PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Fact 📌
Kumbe Wakenya wanaijua Tanzania ndani nje.
Huyo Mheshimiwa ameongea kweli tupu.

Wabunge wa hovyo kabisa wanaojua kutukana tu na kujipendekeza kwa serikali.

Watanzania wanaodai haki wanawaita KENGE!
 
Ajengewe Mnara Wake Huyo Mbunge Hana Makandokando Hata Kitu
Kijani Aibu Yao, Tazama Sasa Wanavyojitwika Majukumu Yasiyo Yao
Wanavuruga Siasa Safi, Wao Ni Vurugu
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kushangilia udhalilisha unaofanywa na taifa la nje; na huu ujinga ambao leo mnaona ni Samia ndio unaowafanya Wakenya mara zote wawe wanawadharau! Leo mtasema Samia au CCM but sooner or later mtakashifiwa na kudharauliwa kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na Samia, serikali, wala polisi kwa sababu kashifa za Wakenya kwa Tanzania hazijaanza leo na wanafanya hivyo kwa sababu Mitanzania wenyewe hamujitambui! Isitoshe, Wakenya wameanza kuwakashifu Watanzania hata kabla ya huyo Mwendazake hajawa rais let alone Samia! Je, kwa muda wote huo ni kwamba wao wapo better?

Hawana u-better wowote kwa sababu kama rushwa kwao imejaa! Utekaji na huko unafanyika kama ardhi ya Samia tu! Ukabila kwao umejaa! Sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na viongozi lakini pamoja na yote, kwavile Wabongo wengi ni wapumbavu, shobo nyingi kwa Wakenya, na wala hamujielewi ndo maana wanaojiona wao ndo superior wakati hawana lolote lile! Huyo Mwangi mwenyewe ni mwezi uliopita tu kachezea huko huko Kenya halafu kuna wajinga mnaamini ndo aje awaletee mabadiliko!! Kuna mpumbavu mwingine katoka kwenye nchi ambayo ina rais kwa takribani miaka 40 sasa huku ukitaka kuiacha nchi kwa mwanae halafu eti huyu nae anajifanya mwanaharakati!
 
Nampongeza Mh. Mbunge kwa kuongea ukweli. Ila ndugu zangu Watanzania, wanaotufanya tudharaulike kiasi hiki ni Wabunge wenu. (Mimi sikupiga kura kwa yeyote ile 2020) Ndo maana nasema "Wabunge wenu"
Naomba kuwasilisha.
 
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi Magufuli haya yote ni matokeo ya uchaguzi wako 2020' ya kuleta vilaza ili kazi yao iwe ni kusifu na kuabudu.
Umetuachia matatizo
 
Point yako ni ipi
 
Tusaidie mzalendo uongo wa mbunge wa kenya ni upi
Kwamba hatuna rasilimali nyingi?
 
Hii statement ni kweli Ama...????
Ujumbe huu ni Msumari mkali Kwa Wabunge wetu.Mi sijaenda Shule lakini hapana asee.
Mtoto angu Asome tuu sio Kwa dharau hizi.
Na wakenya Wana Misimamo mikali.
Ila Kongole kwake.
Maana si Kwa kunyooka Huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…