ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Ulishaona mtangazaji mwenye weledi akilia hadharani kisa mmojawapo wa wageni waalikwa hajafika? Nakazia hii kauli yako;Wewe MamaSamia2025;
Waliokanusha kuwa hawakualikwa ni nyie CCM. Na ndo kusema wanaopaswa kuthibitisha kwa ushahidi wa kuonekana, kushikika na kuaminika ni nyie CCM bila kujali mlipata taarifa kwa njia gani....
Kikubwa hebu JIBU hili 👇👇swali:
Kwamba mnataka umma uamini kuwa nyie CCM ni werevu na waungwana sana na kwamba Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu kiasi hicho, kwa siku kadhaa watangaze ushiriki wa CCM kwenye mjadala huo wa wazi kupitia kwa katibu wenu bila ridhaa yenu....?
Ndo mnataka tuamini hivi siyo?
Aisee, kuiamini CCM kwa lolote kwa masuala muhimu ya haki yanayopaswa kufanyika kwa UHURU na UWAZI nilisema toka mwanzo na nasema tena, basi ni lazima uwe na akili za kujaa nusu kisoda tu.....!
Nyie CCM mambo yenu siku zote ni ya gizani, ya kiwiziwizi, uongouongo na ulaghai laghai tu....
Naomba wasifu wake kielimu?Nchimbi aliogopa mdahalo
Unagombea kwa tiketi ya UVCCM?In short Odemba ni idiot sana na hana akili. Yaani kweli unashindwa hata kulinda mamlaka?? Yaani anashindwa hata kutafuta sababu ya kiuongozi ili aonekane japo limeshindikana kidharula. Huyu mtu ni wa ovyo sana and he will never make it kwa sababu ya kukosa akili na weledi wa kazi.
Debate ilipangwa kwa muda mrefu sana zaidi ya miezi minne.Jamaa kilichomliza cha maana ni kipi sasa
Kwahiyo inawezekana kapata hasara ndo maana amelia?Debate ilipangwa kwa muda mrefu sana zaidi ya miezi minne.
una tatizo mahaliKwahiyo inawezekana kapata hasara ndo maana amelia?
Tatizo gani? Mdahalo kuandaliwa muda mrefu siyo sababu ya kuliauna tatizo mahali
shujaa je?Rais Mkapa peke ndiye alikuwa haogopi midahalo.Je ikitikea akiitwa pale Mlimani
Lakini si kumetolewa maelezo na yameeleweka au Odemba kapinga kuwa kilichoelezwa sio kweli?Kaingia Mitini tu asijikoshe.
Odemba sio mjinga.Lakini si kumetolewa maelezo na yameeleweka au Odemba kapinga kuwa kilichoelezwa sio kweli?
Kwahiyo asipotokea tena mtu wa ccm na vyama vyengine nao wanakula kona?Okay tufanye hakijaharibika kitu! Mdahalo mwingine tuone kama atatokea mtu wa CCM! Hakuna lolote ambalo CCM sasa hivi watazungumza na wananchi wakawaelewa. Odemba ni Big Brain!
gharama. walizozisababisha inabidi wazilipeBas wapange upya mdahalo,
This time CCM wapange ratiba wao ili mambo yasiwe mengi