Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Kama wana barua walioandika kwa chama si waionyeshe hadharani? Kumwalika katibu mkuu wa chama cha siasa kwa SMS ni upunguani. Makatibu wakuu waliokubali mwaliko kupitia SMS ni mapunguani.
 
Odemba njoo uutarifu umma. Umetukosea sana, unatafuta kick kwenye mambo ya msingi kiasa hicho!!
 
Hivi bwana Tindo hujui kuwa CCM ni taasisi?
Najua kuwa ni taasisi ya majizi, sio zaidi ya hapo. Unasema ni taasisi huku katibu mkuu anashindwa hata kutuma mwakilishi kwenye mdahalo. Au kwakuwa hakukuwa na mbeleko ya vyombo vya dola?
 
Najua kuwa ni taasisi ya majizi, sio zaidi ya hapo. Unasema ni taasisi huku katibu mkuu anashindwa hata kutuma mwakilishi kwenye mdahalo. Au kwakuwa hakukuwa na mbeleko ya vyombo vya dola?
Bwana Tindo ukitaka kuwasiliana na taasisi huwa unatumia njia gani? Je, unatuma taarifa kwenye x.com?
 
Kama wana barua walioandika kwa chama si waionyeshe hadharani? Kumwalika katibu mkuu wa chama cha siasa kwa SMS ni upunguani. Makatibu wakuu waliokubali mwaliko kupitia SMS ni mapunguani.
Wewe MamaSamia2025;

Waliokanusha kuwa hawakualikwa ni nyie CCM. Na ndo kusema wanaopaswa kuthibitisha kwa ushahidi wa kuonekana, kushikika na kuaminika ni nyie CCM bila kujali mlipata taarifa kwa njia gani....

Kikubwa hebu JIBU hili 👇👇swali:

Kwamba mnataka umma uamini kuwa nyie CCM ni werevu na waungwana sana na kwamba Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu kiasi hicho, kwa siku kadhaa watangaze ushiriki wa CCM kwenye mjadala huo wa wazi kupitia kwa katibu wenu bila ridhaa yenu....?

Ndo mnataka tuamini hivi siyo?

Aisee, kuiamini CCM kwa lolote kwa masuala muhimu ya haki yanayopaswa kufanyika kwa UHURU na UWAZI nilisema toka mwanzo na nasema tena, basi ni lazima uwe na akili za kujaa nusu kisoda tu.....!

Nyie CCM mambo yenu siku zote ni ya gizani, ya kiwiziwizi, uongouongo na ulaghai laghai tu....
 
Kumbe Odemba ni muhuni tu,
 
Mdahalo sio kitu kidogo hasa kipindi hiki tunachoelekea uchaguzi ikitokea mmoja ulimi ukateleza inaweza zalishwa ajenda hapo na ikawa fimbo ya kumuadhibu.
 
Kumbe Odemba ni muhuni tu,
........na kwa maana hiyo CCM mnataka kila mtu mwenye akili timamu aamini kuwa Management yote ya StarTv na kila mmoja ktk taasisi hiyo ya habari ni unprofessional, mjinga na mpumbavu kiasi hicho kwamba wanaweza kuwatangaza CCM na katibu mkuu wenu kupitia media platforms mbalimbali kuwa mtashiriki kwenye mdahalo huo wa wazi bila kuwa kwanza mlikubali na kuthibitisha...? Really?

.......Mr/Mrs/Miss chiembe hivi ndivyo mnavyotaka watu wenye akili timamu na uelewa waamini ujinga na uongo huu wa mchana kweupe? Mbona CCM mnatia aibu sana...? Yaani eti lawama na mzigo wote wa dhambi za ma CCM atupiwe Odemba? Really?
 
Wadaanueni Mazuzu wenzenu wanaovaa Sanda za Kijani.
 
Mna barua ya kutbibitisha Nchimbi kuhudhuria? Management ya StarTv si ni ndugu na jamaa wa Diallo? Hata vikao wanaweza kufanya kwa kisukuma, maana ni wanaukoo, no proffessionalism
 
Labda mumtishe huyo Odemba. Lakini kila protocol alifuata.
Kaka nimekuuliza maswali muhimu kabisa. Hakuna anayekutisha hapa. Nimekuuliza hivi:
Je ukitaka kuwasiliana na taasisi huwa unatumia njia gani?
 
Mdahalo sio kitu kidogo hasa kipindi hiki tunachoelekea uchaguzi ikitokea mmoja ulimi ukateleza inaweza zalishwa ajenda hapo na ikawa fimbo ya kumuadhibu.
Midahalo ni muhimu sana kwa mustakabali wa Taifa. Ata watoto shule za misingi wanafundishwa kujenga hoja katika debates zao.

Nji hii tunajua midahalo ya UTo na Simba FC tu ila mambo mengine ya kitaifa tupo sufuri. Kenya wapo vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…