cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Tunasubirii huo mkasa,Ngoja kwanza avalishwe
Jezi [emoji1]
Ntakupa mkanda wa Mr blue.....kuwa na subira
Ova
Tunasubirii huo mkasa,Ngoja kwanza avalishwe
Jezi [emoji1]
Ntakupa mkanda wa Mr blue.....kuwa na subira
Ova
Hujui straight uchwara wa Bongo, hawajiamini na uanaume wao, yaan hapo alipo ambiwa vijisenti, akaona validation ya uanaume wake haipo.Huyo muuaji alikusudia, sasa kusema visenti ndio iwe sababu ya kuua?
Hii nchi wanaume wengi wana changamoto ya afya ya akili.
[emoji23][emoji23][emoji23]Waniue au tuuane? [emoji81][emoji81]
View attachment 3587454
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio gari ya blue [emoji838],ni Porte ya blue. Porte,IST na Passo tokea lini zikawa ni gari.
[emoji23][emoji23][emoji23]Likewise, me huwa nawashangaa wanawake wanaokaza mishipa ya shingo kumjibu vibaya au kumtukana mwanamme. Me siku moja niliambiwa nitakupiga kibao kimoja tu mbona nilikaa mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sasa kuna wale...nipige kama we mwanamme kweli, kifuatacho hapo ni manundu na kubadilishwa uso rangi kuwa purple na green
kwa haraka haraka hii ni Manslaughter sio murder!Wataalamu wa sheria tusaidieni hapa,
Hii ni Manslaughter au ni Murder?
Mtuhumiwa hakua amepanga hilo tukio la mauaji bali mauaji yalisababishwa na hasira ya majibu mabaya kutoka kwa huyo mpenzi wake,
Simtetei huyo muuaji wala sitetei alicho kifanya bali nataka kujua kuhusu sheria kati ya Manslaughter na Murder.
Basi sawaa.Subiri avae jezi kwanza
Ova
Jana tu, tumezika kijana aliyechomwa kisu na mkewe kisa anamsaliti. Watu wana ujasiri na roho ngumu sana walah🙆♂️🙆♂️Shetani ananguvu sanaa
Sawa umeshaua sasa nguvu ya kumkata kata binaadamu mwenzako vipande vipande unaitoa wap? Ujasiri huo unautoa wap?
M/Mungu anihepushe inshaAllah
Eti anaua kisa maneno ambayo ni kawaida mdomoni kwa mwanamke..!!Hujui straight uchwara wa Bongo, hawajiamini na uanaume wao, yaan hapo alipo ambiwa vijisenti, akaona validation ya uanaume wake haipo.
Kaamua afanye mauaji. Lol
HatarJana tu, tumezika kijana aliyechomwa kisu na mkewe kisa anamsaliti. Watu wana ujasiri na roho ngumu sana walah🙆♂️🙆♂️
Inaweza ikawa ameshauaga uaga wengi tu, umkate mtu vipande vipandeHuyo ni muuaji mzoefu kabisaa. Lol
Haelewi huyo Mkuu. That was not a premeditated murder.Kabla ya haya mauaji aliwahi kuwaua kina nani hapo mwanzo?
Unaua kisa kuambiwa pesa zako unazohonga ni vijisenti, na hapo baada ya kushindwa kutoa Laki, badala utafute pesa kutoka kwenye vijisenti, unaua mwenzio, hii ni akili au nini??Eti anaua kisa maneno ambayo ni kawaida mdomoni kwa mwanamke..!!
Kama hakupenda si angemuacha.
Huyo muuaji na alikusudia anyongwe iwe fundisho kwa mataahira wengine wote..!!
Hapo sasa, mbona hatarii kabisaa hii, LolInaweza ikawa ameshauaga uaga wengi tu, umkate mtu vipande vipande
Umeenda mbali sana mkuu.Huyo ni serial killa,na watu kama hao huwezi juwa huko
Nyuma wamefanya matukio
Mangapi,ndomana siku zote nasema huko tz mitaani wamejaaa maserial kilaa kibao
Ova
Ni akili, tena iliyoumbwa na Mungu, kama unaamini Mungu yupo. "Rage" ni hasira kali ya ghafla inayotokana na kisababishi ambacho hakikutarajiwa, ikiwemo kauli ya maudhi ya kiumbe uliyemwabudu au kumpenda sana. Inaweza pelekea mauaji. It happens all the time all over the world. Na wahusika huwa wanakua ni watu ambao hawakutarajiwa. I wish yasingetokea haya, ila mbona hii wala haina tofauti na waliopotezwa/kuuawa kwa kauli tu kama wakina Mdude etc.Unaua kisa kuambiwa pesa zako unazohonga ni vijisenti, na hapo baada ya kushindwa kutoa Laki, badala utafute pesa kutoka kwenye vijisenti, unaua mwenzio, hii ni akili au nini??
"Mafurushi" kwa sauti ya Espy_
Basi sawaa.Ni akili, tena iliyoumbwa na Mungu, kama unaamini Mungu yupo. "Rage" ni hasira kali ya ghafla inayotokana na kisababishi ambacho hakikutarajiwa, ikiwemo kauli ya maudhi ya kiumbe uliyemwabudu au kumpenda sana. Inaweza pelekea mauaji. It happens all the time all over the world. Na wahusika huwa wanakua ni watu ambao hawakutarajiwa. I wish yasingetokea haya, ila mbona hii wala haina tofauti na waliopotezwa/kuuawa kwa kauli tu kama wakina Mdude etc.
Kumkatakata ilikuwa ‘after the fact’ kwa ajili ya kuficha ushahidi, na hilo kwenye kesi kinahesabuka kama kosa la ziada tena lenye adhabu ya ziada ‘Concealment of evidence’ na ‘Defiling of a corpse’Samahan nimesoma nimekulewa pamoja na misamiati mingi ya sheria. Ila nauliza kule kupanga kwake kumkata kata mapanga na kumtupa sehemu mbali mbali hakuwezi kumtia hatian kama alikusudia ila neno alijibiwa vibaya likawa kama utetezi tu???
We utakuwa na kichaa, wenye magari wengi tuliowahi kukutana na mabalaa barabarani hasa usiku huwezi kamwe kutembea bila sime au jambia chini ya seat , never! Fanya study utagundua wenye magari wengi wana silaha ndani ya gari. Na second degree murder sio lazima iwe na elements za self defence, usiwe ‘Charlatan’, uliza wanasheria. Na ukisema alipanga onyesha clear motive, kwanza ni nani mjinga apange kuuwa mtu kwenye gari lake ambapo damu zitasambaa ndani ya gari, tena gari ambalo alionekana akipanda nae, yeye ni mjinga kiasi hicho?Unafundisha watu sheria na ndio kazi yake ya kila siku. Wewe nadhani ndie haujui maana ya kitu kinaitwa "first degree murder".
First degree murder huwa inakuwa na elements za motive na intentions za kufanya mauwaji. Jamaa inaonekana wazi alikuwa anamtafutia timing huyo mwanamke ili amuonyeshe hasira aliyo nayo kifuani.
Imagine alikuwa tayari ana kisu kaficha chini ya siti na alikuwa na dhamira motive ya kukitumia meaning alishapanga kichwani dakika chache kabla ya tukio kuwa huyu mwanamke leo lazima nitamuumiza kama sio kwa kipigo kizito cha umahututi basi lolote litatokea.
Second degree murder inakuwa na elements za self-defense yaani kujilinda na hatari au shambulio dhidi ya adui. Huyo mwanamke hakuwa potential threat ambayo ingemdhuru physically the only thing huyo mwanamke alikuwa ni trigger ya maumivu makali ya kihisia ambayo mwanaume aliyasikia. Ni sawa na mtu akuulie mtoto wako halafu upande chombo cha usafiri au utembee umbali mrefu kumfuata then ukamuue hiyo ni first degree murder maana ulipanga kabisa mkakati wa kumuua.
Unakumbuka yule mwanariadha wa South Africa aliyemuua mwanamke wake? Uliona utetezi wake? Alijitetea kuwa hakujua kuwa mwanamke wake yupo ndani so alimshambulia baada ya kuhisi ni mwizi au mvamizi kaingia,ali act out of self defense.
So mfano jamaa angekuwa kwenye mazingira ya kusema mwanamke alitaka kumdhuru then akajitetea hapo second degree murder inge apply ila kwa hapo ni first degree si unaona hakuwa hata na huruma alimkandamizia kisu na kukishindilia kuhakikia kamtoa roho then hakwenda nae hospital bali akaenda na mwili kwake na kuanza kupeform mutilation? Imagine wakati ana mkata kata kama nyama ya ng'ombe buchani alikuwa anawaza nini kichwani? Jibu ni kuwa hakuwa na majuto wala huruma na huyo mwanamke na alishaweka dhamira ya kutekeleza ukatili siku ikimkalia sawa,na ndio ikafika.
So hiyo ni first degree murder na mwanaume alijua tu kuwa muda wowote atatekeleza hilo jambo na ndio maana hata akataka kuficha mwili wa marehemu kwa kukata kata vipande.