Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mungu hayupo.Mungu ingilia kati
Bwana teta na wauaji
Mungu hauwezi mziki wa watu wasiojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hayupo.Mungu ingilia kati
Bwana teta na wauaji
Ndio umeandika nini? Hakuna tofauti ya serikali ya Magufuli na ya Samia Katika kulinda raia na mali zao. Serikali zote mbili zimeshindwa kupamba na utekaji wa watu, sasa Magufuli unampa credit ya nini kuhusu utekaji?Kipindi cha awamu ya Tano Mambo Mengi sana yalizungumzwa kuwa My late President anateka na kuua watu na mambo meengi sana yalizungumzwa haya leo hayupo utekaji umekua kwa kiasi kikubwa serikali ipo kimya je ni nani huyo anayewaua na kuteka watu ? Ni Magufuli ama?
Mufugufuli always will be in My heart roho yangu inauma saana kwa haya yanayoendelea
Kifo cha huyu mwamba kimenikumbusha IMRAN KOMBE.Watu waovu sana
Nani atachunguzaUchunguzi ufanyike sheria ichukue mkondo wake,mambo haya ni kulaaniwa vikali na kila mmoja wetu!
AmenKumbukumbu la Torati 28
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
Haya maombi yangu ya Leo kwa SSH,Spika wa Bunge, Watawala wote na Magenge yao ya Utekaji
Wewe pia omba Kwa Imani yakoMungu ameshindwa kuteta na Israel waache kuua watoto na wanawake Wa kipalestina wasiyo na hatia yoyote ndo aje aingilie kati kwa kuteta na Hawa wauaji huku Tanzania? Wakati fulani tutumie akili, maarifa na uwezo aliotupa huyo Mungu kumaliza matatizo yetu. Pengine Mungu ana kazi nyingi za kufanya na yuko bize mno. Watu watachinjwa km Kuku kwa kumsubiri Mungu aingilie Kati.
Ngojea ya kufike nawe utajua kua Hamas walikua sawa kukomboa ardhi yaoUmejufunza eeh kuhusu mihemko kupitia Hamas?
Mkuu sikatai. Uko sahihi kabisa. Ila pamoja na kuwa wapenzi wa CCM, baadhi ni kwa sababu tu hawana la kufanya. Inabidi wamtumikie kafiri ili kupata mradi wao. Unajua mtu unapokuwa kwenye chain kama hiyo kujiondoa ni vigumu. Ukianza wewe, unashughulikiwa na kuondolewa na wezako wanabaki wakijilia. Nakuhakikishia kabisa leo hii kama umma wa kitanzania ukitoka kwa wingi, kuna polisi wengi watu wataacha kuwalinda watawala. Wanachokumbana nacho ni kile kile kinachowatokea wananchi. Kila mmojajapo haridhiki lakini anakuwa mwoga wa kutoka kwanza.Nakuhakikishia asilimia +99% ya polisi wana support CCM.
Police ya Tanzania wako ideologically aligned na CCM na serikali.
Wanaona ni wajibu wao kulinda na kutetea interests za CCM na serikali.
Kule kambini wanapopata mafunzo, aina ya maisha yao wakipata kazi, vitu wanavyosisitizwa wakiwa kazini lengo ni moja kuharibu akili zao wafikirie upande wa serikali na chama tawala tu.
Chunguza.
Wazanzibari ni raia tu...Wazanzibari wanatapatapa, nchi imewashinda wameanza ugaidi
Maombi yako asiyapokee BWANA...Kumbukumbu la Torati 28
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
Haya maombi yangu ya Leo kwa SSH,Spika wa Bunge, Watawala wote na Magenge yao ya Utekaji
Unadandia treni kwa mbele , itakusaga ubongo .
Yaani Mungu ashindwe mziki wa watu aliowaumba mwenyewe?Mungu hayupo.
Mungu hauwezi mziki wa watu wasiojulikana