Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

Hapa msanii mr. Blue akikomaa jamhuri inaweza kumlipa fidia, haiwezekani jina langu la kisanii,lililo nitambulisha kitaifa na kimataifa lije litumiwe na mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili, kwanza hapa mimi kama msomaji niliingiwa na taharuki kuwa mr. Blue ninaemfahamu kweli kafanya ukatili huu wa kutisha,pili limemchafua kimziki nk, jamhuri ilishindwa vipi kutumia jina lake halisi tu bila kutumia AKA?
Amelisajili hilo jina? Ila hapa alaumiwe mama mkwe wa jamaa kwa kumuita Mr. Blue😄😄
 
Hili tukio nalifaham vzr sana
Maana lilpotokea,shangaz yake huyu bint ni mama mmoja maarufu kino anaitwa mama kitungu,kuna alinipigia sim na kuniambia
Ukipata wasaa siku pita nyumban tuzungumze kna jambo limetokea ndiyo akanipa a,b,c,d
Hata hako kabint nakajua nshakaonaga kwake longtime ...
Wanawake waache uamcho juu,na wasipende kuwachukulia wanaume wengine poa au maboya
Wengine hujuwi wanawaza nini au shuguli zao ni zp
Ngoja niishie hapa

Ova
Acha tu mrangi ,wanawake wanachukulia wanaume poa kisa tu wameonyesha mapenzi kwao na kuwaona waduanzi wanaweza wakawapelekesha watakavyo ,wanasahau kwakmba binadamu ana point peak ya uvumilivu ,maji yakimfika shingoni home panageuka UKANDA WA GAZA au strait og hormuz.
 
Movie zinawadanganya sana

Kuna series moja inaitwa Dexter kuna dogo alifanya mahuaji humu akaukatakata mwili vipande sita akaviweka kwenye mfumo akaenda akviweka sehemu wanayowekea taka
Shetani ananguvu sanaa

Sawa umeshaua sasa nguvu ya kumkata kata binaadamu mwenzako vipande vipande unaitoa wap? Ujasiri huo unautoa wap?

M/Mungu anihepushe inshaAllah
 
Huyu jaji feki nini? Yaani jaji anashindwa kutofautisha kati ya ‘Murder in the first degree) na ‘Murder in the second degree’?

Huyo hakupanga kufanya mauaji, bali alishtukizwa na mazingira, na adhabu yake sio kifo.

=========================

Murder in the first degree is the most serious form of homicide, defined as an intentional, willful, and premeditated killing with malice aforethought. It often includes killings committed during dangerous felonies (felony murder), such as robbery or kidnapping, and is characterized by planning or extreme indifference to life. [1, 2, 3]
Key Elements and Characteristics
  • Premeditation and Deliberation: The killer planned or thought about the murder before acting.
  • Specific Intent: The purpose was to cause the death of another person.
  • Felony Murder: A death occurring during the commission or attempted commission of a dangerous felony (e.g., arson, rape, robbery).
  • Special Circumstances: In many jurisdictions, this includes killing a police officer or public official. [1, 2, 3, 4]
Legal Context
  • Penalty: First-degree murder is a Class A felony, often resulting in life imprisonment without parole or, in some jurisdictions, the death penalty.
  • Distinction: Unlike second-degree murder, which may be a "spur of the moment" killing, first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty.
  • Examples: Poisoning, lying in wait, or planning a murder for financial gain
Huyu jaji kuna uwezekano mkubwa alikuwa mwanamke,ametoa hukumu kwa hisiaa.
Hata mie ambye siyo expert wa sheria naona wazi hii ni mauaji ya kutokusudia.
 
Huyo muuaji alikusudia, sasa kusema visenti ndio iwe sababu ya kuua?

Hii nchi wanaume wengi wana changamoto ya afya ya akili.
 
Inategemea, hiyo inaweza kuwa PRE-MEDITATED MURDER, alikuwa na kisu cha nini kwenye gari? Siyo hivyo tu, judge ana uwezo wa kuamua ni first degree au second degree depends on circumstances kama vile mshtakiwa ali-cooperate au haku-cooperate, huyo Mr. Blue ni wazi haku-cooperate na prosecution side na wapelelezi, hivyo akawasumbua sana.
Umesema first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty? Sawa! Unaona kukata mwili wa binadamu mwingine vipande vipande siyo "Extreme cruelty? Acha kutetea uovu......Huyu jaji kafanya sawa sawa.
Wewe kwenye gari yako hutembei na kisu??
Kama sivyo basi shuguli zako sio za kashi kashi,kuna watu wajukumu yao wanarudi kila siku nyumbani usiku ni lazima uwe kwenye gari silaa yoyote
 
Utauliwa wewe, unatukana wanaume wazinwazi
Waniue au tuuane? 😹😹
1778577002810.jpeg
 
Uovu ni uovu tu, wanaume tuwe wavumilivu, kama mke au hawara yako kakujibu isivyo, kwanini usiondoke au umwache au uvumilie na mzungumze? Sasa kuua kumesaidia nini? Anaenda kunyongwa......Hasira hasara, ujaribu kujicontrol.
Lazima uelewe katika dunia watu wamezaliwa na tabia tofauti tofauti ndio maana duniani kote kunatengenezwa sheria,kanuni na taratibu za kuwaongoza watu na wakati huo huo Serikali za kidunia zimeweka mifumo ya kuwajibisha na ku control.
Sasa unaposema mtu akiudhiwa na mtu aondoke,sio kila moja ameumbwa ba moyo na tabia tofauti
 
Lazima uelewe katika dunia watu wamezaliwa na tabia tofauti tofauti ndio maana duniani kote kunatengenezwa sheria,kanuni na taratibu za kuwaongoza watu na wakati huo huo Serikali za kidunia zimeweka mifumo ya kuwajibisha na ku control.
Sasa unaposema mtu akiudhiwa na mtu aondoke,sio kila moja ameumbwa ba moyo na tabia tofauti
Sasa anaenda kunyongwa, alilofanya limemsaidia nini? Kwanini asimwache kama anaona anamchosha au hafai?
 
Hiyo wewe na mimi tunaweza
Kuvumilia ila kwa wengine hawawezi na hiyo inategemeana na historia ya hyo mtu

Ova
Basi wasioweza wataenda kunyongwa.....Kipi bora kunyongwa au kuachana na huyo wasioweza kuelewana. Kila mtu ana hasira, lakini inabidi kuna wakati unabidi ufunge brake. Kwa hiyo unaona hasira ni bora ukafungwe miaka 60 jela au ukanyongwe? Hakuna cha historia ya mtu, huna haki ya kunyanyua mkono kumpiga mtu mwingine, utafungwa, kitu ni rahisi.......Mwache, au akuache. Kwani si mlikutana.
 
Back
Top Bottom