Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Huyo Nchimbi na sisiem hata wakipewa wao nafasi ya kupanga ratiba ya mdahalo bado wataukimbia tu.

Hivi unaenda kwenye mdahalo kuwakilisha kambi ya mashetani yenye kila aina ya uovu, unategemea uongee nini zaidi ya kujiaibisha? Wasitufanye sie maboya, Nchimbi kafanya calculations kaona anaenda kujivua nguo mwenyewe akala kona, over.
CCM ni chama kikubwa kinatoa watu wenye akili. Juzi juzi tu Dr. Faustine Ndugulile kashida kuwa Mkurungenzi wa WHO Africa.

Tulia ni Rais wa mabunge yote duniani. Leo hii bwana Ondemba anataka kuvuna pasipo kulima?? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kijana Odemba anatumia vibaya sana. Hivi ni ndugu yake na Miriam Odemba yule miss?
Kwa kweli sijajua.

Na hata hivyo sidhani kama ingekuwa sahihi kwa dr nchimbi kuhudhuria mjadala ule ambao mtu wa CCM akisimama anaanza kuzomewa ?

Mdahalo wenye audience wa aina hiyo ni sahihi kweli kwa watu wenye akili timamu kuhudhuria ?
 
Odemba ni muigizaji mzuri sana. 🤣 🤣 🤣 🤣
Sema jamaa huwa namtake kama mwanahabari serious sana na mwenye weledi mkubwa , Kama ni kweli kafanya hivyo basi atakuwa anajivunjia heshima kwa watu waliokuwa tunamuamini na kumuheshimu
 
Kwa kweli sijajua.

Na hata hivyo sidhani kama ingekuwa sahihi kwa dr nchimbi kuhudhuria mjadala ule ambao mtu wa CCM akisimama anaanza kuzomewa ?

Mdahalo wenye audience wa aina hiyo ni sahihi kweli kwa watu wenye akili timamu kuhudhuria ?
Wapo wandishi wa habari wanaoheshimika. Waliona na hadhi ya kujadiliana na Dr.

Odemba kaharibu direction nzuri ya vyombo vya habari.
 
Dr Nchimbi atakuwa alipata maelekezo kutoka juu ya kutohudhuria?
 
Back
Top Bottom