini usiondoke au umwache au uvumilie na mzungumze? Sasa kuua kumesaidia nini? Anaenda kunyongwa......Hasira hasara, ujaribu kujicontrol.
Hiyo wewe na mimi tunaweza
Kuvumilia ila kwa wengine hawawezi na hiyo inategemeana na historia ya hyo mtu

Ova
 
Hatuna mambo ya first degree na second degree
 
Ingeweza kuwa manslaughter kama jamaa mwenyewe angekiri kuwa alimuua marehemu ila hakukusudia, sasa mahakamani yeye amekataa kabisa kumuua, wala kuonana na marehemu siku hiyo na ilhali watu wanasema walimuona siku hiyo akiwa na marehemu. Mazingira yamempiga pin jamaa ndio watu wakaruka na murder
 
Ingeweza kuwa manslaughter kama jamaa mwenyewe angekiri kuwa alimuua marehemu ila hakukusudia, sasa mahakamani yeye amekataa kabisa kumuua, wala kuonana na marehemu siku hiyo na ilhali watu wanasema walimuona siku hiyo akiwa na marehemu. Mazingira yamempiga pin jamaa ndio watu wakaruka na murder
 
Hapa msanii mr. Blue akikomaa jamhuri inaweza kumlipa fidia, haiwezekani jina langu la kisanii,lililo nitambulisha kitaifa na kimataifa lije litumiwe na mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili, kwanza hapa mimi kama msomaji niliingiwa na taharuki kuwa mr. Blue ninaemfahamu kweli kafanya ukatili huu wa kutisha,pili limemchafua kimziki nk, jamhuri ilishindwa vipi kutumia jina lake halisi tu bila kutumia AKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…