Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

Huyu jaji feki nini? Yaani jaji anashindwa kutofautisha kati ya ‘Murder in the first degree) na ‘Murder in the second degree’?

Huyo hakupanga kufanya mauaji, bali alishtukizwa na mazingira, na adhabu yake sio kifo.

=========================

Murder in the first degree is the most serious form of homicide, defined as an intentional, willful, and premeditated killing with malice aforethought. It often includes killings committed during dangerous felonies (felony murder), such as robbery or kidnapping, and is characterized by planning or extreme indifference to life. [1, 2, 3]
Key Elements and Characteristics
  • Premeditation and Deliberation: The killer planned or thought about the murder before acting.
  • Specific Intent: The purpose was to cause the death of another person.
  • Felony Murder: A death occurring during the commission or attempted commission of a dangerous felony (e.g., arson, rape, robbery).
  • Special Circumstances: In many jurisdictions, this includes killing a police officer or public official. [1, 2, 3, 4]
Legal Context
  • Penalty: First-degree murder is a Class A felony, often resulting in life imprisonment without parole or, in some jurisdictions, the death penalty.
  • Distinction: Unlike second-degree murder, which may be a "spur of the moment" killing, first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty.
  • Examples: Poisoning, lying in wait, or planning a murder for financial gain
Samahan nimesoma nimekulewa pamoja na misamiati mingi ya sheria. Ila nauliza kule kupanga kwake kumkata kata mapanga na kumtupa sehemu mbali mbali hakuwezi kumtia hatian kama alikusudia ila neno alijibiwa vibaya likawa kama utetezi tu???
 
Huyu jaji feki nini? Yaani jaji anashindwa kutofautisha kati ya ‘Murder in the first degree) na ‘Murder in the second degree’?

Huyo hakupanga kufanya mauaji, bali alishtukizwa na mazingira, na adhabu yake sio kifo.

=========================

Murder in the first degree is the most serious form of homicide, defined as an intentional, willful, and premeditated killing with malice aforethought. It often includes killings committed during dangerous felonies (felony murder), such as robbery or kidnapping, and is characterized by planning or extreme indifference to life. [1, 2, 3]
Key Elements and Characteristics
  • Premeditation and Deliberation: The killer planned or thought about the murder before acting.
  • Specific Intent: The purpose was to cause the death of another person.
  • Felony Murder: A death occurring during the commission or attempted commission of a dangerous felony (e.g., arson, rape, robbery).
  • Special Circumstances: In many jurisdictions, this includes killing a police officer or public official. [1, 2, 3, 4]
Legal Context
  • Penalty: First-degree murder is a Class A felony, often resulting in life imprisonment without parole or, in some jurisdictions, the death penalty.
  • Distinction: Unlike second-degree murder, which may be a "spur of the moment" killing, first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty.
  • Examples: Poisoning, lying in wait, or planning a murder for financial gain
Unafundisha watu sheria na ndio kazi yake ya kila siku. Wewe nadhani ndie haujui maana ya kitu kinaitwa "first degree murder".

First degree murder huwa inakuwa na elements za motive na intentions za kufanya mauwaji. Jamaa inaonekana wazi alikuwa anamtafutia timing huyo mwanamke ili amuonyeshe hasira aliyo nayo kifuani.

Imagine alikuwa tayari ana kisu kaficha chini ya siti na alikuwa na dhamira motive ya kukitumia meaning alishapanga kichwani dakika chache kabla ya tukio kuwa huyu mwanamke leo lazima nitamuumiza kama sio kwa kipigo kizito cha umahututi basi lolote litatokea.

Second degree murder inakuwa na elements za self-defense yaani kujilinda na hatari au shambulio dhidi ya adui. Huyo mwanamke hakuwa potential threat ambayo ingemdhuru physically the only thing huyo mwanamke alikuwa ni trigger ya maumivu makali ya kihisia ambayo mwanaume aliyasikia. Ni sawa na mtu akuulie mtoto wako halafu upande chombo cha usafiri au utembee umbali mrefu kumfuata then ukamuue hiyo ni first degree murder maana ulipanga kabisa mkakati wa kumuua.

Unakumbuka yule mwanariadha wa South Africa aliyemuua mwanamke wake? Uliona utetezi wake? Alijitetea kuwa hakujua kuwa mwanamke wake yupo ndani so alimshambulia baada ya kuhisi ni mwizi au mvamizi kaingia,ali act out of self defense.
So mfano jamaa angekuwa kwenye mazingira ya kusema mwanamke alitaka kumdhuru then akajitetea hapo second degree murder inge apply ila kwa hapo ni first degree si unaona hakuwa hata na huruma alimkandamizia kisu na kukishindilia kuhakikia kamtoa roho then hakwenda nae hospital bali akaenda na mwili kwake na kuanza kupeform mutilation? Imagine wakati ana mkata kata kama nyama ya ng'ombe buchani alikuwa anawaza nini kichwani? Jibu ni kuwa hakuwa na majuto wala huruma na huyo mwanamke na alishaweka dhamira ya kutekeleza ukatili siku ikimkalia sawa,na ndio ikafika.

So hiyo ni first degree murder na mwanaume alijua tu kuwa muda wowote atatekeleza hilo jambo na ndio maana hata akataka kuficha mwili wa marehemu kwa kukata kata vipande.
 
Jamaa anaweza kuwa ni self-made victim wa mahusiano maana huwezi kulazimishwa kuwa na mwanamke ambaye anaonyesha wazi kuwa hakukubali wala hakuheshimu at least kama mwanaume,ila bado anakutumia kwa shida zake na kukudharau pale ukishindwa.

Mwanamke akikufanyia vitendo vya kutesa hisia na bado akakuonyesha hajali wala hana huruma na unavyojiskia ni muda mzuri wa kujiepusha nae, sio kwasababu yake ila kwasababu ya baba yako,mama yako, kaka na dada zako,wadogo zako, ndugu jamaa na marafiki wanaokupenda na ambao hawatotaka kuja kupewa taarifa za kutisha kama hizi sababu ulishindwa kupambana na hisia zako kwa dakika 10 zikakushinda power ukajikuta umesikiliza hasira na kufanya tukio lisiloweza kufutika.

Mr. Blue alikuwa na zaidi ya nafasi 100 za kuondoka na kumuepuka huyu mwanamke. Kitu hatari alichokuwa anatembea nacho ni furushi la hasira alizotunza kifuani na kuendelea kutafuta maumivu zaidi kwa kuwa karibu ya huyo mwanamke.

Typically,this is what i call SIMPING. Kila siku hapa JF nawapa elimu kupitia nyuzi zangu juu ya madhara ya kuwa simp na nikawapa na hii zemanda law inayosema kwamba ukichagua kuwa simp wa mwanamke ni automatic self suicide. Utapatwa vitu viwili lazima,cha kwanza maumivu cha pili ni mauti.

Imetokea kwa marehemu MC pilipili,imetokea huyu mr.blue,ilitokea kwa yule jamaa mwanza ,imetokea kwa mkuu wa wilaya Niki wa pili, na itaendelea kuwatokea wanaume wote wanaochagua kusimp kwa wanawake badala ya kujiheshimu na kuishi kwa misingi ya kiume halisi.

Kuna kijana anaitwa Kiredio, namuona sana kwenye mtandano, ajiandae. Ni maumivu na umauti, that's the only rewards guaranteed kwa simp. Hakuna simp anayemaliza mahusiano salama,hiyo haijawahi kutokea na haitatokea.

Mwanaume chukia kuwa simp na kataa tabia za kisimp kwa nguvu zote.
 
Wataalamu wa sheria tusaidieni hapa,

Hii ni Manslaughter au ni Murder?

Mtuhumiwa hakua amepanga hilo tukio la mauaji bali mauaji yalisababishwa na hasira ya majibu mabaya kutoka kwa huyo mpenzi wake,

Simtetei huyo muuaji wala sitetei alicho kifanya bali nataka kujua kuhusu sheria kati ya Manslaughter na Murder.
Ni wazi alishapanga ila hakujua lini na namna gani atafanya. Sasa kama mwanamke kamwambia maneno kama hayo yeye akareact je angekuta yupo lodge na mwanaume mwingine angefanyaje?

Ipo namna hii, huyo alikuwa anamvutia muda ila alijua kuna siku atamalizana nae vibaya na atamtia hasara. Alikuwa tayari kwa lolote bila kujali matokeo yatakuwaje yeye alikuwa anataka kumkomoa ili kumtia hasara.
 
Ila kutakuwa na mengine hatuyajui,huyu baba ana mengi kifuani
Kuna uwezekano mkubwa sana jamaa alikuwa anafosi uhusiano na alijiwekeza sana kiasi kwamba mwanamke akamuona ni disposable/ expendable. Mwanamke kumjibu mwanaume majibu ya namna hiyo ni picha ya kisaikolojia inayoonyesha wazi kuwa hana tena shida nae na yupo tayari kuachana nae,na kuna uwezekano mkubwa kuwa mwanamke tayari alikuwa na mahusiano mapya.

Kuvumilia dharau za mwanamke mfululizo huwa haina mwisho mzuri. Mimi first sign of disrespect nitaissue warning ⚠️ na ultimatum, then kinachofuata natazama kwa umakini,tabia ikijirudia naondoka bila notice.
 
Ni kweli utakuwa alikuwa anafosi,maana mwanaume unaempenda na kumjali huwezi mjibu eti vijisent!ila Marehemu nae alikuwa na mdomo
 
Ni kweli kabisa,inaonyesha alikua na mengi kifuani toka mwanzo,siku hiyo ndio siku ikawa imefika,

Inawezekana pia alisha vumilia mengi sana toka kwa huyo mwanamke,

But maamuzi yake siyaungi mkono.
Ila wanawake sisi sijui tunapataga wapi ujasiri wa kujibu maneno makali ya kurarua mioyo ya wanaume...na wanaume wenyewe walivyochanganyikiwa sasa ndio visa na visa ngapi haviishi
 
Ni kweli utakuwa alikuwa anafosi,maana mwanaume unaempenda na kumjali huwezi mjibu eti vijisent!ila Marehemu nae alikuwa na mdomo
Wahenga walishasema "mdomo huponza kichwa". Ndio hii sasa. Angeweza tu kumuelekeza jamaa vizuri ila akaleta dharau na kumjibu kama ana m'mudu
 
Kwa dunia ya leo, mapenzi yataondoka na wengi sana. Pengine jamaa hakutimiza hta mambo yake muhimu ya kimaisha ili tu amridhishe marehemu, mwisho wa siku unakuja kutolewa shit kwamba vile vilikua vijisenti tu, sawa ! yawezekana vilikua ni visijenti ila kwake vilikua na thamani, hutujui alirisk nini ili ampatie yeye.
Sijui kwanini ukijitoa sana kwa mwanamke mwisho lazima akudharau tu na dalili ya dharau ni majibu yake kuanza kubadirika. Wanaume wanalaumiwa bure tu ila majibu ya wanawake mabaya sana hasa kwa mwanaume anampambania mwanamke wake kwa kila hali then unaishia kupata dharau. Hajui jamaa anapitia mangapi hadi hizo pesa anapewa.
 
Wataalamu wa sheria tusaidieni hapa,

Hii ni Manslaughter au ni Murder?

Mtuhumiwa hakua amepanga hilo tukio la mauaji bali mauaji yalisababishwa na hasira ya majibu mabaya kutoka kwa huyo mpenzi wake,

Simtetei huyo muuaji wala sitetei alicho kifanya bali nataka kujua kuhusu sheria kati ya Manslaughter na Murder.
Hakuna manslaughter hapo. Kitendo cha kumchoma kisu baada ya kutamkiwa maneno ya dharau sawa, lakn je alichukua hatua zipi baada ya kutenda kosa?

Lait kama angempeleka hosptali ingekuja pure manslaughter. Lakn kitendo cha kumpeleka nyumbn kwake na kumkatakat vipande hyo ni murder
 
Wahenga walishasema "mdomo huponza kichwa". Ndio hii sasa. Angeweza tu kumuelekeza jamaa vizuri ila akaleta dharau na kumjibu kama ana m'mudu
Hamna kiumbe namuogopa kama mwanaume,nikiangaliaga tu mikono ilivyokomaa nawaza ngumi ya uso hapana!Siwezi kumjibu shit shit mwanaume hata siku moja hata niwe ninekasirika vipi nachagua maneno ya kusema na pia nakaa nae mbali sipendi kupigwa mwili wangu mie
 
Ni wazi alishapanga ila hakujua lini na namna gani atafanya. Sasa kama mwanamke kamwambia maneno kama hayo yeye akareact je angekuta yupo lodge na mwanaume mwingine angefanyaje?

Ipo namna hii, huyo alikuwa anamvutia muda ila alijua kuna siku atamalizana nae vibaya na atamtia hasara. Alikuwa tayari kwa lolote bila kujali matokeo yatakuwaje yeye alikuwa anataka kumkomoa ili kumtia hasara.
💯, eti mwanamke akwambie hio pesa ya peanuts sijui blah blah ndio umuuee! Sababu ya kipumbavu kabisa. Dhamira alikuwa nayo tu, like u said alikuwa anam timing tu basi
 
Hamna kiumbe namuogopa kama mwanaume,nikiangaliaga tu mikono ilivyokomaa nawaza ngumi ya uso hapana!Siwezi kumjibu shit shit mwanaume hata siku moja hata niwe ninekasirika vipi nachagua maneno ya kusema na pia nakaa nae mbali sipendi kupigwa mwili wangu mie
Likewise, me huwa nawashangaa wanawake wanaokaza mishipa ya shingo kumjibu vibaya au kumtukana mwanamme. Me siku moja niliambiwa nitakupiga kibao kimoja tu mbona nilikaa mbali 🤣🤣🤣. Sasa kuna wale...nipige kama we mwanamme kweli, kifuatacho hapo ni manundu na kubadilishwa uso rangi kuwa purple na green
 
Shetani ananguvu sanaa

Sawa umeshaua sasa nguvu ya kumkata kata binaadamu mwenzako vipande vipande unaitoa wap? Ujasiri huo unautoa wap?

M/Mungu anihepushe inshaAllah
Huyo ni muuaji mzoefu kabisaa. Lol
 
Hapo kuna element ya extreme cruelty,

Alimchoma kisu hakukitoa mpaka akahakikisha amefariki.

Hayo ni mauaji ya kukusudia.
Na hakuishia hapo, alienda na mwili kwake, na kukata vipande vipande, na kuweka kwenye mifuko sandarusi, na kutupa maeneo tofauti tofauti, ili kukwepa ushahidi, Lol.

Huyu ni muuaji mzoefu.
 
Nicknames kila mtu anayo... Toa jina la MR Blue kwenye title weka la cheti chake cha shule ya msingi
 
Back
Top Bottom