Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Sasa mbona unang'nga'niza wawe na bidhaa moja tu?!
Bakheresa mwenye bidhaa za juice, ice cream, hotel, unga na media biashara yake sio sustainable ?
Mkuu wapi nimeng'ang'aniza?
Nimekuambia waweke bidhaa zenye soko Kwa wateja wao