FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Hamna wewe na nani?Hatuna mambo ya first degree na second degree
Hamna wewe na nani?Hatuna mambo ya first degree na second degree
Najua hilo, na ndio maana nasisitiza , hapakuwa na ‘Premeditation’, ni mghafiliko wa ghafla wa papo kwa hapo unaoletwa na hisia za kushtukiza, mfano mtu akamtukana mama yako mzazi tusi kali sana ghafla, ukachukua bisibisi iliyokuwa karibu ukamshindilia shingoni, hapo hakuna ‘premeditation’, ni ‘Spur of the moment’. Na huyo jaji anajua, ila ni either kala rushwa au kafanya kwa hisia..;Mkuu, kwa sheria zetu, Tanzania hatuna classes za murder kiwazi wazi, ila tuna mauaji ya kukusudia na mauaji ya kutokusudia (murder v manslaughter). Ila unachosema kina mashiko, kwa maana nia ya jamaa kumuua huyo mwanamke haionekani kuwa ilikuwapo, ni alifanya kwa kushtukiza tu kutokana na hasira.
Ila sasa ili kutumia hiyo ya mauaji bila kukusudia ilibidi jamaa akubali kuwa aliua ila hakukusudia. Kwenye utetezi wake yeye anasema anamfahamu marehemu kama mteja wake wa mabegi na hajawahi kuwa mpenzi wake na kwamba hakuonana nae siku hiyo.
Ngumu hapo kuleta hoja za kuua bila kukusudia, kwa kuwa mshtakiwa hakiri kuua.
Hakuna ushahidi wa premeditation kwenye hii kesi hata kidogo. Kutembea na kisu, panga etc kwenye gari ni kawaida sana. Nina visu viwili kwenye gari. Kukatata kata mwili ni dalili kubwa ya ku panic.Unafundisha watu sheria na ndio kazi yake ya kila siku. Wewe nadhani ndie haujui maana ya kitu kinaitwa "first degree murder".
First degree murder huwa inakuwa na elements za motive na intentions za kufanya mauwaji. Jamaa inaonekana wazi alikuwa anamtafutia timing huyo mwanamke ili amuonyeshe hasira aliyo nayo kifuani.
Imagine alikuwa tayari ana kisu kaficha chini ya siti na alikuwa na dhamira motive ya kukitumia meaning alishapanga kichwani dakika chache kabla ya tukio kuwa huyu mwanamke leo lazima nitamuumiza kama sio kwa kipigo kizito cha umahututi basi lolote litatokea.
Second degree murder inakuwa na elements za self-defense yaani kujilinda na hatari au shambulio dhidi ya adui. Huyo mwanamke hakuwa potential threat ambayo ingemdhuru physically the only thing huyo mwanamke alikuwa ni trigger ya maumivu makali ya kihisia ambayo mwanaume aliyasikia. Ni sawa na mtu akuulie mtoto wako halafu upande chombo cha usafiri au utembee umbali mrefu kumfuata then ukamuue hiyo ni first degree murder maana ulipanga kabisa mkakati wa kumuua.
Unakumbuka yule mwanariadha wa South Africa aliyemuua mwanamke wake? Uliona utetezi wake? Alijitetea kuwa hakujua kuwa mwanamke wake yupo ndani so alimshambulia baada ya kuhisi ni mwizi au mvamizi kaingia,ali act out of self defense.
So mfano jamaa angekuwa kwenye mazingira ya kusema mwanamke alitaka kumdhuru then akajitetea hapo second degree murder inge apply ila kwa hapo ni first degree si unaona hakuwa hata na huruma alimkandamizia kisu na kukishindilia kuhakikia kamtoa roho then hakwenda nae hospital bali akaenda na mwili kwake na kuanza kupeform mutilation? Imagine wakati ana mkata kata kama nyama ya ng'ombe buchani alikuwa anawaza nini kichwani? Jibu ni kuwa hakuwa na majuto wala huruma na huyo mwanamke na alishaweka dhamira ya kutekeleza ukatili siku ikimkalia sawa,na ndio ikafika.
So hiyo ni first degree murder na mwanaume alijua tu kuwa muda wowote atatekeleza hilo jambo na ndio maana hata akataka kuficha mwili wa marehemu kwa kukata kata vipande.
- Inategemea?! Sheria haina cha kutegemea , bali unatakiwa ulete PROOF OF PREMEDITATION! Hatudeal na hisia bali proof.Inategemea, hiyo inaweza kuwa PRE-MEDITATED MURDER, alikuwa na kisu cha nini kwenye gari? Siyo hivyo tu, judge ana uwezo wa kuamua ni first degree au second degree depends on circumstances kama vile mshtakiwa ali-cooperate au haku-cooperate, huyo Mr. Blue ni wazi haku-cooperate na prosecution side na wapelelezi, hivyo akawasumbua sana.
Umesema first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty? Sawa! Unaona kukata mwili wa binadamu mwingine vipande vipande siyo "Extreme cruelty? Acha kutetea uovu......Huyu jaji kafanya sawa sawa.
Mimi sio wakili, ila ni common sense tu…, akate rufaa.., na sheria ingeruhusu ingepaswa amshtaki huyo jaji kwa kujaribu kumuua kwa kunyongwa kwa sababu ya hisia zake tuSo jamaa akate rufaa? Ndugu wakili
Na hakuna mwanaume anaweza au mwenye uthubutu wa kumpiga mwanamke anae act namna hii, vipigo vingi uwa vinatokana na majibuHamna kiumbe namuogopa kama mwanaume,nikiangaliaga tu mikono ilivyokomaa nawaza ngumi ya uso hapana!Siwezi kumjibu shit shit mwanaume hata siku moja hata niwe ninekasirika vipi nachagua maneno ya kusema na pia nakaa nae mbali sipendi kupigwa mwili wangu mie
100%Kwa dunia ya leo, mapenzi yataondoka na wengi sana. Pengine jamaa hakutimiza hta mambo yake muhimu ya kimaisha ili tu amridhishe marehemu, mwisho wa siku unakuja kutolewa shit kwamba vile vilikua vijisenti tu, sawa ! yawezekana vilikua ni visijenti ila kwake vilikua na thamani, hutujui alirisk nini ili ampatie yeye.
Sheria za nchi yetu Kuna Murder (killing with malice aforethought/intentional killing) na manslaughter (unlawful killing but not intentional).Hamna wewe na nani?
Ushahidi uliotolewa it is a clear case ya mauaji. Jamaa labda angekubali aliua bila kukusudia halafu atumie defence ya PROVOCATION. Lakini provocation nayo ni ngumu kwa maelezo yaliyopo.Mimi sio wakili, ila ni common sense tu…, akate rufaa.., na sheria ingeruhusu ingepaswa amshtaki huyo jaji kwa kujaribu kumuua kwa kunyongwa kwa sababu ya hisia zake tu
Kama ni hivyo afadhali yangu kuwa kunguru muoga.Na hakuna mwanaume anaweza au mwenye uthubutu wa kumpiga mwanamke anae act namna hii, vipigo vingi uwa vinatokana na majibu
🤣🤣🤣🤣Onyo moja tu ukawa pole...mi sidhani hata kama nimewahi pewa onto,huwa national mwenyewe!we kuna kina dada wanayaweza jamaniLikewise, me huwa nawashangaa wanawake wanaokaza mishipa ya shingo kumjibu vibaya au kumtukana mwanamme. Me siku moja niliambiwa nitakupiga kibao kimoja tu mbona nilikaa mbali 🤣🤣🤣. Sasa kuna wale...nipige kama we mwanamme kweli, kifuatacho hapo ni manundu na kubadilishwa uso rangi kuwa purple na green
1. Amechoma kisu then akakigandamiza mpaka mtu anakufaHuyu jaji feki nini? Yaani jaji anashindwa kutofautisha kati ya ‘Murder in the first degree) na ‘Murder in the second degree’?
Huyo hakupanga kufanya mauaji, bali alishtukizwa na mazingira, na adhabu yake sio kifo.
=========================
Murder in the first degree is the most serious form of homicide, defined as an intentional, willful, and premeditated killing with malice aforethought. It often includes killings committed during dangerous felonies (felony murder), such as robbery or kidnapping, and is characterized by planning or extreme indifference to life. [1, 2, 3]
Key Elements and Characteristics
Legal Context
- Premeditation and Deliberation: The killer planned or thought about the murder before acting.
- Specific Intent: The purpose was to cause the death of another person.
- Felony Murder: A death occurring during the commission or attempted commission of a dangerous felony (e.g., arson, rape, robbery).
- Special Circumstances: In many jurisdictions, this includes killing a police officer or public official. [1, 2, 3, 4]
- Penalty: First-degree murder is a Class A felony, often resulting in life imprisonment without parole or, in some jurisdictions, the death penalty.
- Distinction: Unlike second-degree murder, which may be a "spur of the moment" killing, first-degree requires evidence of planning or extreme cruelty.
- Examples: Poisoning, lying in wait, or planning a murder for financial gain
Vyombo vya usafiriSio gari ya blue 🔵,ni Porte ya blue. Porte,IST na Passo tokea lini zikawa ni gari.
Me ni timamu na mzima wa afya kabisa. Wewe ni daktari wa afya ya akili kwani ndugu?We utakuwa na kichaa,
Hili nalifahamu na najua kwamba watu wengi wanaotumia gari katika shughuli zao hupenda ubeba sime ,kisu au kipande cha nondo kwaajiri ya kujilinda, lakini nina swali kwako,kama unazo takwimu za watu wengi kubeba panga kama jambo la kawaida je wangapi kati yao wametumia kuua watu baada ya majibizano wakiwa nao ndani ya gari? Hapa nimekuuliza kujua uwezo wako wa kutumia akili sawa sawa na kuelewa unajadili nini na unatetea nini.wenye magari wengi tuliowahi kukutana na mabalaa barabarani hasa usiku huwezi kamwe kutembea bila sime au jambia chini ya seat , never! Fanya study utagundua wenye magari wengi wana silaha ndani ya gari.
Kabla hatujakwenda kuwasumbua wanasheria nina swali kwako? So mtu anaefikia maamuzi ya kushambulia mwingine huwa kuna mawili ni mchokozi so kaamua kumshambulia mwenzake tu kwa nia ya ukorofi au ameona hatari sasa akachukua hatua mapema kujilinda, katika hili tukio ulichoelewa ni mwanaume alikuwa anajilinda au kujitetea dhidi ya mwanamke au alikuwa yeye ndie amechagua kuanzisha varangati na kushambulia mwanamke? Jibu unalo nadhani.Na second degree murder sio lazima iwe na elements za self defence, usiwe ‘Charlatan’, uliza wanasheria.
Kwani nini maana ya kupanga labda kiswahili kinakupa shida mkuu?🤔 Yaani mfano mimi nikijiwekea dhamira ya kakufanyia jambo baya si ni swala la kutenda tu? Mfano wewe hapo utoke muda huu halafu boda boda akuchomekee bahati mbaya na kukuchubua,kama ulikuwa na kisirani na waendesha boda boda,trust me,kuna uwezekano mkubwa mfululizo wa visa waliokufanyia boda boda wengine ukatumia hilo tukio kutolea hasira,hapo automatically tunajua ulipanga muda mrefu sana kuwa kuna siku utamtumia boda boda m'moja kama mfano kuonyesha hasira uliyobeba juu ya uzembe wao.Na ukisema alipanga onyesha clear motive, kwanza ni nani mjinga apange kuuwa mtu kwenye gari lake ambapo damu zitasambaa ndani ya gari, tena gari ambalo alionekana akipanda nae, yeye ni mjinga kiasi hicho?
Hapo hisia ni wapi na ushahidi umedhihirika, yeye ndie mr .blue,yeye alikuwa na marehemu dakika ya mwisho,walikuwa ni wapenzi, amemuulia katika gari yake na kisu ni chake,akaenda kumkatakata mapande ili kutawanya ushahidi. Kumbuka kuua ni swala moja kujaribu kuficha ushahidi hiyo ni direct admission to guilt.Sheria sio hisia, ni ushahidi.
Umetumia kigezo kimoja tu "kupanga kabla" ila tunatazama jambo lingine ili nini kilisukuma yeye kumshambulia mwanamke tena kwa kwa kulenga moyo eneo ambalo clearly linaonyesha alitaka kumtoa uhai? Hadi hapo unaona ni dhahiri kichwani alikuwa ameweka tatget ya kuua ingawa hakujua itakuwaje,pengine angeweza pia kumshusha kwenye gari then akamfuata kwa kasi na kumkanyaga nayo kisha asingizie ni ajali.Kama mmeshindwa kuprove premeditation, na mnakubali ilikuwa ni ‘Spur of the moment’ , kughafilika ghafla kutokana na majibu mabovu, basi hapo ni second degree, hakuna kusudio la kupanga kabla.
Ni kweli kabisa na ndio maana pia wenzetu wana repeated offenders wanaoua na kufungwa miaka michache kisha wanarejea mtaani na kuua tena na tena sababu kuna watu wachache wenye ufinyu wa hekima waliona ni sawa kutetea mhalifu na pengine possible psychopath badala ya kulinda raia wema wasio na hatia.Hii kesi akikata rufaa, ni jaji mwendawazimu tu atakaeuphold hii hukumu, na ndio maana wenzetu wanakuwa na ‘Jury’, ili kuepusha kichaa mmoja kufanya maamuzi peke yake juu ya hukumu ya mtu..