Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Kwakweli watanyooka tu, uswahili umekaa kwa mswahili haswaaaaa

Ahahahahahaa!!Huyo ndio diamond bwana mwingine a.k.a!maneno hapo ndio nyumbani kwao mzurimie Evalyn Salt Dinazarde binti kiziwi Mazigazi Freeland Bansern Buner Heaven on Earth Kim nana sumbai kujeni huku

Watanyooka tuuuuuu watanyoooookaaaaaaaaaa......

Nimependa sna Diamond alivyojibu anajua sana" alaf jamaa yule jana anasema et diamond hajui kuongea hahaha kuanzia lin"

Hahahahahahaha Mondi kachafukwa

Diamond mtata sana huyu kijana. Ile video alivyoposti nilijua tu ashajiandaa na majibu zaidi ya elfu moja. Maskini dada wa watu kaingia kichwa kichwa asijue kuwa Diamond kabla hajapost kitu huwa anafikiria mara elfu. Haya majibu ya leo ni mujarabu kabisa, sidhani kama Jokate ataendelea kujibu, bora angekaa kimya na upole wake kama alivyoimbwa. #Watanyooshwatu #nabado #mtanyooka
 
Nimependa sna Diamond alivyojibu anajua sana" alaf jamaa yule jana anasema et diamond hajui kuongea hahaha kuanzia lin"

ahahahahaa nilijua tu lazima diamond ageuze maana!!ile caption kwa mtu anayekurupuka kama jikate lazima tu angejiongeza!ulikua ni mtego mmoja mzuri sana!

Kama alivyokatutega na lile gari yake ndivyo hivyo alivyomtega kwenye ile caption jokate. Majibu yote yanaweza kuwa sahihi A na B,Diamond anaweza kua sahihi kwamba hakumaanisha kejeli na mabango na Jokate vile vile anaweza kua sahihi
 
Diamond mtata sana huyu kijana. Ile video alivyoposti nilijua tu ashajiandaa na majibu zaidi ya elfu moja. Maskini dada wa watu kaingia kichwa kichwa asijue kuwa Diamond kabla hajapost kitu huwa anafikiria mara elfu. Haya majibu ya leo ni mujarabu kabisa, sidhani kama Jokate ataendelea kujibu, bora angekaa kimya na upole wake kama alivyoimbwa. #Watanyooshwatu #nabado #mtanyooka

Binafsi nimependa alivojibu wanyooshwe tuuuuu
 
Ahahahahahaa!!Huyo ndio diamond bwana mwingine a.k.a!maneno hapo ndio nyumbani kwao mzurimie Evalyn Salt Dinazarde binti kiziwi Mazigazi Freeland Bansern Buner Heaven on Earth Kim nana sumbai kujeni huku

watanyooka tu

mwanamke kajisuta mwenyewe live akome, angekuwa ametosheka na kama anayo ya kumshibisha asingebwata hivyo

Chibu oyeeee mtoto wa Tandale...kunya anye kuku asinye bata, hayo maneno machafu wenyewe waliyataka...

wakati anawakoga hawakukumbuka anatokea uswahilini...mbavu zangu mie
 
Hakyamungu chibu anadongo mweeeh!jokate amekomeshwa,ametegwa na akategeka!
 
Diamond mtata sana huyu kijana. Ile video alivyoposti nilijua tu ashajiandaa na majibu zaidi ya elfu moja. Maskini dada wa watu kaingia kichwa kichwa asijue kuwa Diamond kabla hajapost kitu huwa anafikiria mara elfu. Haya majibu ya leo ni mujarabu kabisa, sidhani kama Jokate ataendelea kujibu, bora angekaa kimya na upole wake kama alivyoimbwa. #Watanyooshwatu #nabado #mtanyooka
unaona ni sawa alivyofanya yy anahukumu wenzake mbona dully sykes hakumuhukumu tena ilikua ishu ya msingi saanaaa
 
Hahaha itakua umezoea masebene donald ndio type yke ya music hii RnB flan hv tamu na beat nzr na hii nymbo iko vry perfect to me.
we mkuuu acha umaandazi hamna kitu pale wallah kama johny imekosa tuzo ile bora asingerelease aisee
 
mwakani daimond akichukua tuzo mtv wallah nipigwe life ban la maishaa na naacha kushabikia maana na ujinga sasa
 
Back
Top Bottom