Majibu ya Rais Samia Suluhu hata Kama yangekuwa uongo lakini Yanaridhisha

Majibu ya Rais Samia Suluhu hata Kama yangekuwa uongo lakini Yanaridhisha

Ili ukome kushabikia ujinga, aliyekuwekea tozo mshahara wake haukatwi kodi wala hajui bei ya bidhaa sokoni ikoje
Hajui bei ya bidhaa sokoni? Kwamba yeye anapewa bidhaabure?

Juzi hapa kuna mbunge alifafanua kwamba mishahara yao inakatwa kodi,
 
Ukweli halisi unathubutu kuuita uhuni, chadomo jifunzeni kuelewa mambo kwa kina dhana ya ukaidi na ubishi na kujifanya kujua sana kana kwamba mna akili nyingi sana mnajidanganya sana wajukuu zangu tunakuangalieni tu kwa macho yetu manne nyinyi vijana wa Djs na kazi ya Dj ni moja tu kupigisha disco kule mlio wengi mnakata tu mauno.

Rudi kwenye elimu ya watu wazima, huko ujifunze matumizi ya koma na nukta kwanza. Ukifanikiwa hapo, ndio uje uongee na wanaume sasa.
 
Marais waadilifu ni kina nani?? Ni nini kinakuonyesha tulienae sio muadilifu?? Atapatikanaje huyo muadilifu?? Ni lazima huyo muadilifu atoke Chadema??
Ukishaingia madarakani kwa wizi wa kura, automatically ww sio muadilifu.
 
Naungana nawe keama wanaodai Katiba mpya waanze na yanayowagusa watu wengi.

Madai ya Katiba mpya ni dhana potofu ya wanasiasa, wenye uchu wa madaraka, kwa kuamini kuwa itawapa uwanja mpana wa kuingia madarakani.

Kwenye Katiba iliyopo sijaona kifungu kinachominya Demokrasia, Haki na Uhuru nchini. Kama kipo naomba wadai Katiba mpya wakitaje
Sisi Watanzania bado sana. Sijui kwa nini tuna akili hizi?
 
Huu ndio ukweli.

CCM hawaringii polisi wala Tume ya Uchaguzi, wanachoringia ni kuwa na UPINZANI DHAIFU SANA.

Upinzani dhaifu sana, halafu matumizi ya vyombo vya dola yanakuwa makubwa hivi! Je usingekuwa dhaifu si yangetokea mauji ya kimbari?
 
We mpuuzi utajua wapi unaishi kwa shemeji yako? kwa hiyo Ikulu wanatumia mshahara wa Rais?
Tatizo lako ni ujinga! Au upumbavu ndio umekujaa!

Kwa hiyo ulitaka ikulu watumie hela kutoka wapi?

Yani unataka Rais wa nchi atoe hela mfukoni mwake kwa ajili ya kuhudumia Ikulu?

Akili zenu ndio kwamba kaondoka nazo Lisu zote?
 
Katika Rais ambaye sitaweza kumsimulia kwa watoto na wajukuu Basi Ni JPM,huyu alifanya ya kipumbavu katika nchi.,kwani aliteka, alifilisi watu,aliua,alitesa,alifunga, alifanya Kila ovu katika uso wa dunia,alidhurumu haki za wafanyakazi,HAKUNA SHERIA hata moja ilitungwa kwa Nia njema kwa raia wake,lakini mbali ya yote hayo kuyafanya huwa nasema M/MUNGU anasababu za msingi kumtwaa mje wake.Leo mama SSH Anakuja kivingine anauma na kupuliza, madaraja kwa watumishi amepandisha,Ila demokrasia anaanza kuijaribu kuivuruga.SSH wewe Ni mzanzibar wabara tumekupa nafasi ya kutuongoza hivyo usituvurugie nchi kwani hatuna nyumbani zaidi ya tanganyika.mbowe hawezi kuwa Gaidi hivyo tunakuomba aachiwe bila sharti lolote,leo upo madarakani Ila kesho ipo utakapokuwa raia wa kawaida hutaamini macho yako.kifo Cha mwendazake lazima kiwe mawaidha kwako mh SSH.
 
Mkuu umepiga nyundo balaa
 
Wote wanaomsifia Samia ni Kwa sababu ya udini and nothing else , wanajaribu kumkingia kifua agombee tena 2025 japo indicator zinaonyesha worst to come!!! Kama nilimpinga Jiwe , sina cha kumsifia SSH madam Yale ya Maghufuli anayaendeleza Kwa udhabiti zaid
mkuu samahani naomba nikuulize hiviunadhani nani anafaa kuwa rais ambaye unamuonani mkamilifu kabisa ?
 
Back
Top Bottom