Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Vile kumkata kata viungo na kuvitupa bado alikuwa hajakusudia?Wataalamu wa sheria tusaidieni hapa,
Hii ni Manslaughter au ni Murder?
Mtuhumiwa hakua amepanga hilo tukio la mauaji bali mauaji yalisababishwa na hasira ya majibu mabaya kutoka kwa huyo mpenzi wake,
Simtetei huyo muuaji wala sitetei alicho kifanya bali nataka kujua kuhusu sheria kati ya Manslaughter na Murder.