IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Mimi binafsi nilihoji toka mwanzo kwamba mnataka katiba mpya ili iweje?Naungana nawe keama wanaodai Katiba mpya waanze na yanayowagusa watu wengi.
Madai ya Katiba mpya ni dhana potofu ya wanasiasa, wenye uchu wa madaraka, kwa kuamini kuwa itawapa uwanja mpana wa kuingia madarakani.
Kwenye Katiba iliyopo sijaona kifungu kinachominya Demokrasia, Haki na Uhuru nchini. Kama kipo naomba wadai Katiba mpya wakitaje
Sijawahi pata majibu toka kwa machadema