Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Inaonekana kuna wakaazi wa mbagala wengi humu. Ila mbagala kuna watu jamani, mbagala sikai hata kwa kulipwa.
Naa akulipe nani iliupate kiwanja mbagala,mchukue mtu wa mbagala hood yeyote mpeleke kokote tanzania anatoboa
 
Ushaur wangu kwa vijana.
Ni bora ununue kiwanja bei ghali sana ujenge nyumba ya hela chache kuliko kununua kiwanja bei ndogo ukajenga li ghorofa. Utakuja kunishukuru.
 
hao ndiyo wamekuwa wastaarabu na wajuaji kuliko wazawa wa hapa hapa
 
Haohao waliotoka kulala na ng'ombe walisafiri na Ng'ombe mpaka Dsm kisha wakaja kununua maeneo yenu na kuwekeza kisha wakawaajiri ninyi waswahili
wameajiri waswahili kuwafugia ng'ombe kwenye majumba yao ya ghorofa
 
Ushaur wangu kwa vijana.
Ni bora ununue kiwanja bei ghali sana ujenge nyumba ya hela chache kuliko kununua kiwanja bei ndogo ukajenga li ghorofa. Utakuja kunishukuru.
Akili yako inafanya kazi vizuri, kuna jamaa yangu kuuza nyumba Tabata kwenda Kujenga Chanika, inashangaza sana, hata kama kufanya hivyo kuna pesa unabaki nayo Mimi sifanyi biashara hiyo.

Mimi naishi kilometres 12 tu kutoka city center, huwezi kunipeleka sehemu kuishi masaa mawili upo barabarani ni kutotumia akili vizuri na kufuata viwanja vya bei rahisi.

Maeneo yetu nyumba za million 40 bado zipo ni bora mtu ununuwe uvunje ujenge unachotaka kuliko kuishi sehemu kama unasafiri mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…