Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
Kuna mchungaji mmoja alikuwa anaitwa KATO anlikuwa anapenda kusema: "Ninachemka bila mfuniko" ni ndugu yako?Makonda angeenda!!
Hivi ccm chama changu hao wanachama tunaowalipa mapesa ya mshahara kama hawana uwezo wa kukitetea chama kwenye midahalo tunawalipa wa nini!!?
Hadi hasira aiseh!!
kesi ya ugaidi ya Lwakatare wakati inaunguruma ulikuwa bado hujazaliwa??? vipi kuhusu kutekwa kwa Dr ULIMBOKA????Je, unaweza kuthibitisha hilo? Au ni hisia zako chafu?
Nimekuuliza Uthibitisho unaniletea kesi ya Lwakatare.kesi ya ugaidi ya Lwakatare wakati inaunguruma ulikuwa bado hujazaliwa??? vipi kuhusu kutekwa kwa Dr ULIMBOKA????
CCM haijawahi kushiriki midhaho tangu walivyoumbuka kupitia wale wagombea wao wa ubunge, midahalo iloyokuwa ikiandaliwa na Tido Mhando alipokuwa mkurugenzi wa TBC. Kutokana na aibu ile iloyotokana na ukweli kuwa wagombea wengi wa CCM huwa ni watupu vichwani, CCM ilitoa maelekezo kwa watu wa CCM kutoshiriki midahalo.Namsihi bwana Odemba aache kujiingiza kwenye siasa za maji taka. Chama Cha Mapinduzi siyo kikundi cha wahuni, Chama cha Mapinduzi ni Taasisi. Afuate utaratibu unaotakiwa.
Unamfahamu Faustin Ndugulile?CCM haijawahi kushiriki midhaho tangu walivyoumbuka kupitia wale wagombea wao wa ubunge, midahalo iloyokuwa ikiandaliwa na Tido Mhando alipokuwa mkurugenzi wa TBC. Kutokana na aibu ile iloyotokana na ukweli kuwa wagombea wengi wa CCM huwa ni watupu vichwani, CCM ilitoa maelekezo kwa watu wa CCM kutoshiriki midahalo.
Kama taarifa ya CCM ni ya kweli, na kwamba wahawaogopi midahalo, Nchimbi aseme mdahalo urudiwe lini, na yeye atashiriki.
Haya ndiyo maoni sahihi ya watu wenye akili na siyo yale ya wapiga porojo.Bas wapange upya mdahalo,
This time CCM wapange ratiba wao ili mambo yasiwe mengi
Polisi wanahusikaje hapa Mkuu? Dhima ya jeshi letu la polisi ni ulinzi wa raia na mali zao sio midahalo unless intelejensia imeonesha kutakuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani.Hapa polis huto wasikia kabisa
Namfahamu sana. Huyu ni kati ya anomalies ndani ya CCM.Unamfahamu Faustin Ndugulile?
Nahisi kipindi chake kitafutwa...just wait itaonaaOdemba akamatwe ahojiwe
Kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Vipi kuhusu Dr Tulia Ackson. Rais wa Mabunge yote Duniani?Namfahamu sana. Huyu ni kati ya anomalies ndani ya CCM.
Ndugulile ana akili na ana weledi, ndiyo maana CCM hawakumtaka. Wakamwondoa kwenye uwaziri. Ni sawa na yule dada, binti yake Malecela. CCM huwa haitaki watu wenye uwezo wa akili. Wao hawataki kabisa watu wanaohoji. Wanawataka watu walio na uwezo tu wa kuitikia na kushangilia bila ya kujali kinachotendwa ni kizuri au cha kishetani. Anayehoji hugeuka kuwa adui yao.
Watakula Kona tena na misababu kibaoHakijaharibika kitu, ngoma ipangwe upya tena mapema iwezekanavyo kabla haijapoa.
CCM walishaapa hawawezi kwenda kwenye midahalo.Ni mwiko.Huyo Nchimbi na sisiem hata wakipewa wao nafasi ya kupanga ratiba ya mdahalo bado wataukimbia tu.
Hivi unaenda kwenye mdahalo kuwakilisha kambi ya mashetani yenye kila aina ya uovu, unategemea uongee nini zaidi ya kujiaibisha? Wasitufanye sie maboya, Nchimbi kafanya calculations kaona anaenda kujivua nguo mwenyewe akala kona, over.
ushahidi ndio hiyo kesi, kama hutaki nenda kafirweNimekuuliza Uthibitisho unaniletea kesi ya Lwakatare.
Leta uthibitsho sitaki porojo.
Odemba alikuwa analia nini kwani?Ndio maana nchi haipigi hatua huo ni mwandiko wa kiongozi wa chama tawala
Andika maneno ya hekima. Acha matusi, Ukizidiwa hoja unaanza kutoa matusi. Ebo!!ushahidi ndio hiyo kesi, kama hutaki nenda kafirwe