Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi hao wanatuona sisi wajingaThread 'NIDA: Ruksa kubadili Vitambulisho vilivyoisha muda au vyenye ukomo kwa Tsh. 20,000' NIDA: Ruksa kubadili Vitambulisho vilivyoisha muda au vyenye ukomo kwa Tsh. 20,000
Mi hapo ndio panapo nichanganya, unawekaje expire date kwenye kitambulisho cha Taifa?ID,ina number na hiyo number ndio jina lako ambalo serikali yako imekupa ,sasa itakuaje jina liwe na ukomo?hii ni shithole country yenye ukomo wa jina,ID number unazaliwa nayo na kufa nayo, Tanzania tumechelewa sana ,inabidi tuanze upya na tuanze na watoto wanaozaliwa, kila mtoto kabla hajawa discharged ni lazima awe na birth certificate yenye number, na number hii lazima iongee kwenye systems nzima ya nchi
Nchi ya kidilidiliKila kitu kipo kidili Dili tu
Unataka nikujibu upuuzi?Mpuuzi kweli wewe kwani tunavyo apply vyuo binafsi au tunapoomba visa na scholarship huko nje hatujazi hizo taarifa? In fact hata benki Zina access ya taarifa za NIDA mfano CRDB wamewahi niprintia copy ya NIDA sababu Wana access system ku retrieve taarifa zangu. Sasa kama CRDB Wana access taarifa Kuna Nini Cha ajabu wakapewa private sector kuprint.
Kumbuka hata hiyo mifumo ya NIDA imetengenezwa na kampuni za huko nje na ndio wanafanya hata maintenance ya system. Sasa kama mabeberu wanatutengenezea mifumo ndio sembuse washindwe kuihack kama wanataka taarifa?
Karatas za uchaguzi tu za kuamua Rais tunaprint nje, mitihani ya taifa tunaprint nje, silaha za kivita na ndege za serikali, material ya Noti za BOT zote zinaagizwa nje Tena kwa private companies ndio sembuse kitambulisho tu?
Kama huna unalojua Bora ukae kimya tu.
Vitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire. Narudia tena: vitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire na inabidi mmiliki a-renew apate kipya. Huwezi kumpa mtu kitambulisho anapokuwa na miaka 18 halafu akitumie maisha yake yote. Watu hubadilika sura na data nyingine muhimu.ID,ina number na hiyo number ndio jina lako ambalo serikali yako imekupa ,sasa itakuaje jina liwe na ukomo?hii ni shithole country yenye ukomo wa jina,ID number unazaliwa nayo na kufa nayo, Tanzania tumechelewa sana ,inabidi tuanze upya na tuanze na watoto wanaozaliwa, kila mtoto kabla hajawa discharged ni lazima awe na birth certificate yenye number, na number hii lazima iongee kwenye systems nzima ya nchi
Upumbavu mkubwa, ID ya SA ina time limit?,ID ya Namibia ina time limit?,Botswana nayo?au niendelee na mifano, middle class wa kitanzania wengi ni zeroVitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire. Narudia tena: vitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire na inabidi mmiliki a-renew apate kipya. Huwezi kumpa mtu kitambulisho anapokuwa na miaka 18 halafu akitumie maisha yake yote. Watu hubadilika sura na data nyingine muhimu.
Hasira za nini? Naanza ya ID ya GermanyUpumbavu mkubwa, ID ya SA ina time limit?,ID ya Namibia ina time limit?,Botswana nayo?au niendelee na mifano, middle class wa kitanzania wengi ni zero
Vp nasikia leo wageni waalikwa bungeni ni mondi na majizoView attachment 2626015
SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu vitambulisho vya NIDA ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mhe. Khamis Hamza Khamis
"Je, wale waliopewa namba za NIDA kabla ya tangazo la GN96 ya mwaka 2003 vitambulisho vyao vitatoka vikiwa na ukomo au vikiwa havina ukomo"? - Mhe. Janejelly James Ntate
"Je, Serikali imejipangaje kuleta uelewa kwa wananchi ili wajue kwamba vitambulisho vyao ambavyo vimekaribia kuwa na ukomo na ambavyo vina ukomo havitawaathiri ili kupunguza taharuki Iliyo kwa wananchi sasa?" - Mhe. Janejelly James Ntate
"Vitambulisho ambavyo vitakuja baada ya tangazo hili havitakuwa na ukomo. Vitambulisho ambavyo vitakuja na tangazo lilishatoka kabla wataendelea kwa sababu lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi hawakosi huduma za muhimu na vitambulisho vilivyokwisha muda vitaendelea kutumika kuwapatia wananchi huduma mpaka pale Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi itakapotoa maelekezo mengine" - Mhe. Khamis Hamza Khamis
"Wananchi watafikiwa na taaluma, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Waziri ameshatoa tangazo kupitia TV, Radio na Magazeti. Tumeshatoa maelekezo na muda wowote tunaweza kuanza mafunzo kwa Watendaji wote wa NIDA ili waanze kuwafundisha wananchi ili wajue mchanganuo wa kipi kimekwisha ukomo, kipi hakitakwisha ukomo na kipi kitatumika" - Mhe. Khamis Hamza Khamis
Hasira za nini? Naanza ya ID ya Germany
View attachment 2627684
Inatengenezwa mianya ya upigaji hakuna lingineID,ina number na hiyo number ndio jina lako ambalo serikali yako imekupa ,sasa itakuaje jina liwe na ukomo?hii ni shithole country yenye ukomo wa jina,ID number unazaliwa nayo na kufa nayo, Tanzania tumechelewa sana ,inabidi tuanze upya na tuanze na watoto wanaozaliwa, kila mtoto kabla hajawa discharged ni lazima awe na birth certificate yenye number, na number hii lazima iongee kwenye systems nzima ya nchi
Nini kifanyike basi ili kuondokana na dhahama hii?Tanzania hatujawahi kuwa na taasisi za serikali zinazojielewa.
Hivi hii nchi nani atatuokoa jamani dah!Mi hapo ndio panapo nichanganya, unawekaje expire date kwenye kitambulisho cha Taifa?
Faida yake ni nini haswa?