Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

Na hivi vitambulisho vinavyo expire baada ya miaka 10 maana yake ni nini, kwamba mtu ana expire kuwa raia au uraia wenyewe ndo unao expire? wajuvi tieni neno.....
 
kugawa tu hawajamaliza, alaf wanavipa expire date, [emoji23] au wanajua tanzania nzima tunavyo?
 
Mi hapo ndio panapo nichanganya, unawekaje expire date kwenye kitambulisho cha Taifa?

Faida yake ni nini haswa?
 
Unataka nikujibu upuuzi?
 
Vitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire. Narudia tena: vitambulisho vyote duniani vina muda wa ku-expire na inabidi mmiliki a-renew apate kipya. Huwezi kumpa mtu kitambulisho anapokuwa na miaka 18 halafu akitumie maisha yake yote. Watu hubadilika sura na data nyingine muhimu.
 
Upumbavu mkubwa, ID ya SA ina time limit?,ID ya Namibia ina time limit?,Botswana nayo?au niendelee na mifano, middle class wa kitanzania wengi ni zero
 
Upumbavu mkubwa, ID ya SA ina time limit?,ID ya Namibia ina time limit?,Botswana nayo?au niendelee na mifano, middle class wa kitanzania wengi ni zero
Hasira za nini? Naanza ya ID ya Germany
 
Vp nasikia leo wageni waalikwa bungeni ni mondi na majizo

Ova
 
Wengine tuna Manamba tu hata hivyo vy awali hatujui tutavipata link
 
Inatengenezwa mianya ya upigaji hakuna lingine

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Nimepatwa na taharuki leo, nimefika ofisi za serikali nimeambiwa NIDA yangu imekwisha muda wake.

Ni nini msimamo wa serikali kuhusu jambo hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…