Umeshaamini kuwa "ikifika Disemba, 2011 watakuwa wameongeza MW300"?. Umeasahau ahadi zilizokuwa zikitolewa kwenye hotuba za mwisho wa mwezi mwaka 2006?
"Sasa ufikirie kwamba toka Uhuru tumeweza kuzalisha umeme wa MW600, lakini toka 2009 mpaka Disemba mwaka huu tutakuwa tumeongeza MW300! Ni jitihada kubwa.
Hiyo ndio sentensi kamili, mbona unaweka unayoyapenda wewe tu?
hata mimi mkuu inanikera visivyo kawaida inaonyesha ni jinsi gani alivyooba uongozi pasipokujua majukumu yakeHakuna kauli ya rais mkwele inayoniudhi na kunichefua siku nzima inayosema "serikali haina uwezo wa kufanya mvua inyeshe". Kwa maoni yangu binafsi kauli hiyo ndiyo inayopambanua waziwazi uwezo mdogo wa kikwete. Siju kama kuna chizi anayeweza kutamka maneno ya ajabu kama hayo.
tumelogwa na ccm ndo maana hatubadilikiNasema hivi,huu ukame kama ndio sababu basi tumelogwa wabongo!
alternative nikuondoa na kutoingia mikataba fakepersonally nimemuelewa Mr. President sasa kama chadema wana alternatives hebu wauweke hapa tupime.
si kwavile upinzani wanasubiria hoja itolewe na ccm ndo ikubalike mamba na yeye hashikishi ubongo aweke uccm pembeni atafute utatuziMbona Mbowe alishasema iundwe kamati ya wataaalamu kutatua tatizo na PINDA alipinga! chadema wanashauri watalaamu washilikiswe!
Umeshaamini kuwa "ikifika Disemba, 2011 watakuwa wameongeza MW300"?. Umeasahau ahadi zilizokuwa zikitolewa kwenye hotuba za mwisho wa mwezi mwaka 2006?
We've been generating less than 500mw for the past 15yrs......the promises are not bankable.Nikuulize wewe, mnayeona hajafanya kitu. Unanshangaza kuniuliza mimi!
Rais gani aliofanya hivyo katika awamu nzima aliokaa kitini? pamoja na Mkoloni changanya. 300 in 3 Years, 600 in 5 Years, over 2000 by the end of his tenure.
haikuwa vietnam jamani, ilikuwa Thailand, baada ya ile ziara yule Waziri Mkuu akaondolewa kwa nguvu za umma, huyu wa kwetu naye hakukaa sana akajiuzulu kwa kashfa ya richmond
Mkuu FF, sasa kama kafanya yote hayo na wengine hawakufanya kama alivyofanya yeye, Mbona kipindi chake pamoja na kufanya makubwa kama unavyotaka tuamini mgawo wa umeme haukomi na unaendelea kila siku tena kiasi cha masaa ya kutokuwa na umeme yanaongezeka?Nikuulize wewe, mnayeona hajafanya kitu. Unanshangaza kuniuliza mimi!
Rais gani aliofanya hivyo katika awamu nzima aliokaa kitini? pamoja na Mkoloni changanya. 300 in 3 Years, 600 in 5 Years, over 2000 by the end of his tenure.
.
BBC: Kuna njia kama umeme wa jua, umeme wa kutokea ardhini wa mvuke, kwanini serikali haitafuti njia mbadala kuzalisha umeme kwa njia hizo?
Rais Kikwete: Nasema hivi, hata umeme wa jua lazima ujenge, umeme wa mvuke lazima ujenge, si kitu cha mwezi mmoja. Nasema huo ndio ukweli wenyewe na wakati mwingine na nyinyi mjifunze hayo mambo ya kitaalamu kulikoni kuuliza tu hivi hivi. Unajua ungekuwa na wewe unauliza kwa hoja - "unajua kwamba hiki kitu hiki ingekuwa umeme wa jua miezi miwili tu upo" - tungeweza kufanya hivyo.Sisi sasa hivi kwa mfano tunajiandaa kuzalisha umeme wa kutumia Upepo, pale Singida. Tuna mwaka wa tatu sasa tuna mipango na Wakorea wa Kusini, umeme haujakuwepo. Kwa hiyo nasema hayo ni maelezo rahisi. Wanasema "mbona jua lipo?" katengeneze umeme wa jua kama jua lipo! (kicheko).
Hivi Mheshimiwa wetu nani anampa maelekezo ya kitaalamu kama haya, ni mhandisi gani huyo aliyempa maelekezo kama haya kuhusu umeme wa jua? kusanifu na kusimika mifumo ya kuzalisha umeme jua kweli ina hitaji miezi miwili? Tafadhali nifafanulie hapo.
Mkuu FF, sasa kama kafanya yote hayo na wengine hawakufanya kama alivyofanya yeye, Mbona kipindi chake pamoja na kufanya makubwa kama unavyotaka tuamini mgawo wa umeme haukomi na unaendelea kila siku tena kiasi cha masaa ya kutokuwa na umeme yanaongezeka?
Kiongozi anatakiwa kutatua matatizo, sio kutoa visingizio.
Kusema "matatizo nimeyakuta" ni kukimbia wajibu wa kuyatatua. Kama hawezi kuyatatua kwa nini alitaka uongozi?