............Tabia ya kuogopa kuhoji kwa kisingizio kuwa tutawakimbiza wenye moyo does not hold water. .............!
kama umeamua kuhamisha goal posts then fine.Sasa imerge hii thread na ile ya Masau kutolipa rent NSSF kisha katika kuonyesha nia yako na uzalendo wako waomee MAGAGAGIGIKOKO na MASATU msamaha ili wawe un Banned mana inasemekana walikuwa banned kwa sababu walikuwa wamepishana na wewe na wamekutukana, japo ushahidi ulioletwa hatujaona tusi lolote lile

Mimi Nimesha-conclude Kuwa Kilichomkwamisha Dr Masau Tanzania Ni:
1. Tabia Ya Viongozi Wetu Kuweka Maslahi Yao Mbele.
.
Pumba tupu! umeongea kama kidampa mmoja primitive kupita kiasi....shame on you!!.
Gesi gani? unauhakika kwamba "gesi" tu alopewa mgonjwa ikasababisha kichwa kipasuke? unafikiri kichwa ni sawa na puto la bethdei, kwamba kila ukiweka gesi kinatanuka na ukizidisha kinapasuka? aisee hivi wewe kweli upo serious?
Research hiyo story vizuri halafu njoo tena....ila unajulikana wewe GT kwa kupiga majungu, ndivyo mlivyo miswahili ya mafia sijui wapi huko kwenu.
"GT, aminia mjomba, ni yeye huyo mwenyewe ndiyo MoD aliyewafungia siyo tu hao bali mimi pia: tena mara mbili nikiwa kama Nyama Hatari na BabaAsofuPasko na mara zote kwa kutoa hoja za kumkosoa mhusika! Na nadhani baada ya hii posting usiashangae nikafungiwa mara ya tatu! Mnafiki mkubwa tena hovyoo!
kama umeamua kuhamisha goal posts then fine.Sasa imerge hii thread na ile ya Masau kutolipa rent NSSF kisha katika kuonyesha nia yako na uzalendo wako waomee MAGAGAGIGIKOKO na MASATU msamaha ili wawe un Banned mana inasemekana walikuwa banned kwa sababu walikuwa wamepishana na wewe na wamekutukana, japo ushahidi ulioletwa hatujaona tusi lolote lile
jee wewe hujatoa hoja tena zenye uthibitisho mzito ambazo zingeweza kuwa na athari mbaya zaidi juu ya Wahusika na familia zao? Mfano ni kuhusu Mehdi Mpakanjia ambapo almost uliapa kwamba kutokana na vyanzo vyako vya habari, Mohammed Mpakanjia hatunaye tena duniani! Jee lipi baya zaidi: kumzushia binadamu mwenzo kifo bila ya kuwa na uthibitisho kamili au kudadisi uwezo wa kitaaluma wa msomi na mwana taaluma fulani mwenye uhai?
GT... ni wewe ndio uwaombee msahamaha na ungekuwa muungwana ungeniomba radhi kwa jaribio lako la kunihusisha mimi na kufungiwa kwao, hadi watu wakanishambulia na wewe ukakaa pembeni. Kama Kuhani "alivyoambiwa" na wewe "umeambiwa" basi ukakubali tu. Nipo hapa muda mrefu hata hukuchukua muda kuniuliza kulikoni kama vile Kuhani hakuchukua muda kumhoji Dr. Masau.
Sielewi kama una kitu dhidi yangu mimi kama mimi au kitu kingine maana mashambulizi yako haya ya karibuni yanadhiridhirisha kuwa hatutofautiani kwa hoja bali kuna zaidi ya hoja. Kama ni hivyo, endelea tu angalau naelewa nini kinaendelea.
Halafu kutaka mimi nihamishe mada nipeleke wapi nina nguvu gani mimi? na hilo la kuombea msamaha kwanini wewe usiwaombee msamaha watu wazima ambao wanaweza kuomba msamaha wao wenyewe?
Mimi sijawahi ndani ya hii forum kuanzisha topic inayosema Med-Mpaknjia amefariki tena kwa breaking newsss, ninaomba kama unayo au unaijua ilipo uiweke hapa mkuu, na ikiwezekana ifungulie thread yake,
Naona unataka kubadili topic lakini ninakuahidi over my dead body nitakupa hiyo nafasi, Med Mpakanjia ni mshikaji wangu long time, yeye Msilwa-(Twanga-Pepeta), Martin (FM-Academia) na Papa Msofe ninawafahamu kwa karibu sana maana hawa siku zote wamekuwa ni kundi moja, Martin ni ndugu yangu sasa nitaanzaje kuzusha kuwa Med amekufa, labda unaota mkuu!
Ila ukitaka fungua thread tumjadili Med-Mpakanjia, aliyekuwa mume wa RIP Amina Chifupa, nitakueleza mengi kuhusu tulikotoka na maisha ya town, lakini hapa ni uzushi against Dr. Masau,
Halafu unajua kuwa watu wazima hawatishiani nyau!
Masau lipa RENT!
Mkuu NN
...............nimeamin maneno yako aisee...............hebu angalia hi hapa chini
....kwi kwi kwi kwi kwi