Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali


Mkulu tumia google hizo habari nyingi tuu, mfano kama hizi
1. Ming Kow Hah

2. • Twenty-six physicians with substance-abuse problems known to the board have not been disciplined, despite the fact that six lost their licenses in other states. In one instance, the board gave a license to a doctor knowing that he had "several alcohol-related arrests." Washington Post
 
miafrika tunajizarau ndio sababu hatuwezi kujiheshimu. huyo aliyeandika kama Dr Masau hajasomea kazi yake atashitakiwa.
 
Heshima mbele wakuu,

Kwenye hili Dr Massau bado hajaonyesha kuwa amewahi kupasua moyo in the USA.
anatumia blanket statements kuwahadaa watu... na naona ina work hapa!.

Kuhani is absolutely right kwa kusema kuwa kama hauna practicing licence ya state husika in the US, hauwezi kugusa mgonjwa kwa nia ya kumtibu... hasa ikiwa kwenye
reputable institution.

Hakuna popote Dr Massau ameonyesha ana hata ECFMG certification(some sort of medical education verification for foreign medical graduates), ambayo ni pre-requisite ya kupata licence ya kupractice in the USA.i.e licence ya kugusa mgonjwa U.S

Dr Massau anaongelea "kushiriki" katika upasuaji wa moyo!.... talk to any medical student or doctor and they will tell you "kushiriki" may mean anything kuanzia kuwa purely an observer in the theatre, to being a runner(unatumwatumwa mikasi na swabs), ua kuhold suction ya kunyonya any excess blood, to being an assistant to the surgeon kwa kumshikia/mvutia tissues. so tusipumbazwe na neno "kushiriki" sababu anaweza kabisa akawa alikua purely ni obsever tu. Labda atakapoli qualify zaidi.

Masurgeon huwa wanatumia "operations conducted" kwa kumaanisha zile alizofanya na sio "participated". Aseme cardiac "operations conducted" zake in U.S ni ngapi?

Massau is smart with his words, because he knows what he is talking about. Ingekua vizuri tungemkaribisha hapa jamvini tumuulize more direct questions.

Kuhani, you right so far!... Dr Massau karibu sana utuondolee utata beyond reasonable doubt, because you dealing with vulnerable peoples lives.
 
Mimi binafsi ninao ndugu (wa karibu kabisa) ambao wako pale Afya waliosomea Emory School of Medicine (Atlanta, Georgia)....

Dah!!!!! kelele zote hizo kumbe ni ndugu na si wewe..... kaziiiiiiiiiiiiiiiii kweli kweli

waafrica watabaki kuwa waafrica tuu
 

Aibuuuu umeshitukiwa kubali tuuu yaishe!
 

Quote:- Kuhani

Ni hivi, hakuna kiumbe cha Mwenyezi kinachoweza kugusa mgonjwa - achilia mbali kupasua - kugusa mgonjwa wa mafua Marekani kama huna kibali cha uganga. Period. Simple as that. Period.

Haya ni maneno yako mwenyewe, sasa unakataa nini? Unajaribu kufukuza hewa kwa kutka kubadili topic, huna lolote wewe ni muongo tu period, Dr. Masau ameshiriki kwenye kupasua watu 1800, akiwa Texas amesema mwenyewe, wewe si ulisema unafanya lawsuit kamshitaki basi tuone kama una ukweli, utabadili rangi mpaka uchoke lakini huwezi futa hii aibuuu ya mwaka! Kama ni ufisadi sidhani kama kuna unaozidi huu wa kushikwa uongo mtumzima aibuu tupu hebu tuonedoleee upuuuzi huu kubali yaishe tu!
 
Kuhani wa MARUHANI. Si ukiri tu kuwa ulizusha! Muungwana huomba radhi atelezapo kwa hoja. Umeshindwa hoja sasa wazua vioja...

Asha

Sawa sawa, akubali tu yaishe aibuu sana kwa mtumzima!
 
mwanaizaya

Re: Dr. Masau ajibu hoja za Ndg. Kuhani

MAUMAU MKUU

SOMA HAPA

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).


Haya ni maneno ya Farasi mwenyewe, unajua kweli dunia inakaribia mwisho, yaani mtu ameshikwa uongo na bado anajaribu kutuhadaa na maneno ya uongo zaidi na kubadilika rangi kama kinyonga na huku tunamuona hivi hivi? Hivi bin-adam wengine haa aibu kidogo hamna?
 


usipoteze muda wako kwa mtu analeta uongo hapa kuhusu fani kwa vichwa vya ndungu zake (yani ndg zaku ndo madaktari na sii yeye), yeye mwenyey hajijui
 


Quote:- Dr. Masau

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).
 
Tunapaswa kuangalia kote kote.

Hivi, wizara husika ilikuwa wapi kutoweza kuzuia masuala km haya yanayohusu kashfa hii kutokea? Nakumbuka mwanzoni kabisa wkt huyu "daktari" alipofanya upasuaji wake wa kwanza, alitangaza ktk vyombo vya habari kuwa amefanya upasuaji wa moyo kwa mara ya kwanza hapa nchini. Wizara ilikuja juu sana kupinga suala hili wakidai kuwa Muhimbili walishafanya upasuaji wa moyo kabla ya huo, miaka ya nyuma! HII ILIKUWA "BIG ISSUE" KWA WIZARA.

JE, WALISHINDWAJE KUJUA "UTAPELI" WA "DAKTARI" HUYU? AU KWA WKT ULE WALIWEKA MBELE CHUKI ZAO BINAFSI KWA "DAKTARI" HUYU KULIKO MANUFAA YA WATANZANIA NA KILA AMBAYE ANGEKWENDA KWA AJILI YA MATIBABU?

WIZARA NA KILA ALIYEHUSIKA NA USAJILI WA THI NI LAZIMA AWAJIBIKE!!
 
Sasa nataka kuamini kuwa Kuhani ama ni Manji ama ni Dr,Dau mwenyewe, sasa hoja hapa ulisema kuwa huyu mzee wa watu hakusoma, sasa unabanwa kwa uongo wako unakuja na kuanza kujibizana na watu ambao wamepost na kukosea vijimistari.

Unapaswa ama kusimamia hoja zako na kuweka the other side uwanjani ama kuomba radfhi kama ulidanganya.

Muungwana ni vitendo, laa sivyo naamini kuwa wana JF hapa watayachukulia maneno yako yote kama uzushi na upotoshaji wa makusudi.
 

asante kaka...........................
 
Kwani Kuhani na Maumau wamekosea wapi? Kuhoji credentials za huyu mheshimiwa? Mbona hata mimi majibu yake hayajanikalia vizuri? Nilidhani hapa hakuna aliye sacrosant! Katika nchi iliyojaa Ph.D fake, washindi wa Noble fake, wahandisi fake na hata mafundi mchundo fake!!!! Tupinge hoja zao lakini tusiwabeze!
 
Kwanza, nimpongeza Mwanakijiji kwa juhudi zake za kupata ukweli kuhusu hili jambo.

Pili, niseme hivi Kuhani, GT, katika hili mmeumbuka na mmekatwa ngebe hasa. Na tena msi-twist mambo. Hoja yenu kuu ilikuwa kwamba Masau udkatari wake wa upasuaji moyo ni fake hadi mkawa mna-suggest hata afikishwe mahakamani, sasa vipi tena mnaanza kuleta za kuleta?

Kama kweli hamna chuki binafsi na mafanikio ya huyu ndugu, ombeni msamaha kuhusu hatua yenu ya kifedhuli ya kutaka kudhalilisha taaluma na utaalamu wake, ndipo tuendelee kujadili mambo mengine ya yeye kulipa au kutokulipa kodi. Kama hamuwezi kuomba msamaha kwa hatua hii chafu, basi hatuna sababu ya kuendelea kujadili hii mada.

Zaidi ya yote ifike mahala katika hii forum tuwe wakali kwa mambo ya uzushi, na kama vile ambayo ma-MoDs wanachukua hatua kali kwa waporomosha matusi na wavunjifu wa amani, vivyo hiyvo wafike mahala waanze kuchukua hatua kali kwa wazushi maana hawajidhalilishi wao tu, bali pia hata forum hii.
 

kubeba Box Kama Anabisha Aweke Cheti Alichonacho Kama Sio Health & Safety And First Aid
 
Last edited by a moderator:
kubeba Box Kama Anabisha Aweke Cheti Alichonacho Kama Sio Health & Safety And First Aid


Tunamuomba Kuahani Ajitokeza Hadharani na Jina lake Halisi, We want To double check his credintials and His education.

Mnajua humu JF kuna watu wanapenda misifa waonekane kwamba wameanzisha mada harafu watu wameishabikia,Lakini sifa za namna hiyo sio nzuri mzee
 
Last edited by a moderator:

Oh Mayn! Looks like mgagagigikoko is back with a vengeance! Hahahaa! 😀
 

Maneno haya yaangaliwe kwa macho mawili! tunahitaji kutofautisha kufanya na kushiriki.
 
Ukiwa na leseni ya udereva ya Tanzania huwezi kuendesha UK au Marekani bila kuwa na leseni au kupewa baraka za bodi zinazohusika na mambo hayo za UK au Marekani.

Sio Kweli unaruhusiwa kuendesha kwa muda wa mwaka mmoja ili uiconvert leseni yako sio kwamba huruhusiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…