Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

Mkumbushe hayo na Obama wenu basi....aache kumlaumu Bush kila apatapo fursa!
Wa kwetu Obama hajamlaumu Bush kiasi inavyostahili. Kuwakumbushia Wamarekani alichorithi si vibaya. Lakini anajitahidi kupambana na deni la nchi ingawa Marepublicans wamemkalia vibaya. Amekomboa benki na kampuni za motakaa, wanalalamika. Amewaambia matajiri walipe kodi kwa stahiki ya kipato chao hawataki, lakini wanataka kupunguza medicare na social security. Mbona Bush alipandisha national debt mara saba katika miaka minane na sikusikia hata siku moja akina Bohner wanalalamika au kupinga? Waambie waache unafiki.
 
Hivi Obama angewaambia Wamarekani kuwa matatizo ya deficit ameyakuta (which is true) halafu asifanye juhudi zozote kupambana nayo hivi kweli angepata term ya pili? Mimi nadhani angekuwa one term president. Lakini anajitahidi na anaendelea kujitahidi kuapmbana na matatizo ya unemployment, deficit, na deni la nchi. Hajasingizia mtangulizi wake licha kwamba ana haki kabisa ya kufanya hivyo. Huo ndio mfano bora wa uongozi. Kikwete angetuambia kuwa ameyakuta na amefanya hiki na hiki kupambana nayo ingekubalika. Lakini hivi visingizio visivyo na tija vinapelekea mtu kuuliza aliutaka urais wa nini, na anafanya nini pale Magogoni?

Jasusi my friend, mbona kila siku Obama analialia kuwa matatizo kayakuta? Au husikii? Yaani kila siku Bush hivi...Bush vile.....Bush hayupo sasa. Yeye yupo Dallas na mkewe. Huu uchumi ni wake na mwakani itakuwa referendum kwake na si Bush. Bush hayupo kwenye ballot.
 
Kumbuka kipindi cha Kikwete umeme unatumika sana kuliko awamu yoyote ile, makampuni yamezidi, watu wengi sana ambao walikuwa hatumii umeme (wako shamba) wameingia mijini na inabidi watumie umeme, viwanda vimezidi, usambazaji wa umeme hadi vijijini umezidi sana wakati huu. Impact ya kukosa umeme miaka 6 iliyopita sio kama ya sasa hivi. Matumizi ya umeme yamezidi kuliko tunavyowekeza kwenye umeme.

Hii Kikwete anaibadilisha, tueona jinsi alivyowekeza kwenye umeme kwa muda mfupi sana, lakini mitambo ya umeme unayonunua leo sio kama itafika leo hii hii, inabidi ukimbizane na wakati na bahati mbaya sana umeme wetu tuliokuwa tunautegemea ni wa maji na maji ndio ukame.
Shangazi,
uUsisahau kuongezeka kwa viwannda kunaendana sambamba na mapato ya serikali,unless kuna makosa kwenye tax code yetu.MW 600 when GDP was 5bn$,MW 1000 when GDP is 22bn$....huu uwiano unauonaje?
Pili,naomba kwa hisani yako unipe jibu la swali nilokuuliza awali,hizo megawati 300 aliziweka wapi na lini?
Natanguliza shukran za dhati.
 
Jamani naomba kuwauliza waungwana mana hivi karibuni hasa kwenye suala la umeme kumekua na kauli za JK kujitetea na pia wafuasi wake kumtetea kwamba "matatizo ya umeme ameyakuta".
Hivi kweli kauli hii ina tija na ni ya kutolewa na kiongozi makini?maana wakati anagombea urais hayo matatizo yalikuepo na aliyaona ina maana angekua mtu makini angekua na strategy kbs ya kutuondolea hayo matatizo! Sasa suala la kusema matatizo nimeyakuta tumueleweje?kwamba kma kayakuta sio jukumu lake kuyaondoa au kwamba alikua anataka kua rais tu ila hakua na nia ya kutuondolea hayo matatizo aliyoyaona kabla hajawa rais?
Mungu ibariki tanzania ili tupate viongozi wanaotaka kututatulia matatizo yetu na sio watawala wanaotaka kutuongoza tu ila matatizo wanasema sio yao

Angetwambia hivyo basi wakati wa kampeni ya 2005 kwamba matatizo aliyoyakuta hatakuwa na uwezo wa kuyashughulikia na atayaacha kama yalivyo badala ya kampeni zilizojaa uongo wa hali ya juu kuhusu kuipitia mikataba ya uchimbaji wa madini yetu na kuifanyia marekebisho ili iwe na maslahi kwa Tanzania na Watanzania, Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana na akichaguliwa basi ataingia madarakani na ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
 
Mkumbushe hayo na Obama wenu basi....aache kumlaumu Bush kila apatapo fursa!

First off, Obama is not the gold standard, this applies to him as well.

But as Jasusi said, Obama has maintained a balance between solving the problems and putting things in perspective, and I would agree with Jasusi that he is not retorting his critics enough by underlining the origins of the current issues.

The difference between Obama and Kikwete is that Obama is doing something, and when his critics are hammering him, he reminds them "this is not my doing".

Kikwete on the other hand adopts a defeatist attitude, "matatizo nimeyakuta" "haya ni mapenzi ya mungu" "siwezi kunyesha mvua".

Sasa kwa nini alitaka urais?
 
We've been generating less than 500mw for the past 15yrs......the promises are not bankable.
Can you tell me when and where did we invest those 300mw?

Government Funded - Completed Projects

[TD="width: 44"] S/NO
[/TD]
[TD="width: 178"] PROJECT NAME
[/TD]
[TD="width: 180"]
FINANCIER
[/TD]
[TD="width: 198"] COVERED AREAS/COMPONENT
[/TD]
[TD="width: 222"]
EXPECTED OUTCOME
[/TD]
[TD="width: 84"]
FINISH DATE
[/TD]

[TD="width: 44"]
[/TD]
[TD="width: 556, colspan: 3"] Completed Projects
[/TD]
[TD="width: 222"]
[/TD]
[TD="width: 84"]
[/TD]

[TD="width: 44"]
1
[/TD]
[TD="width: 178"] Ubungo Gas Plant – 102.5 MW
[/TD]
[TD="width: 180"] Government of United Republic of Tanzania
[/TD]
[TD="width: 198"] Ubungo, Ilala district - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, Connected to the National Grid through Grid Control Center (GCC) Contributing to the National Grid System, injecting 102.5 MW
[/TD]
[TD="width: 84"]
2007​
[/TD]

[TD="width: 44"]
2
[/TD]
[TD="width: 178"] Tegeta 45MW Gas Based Power Plant
[/TD]
[TD="width: 180"] Government of United Republic of Tanzania (GoT) (50%)
and The Government of the Kingdom of the Netherlands under ORET/MILIEV program (50%)
[/TD]
[TD="width: 198"] Tegeta, Kinondoni District, Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, Connected to the National Grid through Kunduchi substation, Contributing 42 MW of firm capacity.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]

[TD="width: 44"]
3
[/TD]
[TD="width: 178"] Musoma - Nyamongo 132 kV Transmission line
[/TD]
[TD="width: 180"] Tanzania Electric Supply Company Limited & PANGEA
[/TD]
[TD="width: 198"] Musoma (Rural & Urban) Rorya and Tarime Districts
[/TD]
[TD="width: 222"] Project involves construction of 132 kV line from Musoma, electrification to Rural & Urban) Rorya and Tarime Districts and supply power to North Mara Gold Mine.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]

[TD="width: 44"]
4
[/TD]
[TD="width: 178"] Shinyanga - Buzwagi Gold Mine 220 kV Transmission Line

[/TD]
[TD="width: 180"] Tanzania Electric Supply Company Limited & PANGEA
[/TD]
[TD="width: 198"] Shinyanga and Kahama (Buzwagi) Districts
[/TD]
[TD="width: 222"] Project involves construction of 220 kV line from Shinyanga to Kahama and power supply to Buzwagi Gold Mine.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]
Government Funded - Ongoing Projects

[TD="width: 142"] New 100 MW Gas Based Power Plant at Ubungo, Dar es Salaam – New
[/TD]
[TD="width: 198"] Government of United Republic of Tanzania (GoT)
[/TD]
[TD="width: 180"] Ubungo, Ilala District - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to increase generation capacity in the grid network, will be connected to the National Grid Control Center (GCC) at Ubungo, Dar es Salaam.
[/TD]
[TD="width: 120"]
2011​
[/TD]

[TD="width: 44"]
3
[/TD]
[TD="width: 142"] New 60 MW Heavy Fuel Oil Based (HFO) Power Plant at Nyakato, Mwanza – New
[/TD]
[TD="width: 198"]
Government of United Republic of Tanzania (GoT)
[/TD]
[TD="width: 180"] Nyakato, Mwanza region
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate 60 MW power using Heavy Fuel Oil (HFO) to increase generation capacity for in the grid network. This will also serve as base load in northern regions for load supply in the mining areas, will be connected to the National Grid Control at Nyakato substation, Mwanza.
[/TD]
[TD="width: 120"]
2011​
[/TD]

Donor Funded - Ongoing Projects
9

[TD="width: 152"] 100MW Independent Power Tanzania Limited (IPTL) Power Plant - Conversion
[/TD]
[TD="width: 132"] World Bank - IDA
[/TD]
[TD="width: 198"] Tegeta, Kinondoni District, Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 198"] To convert 100 MW IPTL plant from using expensive Heavy Fuel Oil (HFO) to using cheap natural gas.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2011​
[/TD]

[TD="width: 36"]
10
[/TD]
[TD="width: 152"] Kinyerezi 240MW Gas Based Power Plant – New
[/TD]
[TD="width: 132"] African Development Bank (AfDB),
Tanzania Electric Supply Company Limited
[/TD]
[TD="width: 198"] Kinyerezi, Temeke District - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 198"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 240 MW.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2013​
[/TD]

[TD="width: 36"]
11
[/TD]
[TD="width: 152"] Rumakali hydropower Plant - 222 MW (Expression of Interest - EoI)/ RFP
[/TD]
[TD="width: 132"] Word Bank
International Development Agency (IDA) Funds
[/TD]
[TD="width: 198"] Makete District, Iringa region
[/TD]
[TD="width: 198"] To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 222 MW.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2018​
[/TD]
 
First off, Obama is not the gold standard, this applies to him as well.

Splendid!

But as Jasusi said, Obama has maintained a balance between solving the problems and putting things in perspective, and I would agree with Jasusi that he is not retorting his critics enough by underlining the origins of the current issues.

Nah...to me he suffers from 'blame everything on Bush syndrome'.

The difference between Obama and Kikwete is that Obama is doing something, and when his critics are hammering him, he reminds them "this is not my doing".

Same difference. Too bad we didn't make Kikwete a one term president as Obama is about be.

Kikwete on the other hand adopts a defeatist attitude, "matatizo nimeyakuta" "haya ni mapenzi ya mungu" "siwezi kunyesha mvua".

Sasa kwa nini alitaka urais?

Hapo sina ubishi.

Perry 2012
 
Kiranga,
Too bad wameondoa kile kitufe cha thanks. Ningekugongea mara 5.
 
Kumbuka kipindi cha Kikwete umeme unatumika sana kuliko awamu yoyote ile, makampuni yamezidi, watu wengi sana ambao walikuwa hatumii umeme (wako shamba) wameingia mijini na inabidi watumie umeme, viwanda vimezidi, usambazaji wa umeme hadi vijijini umezidi sana wakati huu. Impact ya kukosa umeme miaka 6 iliyopita sio kama ya sasa hivi. Matumizi ya umeme yamezidi kuliko tunavyowekeza kwenye umeme.

Hii Kikwete anaibadilisha, tueona jinsi alivyowekeza kwenye umeme kwa muda mfupi sana, lakini mitambo ya umeme unayonunua leo sio kama itafika leo hii hii, inabidi ukimbizane na wakati na bahati mbaya sana umeme wetu tuliokuwa tunautegemea ni wa maji na maji ndio ukame.

Umenijibu vizuri sana, swali la Nyongeza kwa kuwa matumizi ya umeme yameongezeka tofauti na zamani na kwa maana hiyo mapato ya serikali pia yameongezeka na mimi naamini kabisa serikali inatakiwa kufanya projection sijui kwa kiswahili nini na ndo maana kuna sensa zinafanyika kujua idadi ya watu na makazi ya hao watu ili huduma za jamii ziendane na ongozeko la watu au na mahitaji ya watu, Kwa nini serikali haikuona kama MW600 hazitoshi kwa kipindi hiki tulichonacho na hata hizo MW300 ambazo hazijaanza kuingia kwenye grid ya Taifa nazo pia hazitatosha hata kama zitaingizwa leo kwenye gridi ya Taifa kama walivyojenga shule za kata(Ingawa shule zote za kata zimejengwa kwa nguvu ya wananchi)?

Kuhusu ukame hiyo naona ni kuhamisha magoli, Naomba ufanunuzi kama ukame umeanza 2007 kwa nini walijenga mitambo ya IPTL?
 
Ubungo,100mw
Tegeta 45mw
Thats only 145mw in the last 5yrs...
Naomba umpigie simu rais akanushe msemo wake wa 300mw in 5yrs.
 
Government Funded - Completed Projects

[TD="width: 44"] S/NO
[/TD]
[TD="width: 178"] PROJECT NAME
[/TD]
[TD="width: 180"]
FINANCIER
[/TD]
[TD="width: 198"] COVERED AREAS/COMPONENT
[/TD]
[TD="width: 222"]
EXPECTED OUTCOME
[/TD]
[TD="width: 84"]
FINISH DATE
[/TD]

[TD="width: 44"]
[/TD]
[TD="width: 556, colspan: 3"] Completed Projects
[/TD]
[TD="width: 222"]
[/TD]
[TD="width: 84"]
[/TD]

[TD="width: 44"]
1
[/TD]
[TD="width: 178"] Ubungo Gas Plant – 102.5 MW
[/TD]
[TD="width: 180"] Government of United Republic of Tanzania
[/TD]
[TD="width: 198"] Ubungo, Ilala district - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, Connected to the National Grid through Grid Control Center (GCC) Contributing to the National Grid System, injecting 102.5 MW
[/TD]
[TD="width: 84"]
2007​
[/TD]

[TD="width: 44"]
2
[/TD]
[TD="width: 178"] Tegeta 45MW Gas Based Power Plant
[/TD]
[TD="width: 180"] Government of United Republic of Tanzania (GoT) (50%)
and The Government of the Kingdom of the Netherlands under ORET/MILIEV program (50%)
[/TD]
[TD="width: 198"] Tegeta, Kinondoni District, Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, Connected to the National Grid through Kunduchi substation, Contributing 42 MW of firm capacity.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]

[TD="width: 44"]
3
[/TD]
[TD="width: 178"] Musoma - Nyamongo 132 kV Transmission line
[/TD]
[TD="width: 180"] Tanzania Electric Supply Company Limited & PANGEA
[/TD]
[TD="width: 198"] Musoma (Rural & Urban) Rorya and Tarime Districts
[/TD]
[TD="width: 222"] Project involves construction of 132 kV line from Musoma, electrification to Rural & Urban) Rorya and Tarime Districts and supply power to North Mara Gold Mine.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]

[TD="width: 44"]
4
[/TD]
[TD="width: 178"] Shinyanga - Buzwagi Gold Mine 220 kV Transmission Line

[/TD]
[TD="width: 180"] Tanzania Electric Supply Company Limited & PANGEA
[/TD]
[TD="width: 198"] Shinyanga and Kahama (Buzwagi) Districts
[/TD]
[TD="width: 222"] Project involves construction of 220 kV line from Shinyanga to Kahama and power supply to Buzwagi Gold Mine.
[/TD]
[TD="width: 84"]
2009​
[/TD]
Government Funded - Ongoing Projects

[TD="width: 142"] New 100 MW Gas Based Power Plant at Ubungo, Dar es Salaam – New
[/TD]
[TD="width: 198"] Government of United Republic of Tanzania (GoT)
[/TD]
[TD="width: 180"] Ubungo, Ilala District - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate power using natural gas to increase generation capacity in the grid network, will be connected to the National Grid Control Center (GCC) at Ubungo, Dar es Salaam.
[/TD]
[TD="width: 120"]
2011​
[/TD]

[TD="width: 44"]
3
[/TD]
[TD="width: 142"] New 60 MW Heavy Fuel Oil Based (HFO) Power Plant at Nyakato, Mwanza – New
[/TD]
[TD="width: 198"]
Government of United Republic of Tanzania (GoT)
[/TD]
[TD="width: 180"] Nyakato, Mwanza region
[/TD]
[TD="width: 222"] To generate 60 MW power using Heavy Fuel Oil (HFO) to increase generation capacity for in the grid network. This will also serve as base load in northern regions for load supply in the mining areas, will be connected to the National Grid Control at Nyakato substation, Mwanza.
[/TD]
[TD="width: 120"]
2011​
[/TD]

Donor Funded - Ongoing Projects
9

[TD="width: 152"] 100MW Independent Power Tanzania Limited (IPTL) Power Plant - Conversion
[/TD]
[TD="width: 132"] World Bank - IDA
[/TD]
[TD="width: 198"] Tegeta, Kinondoni District, Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 198"] To convert 100 MW IPTL plant from using expensive Heavy Fuel Oil (HFO) to using cheap natural gas.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2011​
[/TD]

[TD="width: 36"]
10
[/TD]
[TD="width: 152"] Kinyerezi 240MW Gas Based Power Plant – New
[/TD]
[TD="width: 132"] African Development Bank (AfDB),
Tanzania Electric Supply Company Limited
[/TD]
[TD="width: 198"] Kinyerezi, Temeke District - Dar es Salaam
[/TD]
[TD="width: 198"] To generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 240 MW.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2013​
[/TD]

[TD="width: 36"]
11
[/TD]
[TD="width: 152"] Rumakali hydropower Plant - 222 MW (Expression of Interest - EoI)/ RFP
[/TD]
[TD="width: 132"] Word Bank
International Development Agency (IDA) Funds
[/TD]
[TD="width: 198"] Makete District, Iringa region
[/TD]
[TD="width: 198"] To generate power using Water (Hydro) to meet the growing power demands in Tanzania, will contribute to the National Grid System, injecting 222 MW.
[/TD]
[TD="width: 90"]
2018​
[/TD]

Ukiangalia mradi wa Nyakato wa MW60 ambao ni wa Mafuta mazito, na mradi wa IPTL ambao ni kuibadilisha mitambo badala ya mafuta mazito itumie gas, hapo unashindwa kuelewa kama hawa watu akili zao zinafanya kazi vizuri au ni mambo ya 10%, IPTL iko Tegeta ambapo ni kama 20km kutoka bandarini mmeshindwa kwa sababu ya gharama, leo mnataka mjenge Mwanza ambapo ni zaidi ya 1000km kutoka bandarini kuna nini hapo?

Mradi wa Shinyanga-Buzwagi na mradi wa Musoma-Nyamongo ni miradi ambayo inaenda mgodini lakini Migodi inachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa, na kama kusingekuwa na hiyo migodi huwezi ona mradi huo unajengwa, na afadhali basi wangekuwa wanajenga substation katikati ya miradi ili kuwapatia wananchi wanaopitiwa na hiyo miradi umeme.

Kuna kipindi nilienda mgodi wa Buhemba umeme umefika Buhemba lakini wanavijiji wa njiani wanaangalia nyaya tu zinapita juu, hata miradi ya maji watu wanashuhudia mitaro inachimbwa kwa ajili ya kuweka mabomba tu, wanavijiji hawafaidiki na chochote, kwa hali kama hiyo hata kama kuna hujuma zitafanyika kwenye hiyo miradi wananchi hawezi kuwa walinzi kwa hakika.

Miradi mingi uliyotaja inaongelea kutumia gas, kuna jamaa yangu anafanya PAE anasema gas ya kutosha kwenye reservoir ipo ila namna ya kuisafirisha na itosheleze mitambo yote inayojengwa ndo hamna, hakuna bomba lililojengwa zaidi ya lililopo ambalo tayari limekuwa saturated, mambo ni magumu kuliko unavyofikiria ndugu FF.

Kingine naomba ufafanuzi kwa nini mitambo ya Aggreko ilizimwa?
 
JK amesahau kama aliwahi kuwa Waziri wa Nishati katika nchi hii hii.
Amesahau kuwa alishawahi kuwa waziri wa Fedha katika nchi hii hii.
 
Nchi hiii.. haina wataalam??.. maajabu vitu vya kisayansi twawaachia wanasiasa.. kichekesho
 
JK amesahau kama aliwahi kuwa Waziri wa Nishati katika nchi hii hii.
Amesahau kuwa alishawahi kuwa waziri wa Fedha katika nchi hii hii.

Very good points. Afadhali hata Obama akisema "matatizo nimeyakuta" anamaanisha alivyoingia serikalini alikuwa a newcomer.

Kikwete kakaa serikalini tangu enzi za Mwinyi ambako hatukuwa na matatizo ya umeme, sasa kayakuta lini ?
 
Kikwete kakaa serikalini tangu enzi za Mwinyi ambako hatukuwa na matatizo ya umeme, sasa kayakuta lini ?

Kiranga, ulimaanisha hivyo kweli au umekosea hapo? Manake kumbukumbu zangu zinakinzana kabisa na hicho ulichokiandika hapo. Matatizo ya mgao wa umeme hatukuwa nayo enzi za Mwinyi? Una uhakika?
 
Back
Top Bottom