Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

Kuhani kakaangwa kama GT alivyokaangwa kwenye issue ya faili la Kigamboni hadi ile issue ilipoibuliwa bungeni ndio alirudi, tutegemee mambo kama hayo kwani wanafikri kila moja hapa yupo kwenye hadithi za esopo.

Bravo kwa members wote wa JF ambao hawaangalii mtoa hoja ni nani bali hoja iliyotolewa.
 
............Tabia ya kuogopa kuhoji kwa kisingizio kuwa tutawakimbiza wenye moyo does not hold water. .............!

Fundi

..........hakuna anayezuia kuhoji credentials za mtu hapa......na ni vyema kila anayedai ni mjuzi wa kitu fulani credentials zake hazina budi kuhakikiwa sio Si Dr Masau pekee hata wengine kwenye fani mbali mbali.........tunachokipigia kelel hapa na KULAANI ni uzushi uliokubuhu.......kwa sababu mtu kadai kapiga simu kuulizia......kumbe kaulizia pumba na yeye kajibiwa pumba....... na yeye bila kuchuja kazimwaga pumba hapa JF........ndio UZUSHI ambao hatuutaki
 
kama umeamua kuhamisha goal posts then fine.Sasa imerge hii thread na ile ya Masau kutolipa rent NSSF kisha katika kuonyesha nia yako na uzalendo wako waomee MAGAGAGIGIKOKO na MASATU msamaha ili wawe un Banned mana inasemekana walikuwa banned kwa sababu walikuwa wamepishana na wewe na wamekutukana, japo ushahidi ulioletwa hatujaona tusi lolote lile

Pumba of the highest degree.
 
GT, aminia mjomba, ni yeye huyo mwenyewe ndiyo MoD aliyewafungia siyo tu hao bali mimi pia: tena mara mbili nikiwa kama Nyama Hatari na BabaAsofuPasko na mara zote kwa kutoa hoja za kumkosoa mhusika! Na nadhani baada ya hii posting usiashangae nikafungiwa mara ya tatu! Mnafiki mkubwa tena hovyoo!
 
Pumba tupu! umeongea kama kidampa mmoja primitive kupita kiasi....shame on you!!.

Gesi gani? unauhakika kwamba "gesi" tu alopewa mgonjwa ikasababisha kichwa kipasuke? unafikiri kichwa ni sawa na puto la bethdei, kwamba kila ukiweka gesi kinatanuka na ukizidisha kinapasuka? aisee hivi wewe kweli upo serious?

Research hiyo story vizuri halafu njoo tena....ila unajulikana wewe GT kwa kupiga majungu, ndivyo mlivyo miswahili ya mafia sijui wapi huko kwenu.

I expect a ban from the mods kwani hilo ni tusi kubwa sana ulilonitukana. I dont mind kuwa criticized lakini kutukanwa ni normal kwangu
 
Mkuu NN

...............nimeamin maneno yako aisee...............hebu angalia hi hapa chini

"GT, aminia mjomba, ni yeye huyo mwenyewe ndiyo MoD aliyewafungia siyo tu hao bali mimi pia: tena mara mbili nikiwa kama Nyama Hatari na BabaAsofuPasko na mara zote kwa kutoa hoja za kumkosoa mhusika! Na nadhani baada ya hii posting usiashangae nikafungiwa mara ya tatu! Mnafiki mkubwa tena hovyoo!

....kwi kwi kwi kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
kama umeamua kuhamisha goal posts then fine.Sasa imerge hii thread na ile ya Masau kutolipa rent NSSF kisha katika kuonyesha nia yako na uzalendo wako waomee MAGAGAGIGIKOKO na MASATU msamaha ili wawe un Banned mana inasemekana walikuwa banned kwa sababu walikuwa wamepishana na wewe na wamekutukana, japo ushahidi ulioletwa hatujaona tusi lolote lile

GT... ni wewe ndio uwaombee msahamaha na ungekuwa muungwana ungeniomba radhi kwa jaribio lako la kunihusisha mimi na kufungiwa kwao, hadi watu wakanishambulia na wewe ukakaa pembeni. Kama Kuhani "alivyoambiwa" na wewe "umeambiwa" basi ukakubali tu. Nipo hapa muda mrefu hata hukuchukua muda kuniuliza kulikoni kama vile Kuhani hakuchukua muda kumhoji Dr. Masau.

Sielewi kama una kitu dhidi yangu mimi kama mimi au kitu kingine maana mashambulizi yako haya ya karibuni yanadhiridhirisha kuwa hatutofautiani kwa hoja bali kuna zaidi ya hoja. Kama ni hivyo, endelea tu angalau naelewa nini kinaendelea.

Halafu kutaka mimi nihamishe mada nipeleke wapi nina nguvu gani mimi? na hilo la kuombea msamaha kwanini wewe usiwaombee msamaha watu wazima ambao wanaweza kuomba msamaha wao wenyewe?
 
jee wewe hujatoa hoja tena zenye uthibitisho mzito ambazo zingeweza kuwa na athari mbaya zaidi juu ya Wahusika na familia zao? Mfano ni kuhusu Mehdi Mpakanjia ambapo almost uliapa kwamba kutokana na vyanzo vyako vya habari, Mohammed Mpakanjia hatunaye tena duniani! Jee lipi baya zaidi: kumzushia binadamu mwenzo kifo bila ya kuwa na uthibitisho kamili au kudadisi uwezo wa kitaaluma wa msomi na mwana taaluma fulani mwenye uhai?

Mimi sijawahi ndani ya hii forum kuanzisha topic inayosema Med-Mpaknjia amefariki tena kwa breaking newsss, ninaomba kama unayo au unaijua ilipo uiweke hapa mkuu, na ikiwezekana ifungulie thread yake,

Naona unataka kubadili topic lakini ninakuahidi over my dead body nitakupa hiyo nafasi, Med Mpakanjia ni mshikaji wangu long time, yeye Msilwa-(Twanga-Pepeta), Martin (FM-Academia) na Papa Msofe ninawafahamu kwa karibu sana maana hawa siku zote wamekuwa ni kundi moja, Martin ni ndugu yangu sasa nitaanzaje kuzusha kuwa Med amekufa, labda unaota mkuu!

Ila ukitaka fungua thread tumjadili Med-Mpakanjia, aliyekuwa mume wa RIP Amina Chifupa, nitakueleza mengi kuhusu tulikotoka na maisha ya town, lakini hapa ni uzushi against Dr. Masau,

Halafu unajua kuwa watu wazima hawatishiani nyau!
 
GT... ni wewe ndio uwaombee msahamaha na ungekuwa muungwana ungeniomba radhi kwa jaribio lako la kunihusisha mimi na kufungiwa kwao, hadi watu wakanishambulia na wewe ukakaa pembeni. Kama Kuhani "alivyoambiwa" na wewe "umeambiwa" basi ukakubali tu. Nipo hapa muda mrefu hata hukuchukua muda kuniuliza kulikoni kama vile Kuhani hakuchukua muda kumhoji Dr. Masau.

Sielewi kama una kitu dhidi yangu mimi kama mimi au kitu kingine maana mashambulizi yako haya ya karibuni yanadhiridhirisha kuwa hatutofautiani kwa hoja bali kuna zaidi ya hoja. Kama ni hivyo, endelea tu angalau naelewa nini kinaendelea.

Halafu kutaka mimi nihamishe mada nipeleke wapi nina nguvu gani mimi? na hilo la kuombea msamaha kwanini wewe usiwaombee msamaha watu wazima ambao wanaweza kuomba msamaha wao wenyewe?

nimesahau kuwa siku za nyuma ulisema kuwa uko na DR MASAU kwenye hii issue to the end
 
Mkuu Gamba La Nyoka, saafi sana maana hii ni kumkoma nyani giladi bila kujali uso wake:-

gamba la nyoka :gamba la nyoka has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Tue May 2007

Re: Dr. Masau ajibu hoja za Ndg. Kuhani

Halafu kila siku kulaumu vyombo vya habari vya Bongo, kwamba ni vitupu, yeye mwenyewe alipojaribu kutafuta habari, kashindwa hata kumuuliza mhusika mkuu, sasa sijui madai yake ana yabase katika kitu gani!

tulishamuonya, logic bila data wakati mwingine haitoshi, sasa anabaki kucheza na maneno
mara ooh dk Masau kasoma kwa kutazama tu, ghafla anakataa, eti mtu hawezi kusoma upasua moyo kwa kutizama, sasa sijui wale madenti pale muhimbili wanaohudhuria operation za wakufunzi wao pale wanakuwa hawasomi?.

labda wataalamu wa ufundishaji mtueleze kuna njia zipi zaidi za kusoma?
mimi ninazozijua

1:kusikiliza 2:kusoma vitabu 3:kutizama 4:kujadiliana 5:kutenda

kwa hiyo utaona hapo katika njia nilizozitaja upasuaji moyo utacombine hizo zote, sasa sijui kuhani anakataa kwamba kutazama dk anavyopasua yaweza kuwa ni njia mojawapo ya kusoma upasuaji vizuri zaidi kwa mtu anayeongeza ujuzi wake?
 
Mimi sijawahi ndani ya hii forum kuanzisha topic inayosema Med-Mpaknjia amefariki tena kwa breaking newsss, ninaomba kama unayo au unaijua ilipo uiweke hapa mkuu, na ikiwezekana ifungulie thread yake,

Naona unataka kubadili topic lakini ninakuahidi over my dead body nitakupa hiyo nafasi, Med Mpakanjia ni mshikaji wangu long time, yeye Msilwa-(Twanga-Pepeta), Martin (FM-Academia) na Papa Msofe ninawafahamu kwa karibu sana maana hawa siku zote wamekuwa ni kundi moja, Martin ni ndugu yangu sasa nitaanzaje kuzusha kuwa Med amekufa, labda unaota mkuu!

Ila ukitaka fungua thread tumjadili Med-Mpakanjia, aliyekuwa mume wa RIP Amina Chifupa, nitakueleza mengi kuhusu tulikotoka na maisha ya town, lakini hapa ni uzushi against Dr. Masau,

Halafu unajua kuwa watu wazima hawatishiani nyau!

Duh! noma tupu
 
Sorry for the inconvenience, thread will temporarily close !
 
Natumaini wote mtachangia kiungwana.

Thanks all.
 
Masau lipa RENT!

Kuna kesi mahakamani na Masau hajakataa, anadaiwa rent ya pango. Sheria lazima zifuatwe sio kwa sababu yeye ni Mtanzania ndio basi aburuzwe bila sheria. Hivi sasa kuna Credit Crunch hata kwenye nchi zilizoendelea unafikiri ni kwa nini? Wafanyi-biashara wakubwa na matajiri wanatumia pesa ya kukopa kuendesha biashara zao.

Nchi kubwa na tajiri kama marekani wanapata matatizo itakuwa Masau!
 
Mkuu NN

...............nimeamin maneno yako aisee...............hebu angalia hi hapa chini

....kwi kwi kwi kwi kwi

Oh yeah....ulidhani natania? Hiki kijamaa Njabu Ngabu hata kifanyeje mimi nitakijua tu.....hata kijiite Kadinali Rugambwa nitakijua tu..na kila kitakapojitokeza ni ban..ban...ban mtindo mmoja. Hakuna huruma kwa hiki kijamaa...
 
Mimi nilitoa hitimisho langu kuwa huyu Kuhani ni hovyo kabisa na hiyo so called "investigation" yake ni half-baked.....mnaona sasa....yeye mwenyewe kaingia mitini baada ya kuumbuka na hana hata ujasiri wala ustahifu wa kuomba radhi. Mzee Kyoma alimaliza huu mjadala wa qualifications za Masau last week. So much kwa mtu anayekosoa waandishi wa bongo kila siku ya Mungu....
 
Tukiwachambua na VIONGOZI wetu wa KISIASA kama tulivyomchambua Dr Masau tunaweza kupata RAIS, MAKAMU na PM wazuri sana.
 
Back
Top Bottom