Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
- Thread starter
- #21
Kwakweli watanyooka tu, uswahili umekaa kwa mswahili haswaaaaa
Ahahahahahaa!!Huyo ndio diamond bwana mwingine a.k.a!maneno hapo ndio nyumbani kwao mzurimie Evalyn Salt Dinazarde binti kiziwi Mazigazi Freeland Bansern Buner Heaven on Earth Kim nana sumbai kujeni huku
Watanyooka tuuuuuu watanyoooookaaaaaaaaaa......
Nimependa sna Diamond alivyojibu anajua sana" alaf jamaa yule jana anasema et diamond hajui kuongea hahaha kuanzia lin"
Hahahahahahaha Mondi kachafukwa
Diamond mtata sana huyu kijana. Ile video alivyoposti nilijua tu ashajiandaa na majibu zaidi ya elfu moja. Maskini dada wa watu kaingia kichwa kichwa asijue kuwa Diamond kabla hajapost kitu huwa anafikiria mara elfu. Haya majibu ya leo ni mujarabu kabisa, sidhani kama Jokate ataendelea kujibu, bora angekaa kimya na upole wake kama alivyoimbwa. #Watanyooshwatu #nabado #mtanyooka