WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
CCM ni Chama Cha Matapeli na Machawa.Namsihi bwana Odemba aache kujiingiza kwenye siasa za maji taka. Chama Cha Mapinduzi siyo kikundi cha wahuni, Chama cha Mapinduzi ni Taasisi. Afuate utaratibu unaotakiwa.
Sasa wewe bwana Odemba umekuja kunishambulia huku? Kwanini unadanganya umma?CCM ni Chama Cha Matapeli na Machawa.
Hapo kwenye kushangazwa kwa kutoa machozi mmh πππChama cha Mapinduzi kinautaarifu umma kuhusu mdahalo wa jana:
View attachment 3084263
View attachment 3084264
Mmmmmm sijanunua utetezi waoChama cha Mapinduzi kinautaarifu umma kuhusu mdahalo wa jana:
View attachment 3084263
View attachment 3084264
Odemba ni muigizaji mzuri sana. π€£ π€£ π€£ π€£Hapo kwenye kushangazwa kwa kutoa machozi mmh πππ
Chama cha Majizi na Matekaji.Sasa wewe bwana Odemba umekuja kunishambulia huku? Kwanini unadanganya umma?
Sio kikundi cha wahuni,Namsihi bwana Odemba aache kujiingiza kwenye siasa za maji taka. Chama Cha Mapinduzi siyo kikundi cha wahuni, Chama cha Mapinduzi ni Taasisi. Afuate utaratibu unaotakiwa.
Taasisi ya Utekaji.Sio kikundi cha wahuni,
Labda ni Taasisi ya ......
CCM ni chama kikubwa kinatoa watu wenye akili. Juzi juzi tu Dr. Faustine Ndugulile kashida kuwa Mkurungenzi wa WHO Africa.Huyo Nchimbi na sisiem hata wakipewa wao nafasi ya kupanga ratiba ya mdahalo bado wataukimbia tu.
Hivi unaenda kwenye mdahalo kuwakilisha kambi ya mashetani yenye kila aina ya uovu, unategemea uongee nini zaidi ya kujiaibisha? Wasitufanye sie maboya, Nchimbi kafanya calculations kaona anaenda kujivua nguo mwenyewe akala kona, over.
Kwa kweli sijajua.Kijana Odemba anatumia vibaya sana. Hivi ni ndugu yake na Miriam Odemba yule miss?
Sema jamaa huwa namtake kama mwanahabari serious sana na mwenye weledi mkubwa , Kama ni kweli kafanya hivyo basi atakuwa anajivunjia heshima kwa watu waliokuwa tunamuamini na kumuheshimuOdemba ni muigizaji mzuri sana. π€£ π€£ π€£ π€£
Haya Tupe ww huo ukweliHuku ni kujitetea tu.
Wapo wandishi wa habari wanaoheshimika. Waliona na hadhi ya kujadiliana na Dr.Kwa kweli sijajua.
Na hata hivyo sidhani kama ingekuwa sahihi kwa dr nchimbi kuhudhuria mjadala ule ambao mtu wa CCM akisimama anaanza kuzomewa ?
Mdahalo wenye audience wa aina hiyo ni sahihi kweli kwa watu wenye akili timamu kuhudhuria ?