Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

Mimi kilichonishangaza!
Nakumbuka wakati wa kuandikisha kitambulisho cha Mpiga Kura kilikuwa kinatoka saa hiyo hiyo! Lakini cha NIDA kinachukua miaka!🤔🤔
Mimi nilipoteza kitambulisho cha NIDA najuta! Ni miaka 4 pamoja na kwamba nililipia na kukamilisha taratibu zote lakini wapi!
 
Mi hapo ndio panapo nichanganya, unawekaje expire date kwenye kitambulisho cha Taifa?

Faida yake ni nini haswa?
Ukitaka kipya wanakutoza elfu 20,
Wanafikiria kukusanya mapato haramu tu,
 
MBONA MAELEKEZO YALIKWISHA TOLEWA KUWA VITAENDELEA KUTUMIKA, MNATAKA MAELEKEZO YAPI TENA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…