chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Nguzo mojaUtaambiwa mpaka aje mtu wa survey.
Jaribu kufanya tathmini mwenyewe nguzo ngapi zinatakiwa.
Kama ni zaidi ya moja, andaa kuanzia laki 5
Maana yake ninanunua nguzo
Nguzo mojaUtaambiwa mpaka aje mtu wa survey.
Jaribu kufanya tathmini mwenyewe nguzo ngapi zinatakiwa.
Kama ni zaidi ya moja, andaa kuanzia laki 5
Katika taasisi za serikali, TANESCO ndiyo taasisi ya hovyo kuliko zoteKwa ufupi ni kuwa wananchi wamechoshwa sana na huduma karibia zote za zinahosiana na taasisi za serikali.
Iringa umeme unakatika kila siku saa moja jioniMAJIBU YA TANESCO KUHUSU CHANGAMOTO ZA WATEJA ZILIZOWASILISHWA KUPITIA JUKWAA LA JAMII FORUMS
View attachment 3610884View attachment 3610885
Habari, Ndugu Mteja. Pole sana. Naomba kuuliza kama upo katika makundi yetu ya WhatsApp? Hua kuna kua na matangazo kuhusu huduma zetu za umeme. Ni rahisi kujua na pia kupata taarifa zaidi kuhusu huduma zetu. Kama haupo tafadhali tuambie alafu tutakutumia link ya group hiyo. ^NMIringa umeme unakatika kila siku saa moja jioni
Sipo kwenye groupHabari, Ndugu Mteja. Pole sana. Naomba kuuliza kama upo katika makundi yetu ya WhatsApp? Hua kuna kua na matangazo kuhusu huduma zetu za umeme. Ni rahisi kujua na pia kupata taarifa zaidi kuhusu huduma zetu. Kama haupo tafadhali tuambie alafu tutakutumia link ya group hiyo. ^NM
MAJIBU YA TANESCO KUHUSU CHANGAMOTO ZA WATEJA ZILIZOWASILISHWA KUPITIA JUKWAA LA JAMII FORUMS
View attachment 3610884View attachment 3610885
Habari, Ndugu Mteja. Pole sana kwa usumbufu ulioupata.Sipo kwenye group
Ila haipiti siku bila umeme kukatika
Habari, Ndugu Mteja. Tunashukuru kwa ujumbe yako. Pia tunakukaribisha kujiunga na makundi yetu ya WhatsApp ili upate taarifa muhimu kwa wakati na pia kutoa taarifa, maoni na mrejesho kuhusu huduma zetu, ili tuendelee kuboresha utoaji wa huduma. ^NMNawashukuru sana TANESCO kwa mrejesho. Kwa upande wangu katika wilaya yangu kila wakitaka kukata umeme lazima wanitumie ujumbe kuwa watakata muda fulani. Ahsanteni sana.
Habari, Ndugu Mteja.Mkoa wa katavi hasa manispaa ya Mpanda umeme unakatika kila siku mida ya saa 11 jioni na saa 2 usiku lakin hatujawahi kuambiwa tatizo ni nini? Tanesco semeni tatizo basi wananchi tujue kwamba katika huo muda kuna