Habari, Ndugu Mteja. Asante sana kwa ujumbe wako, pamoja na mawazo yako. Ni jambo zuri la kufikiria. Naomba tuipokee na kuifanyia kazi kama maoni na mapendekezo. Asante tena. ^NMTANESCO MPO VIZURI SANA ASANTENI KWA HUDUMA ZENU.
NIMEFURAHI SANA UWEPO WENU HUMU JUKWAANI . MI KIJANA AMBAYE NAWEZA FANYA MAAJABU NIKIPATA KIASI CHA SHILINGI MILION MOJA TU NIKAENDELEZA DUKA LANGU LA ELECTRONIC AMBAYO HIO SEKTA INAONGEZA MATUMIZI YA UMEME HAPA NCHINI..
KAMA UMEGUSWA BASI UNAWEZA NICHANGIA
Mnataka location na number za simu? Sina tatizo lolote...Habari, Ndugu Mteja. Pole sana. Unaweza kufafanua changamoto ili tuweze kukusaidia?
Hii ni kwaajili ya kuunganishwa katika group letu la huduma kwa wateja ili usikose taarifa juu ya huduma zetu mbali mbali, na pia kukuwezesha kutoa taarifa ili uhudumiwe kwa uwepesi na haraka.Mnataka location na number za simu? Sina tatizo lolote...
Nipo kwenye group zenu zote...Hii ni kwaajili ya kuunganishwa katika group letu la huduma kwa wateja ili usikose taarifa juu ya huduma zetu mbali mbali, na pia kukuwezesha kutoa taarifa ili uhudumiwe kwa uwepesi na haraka.
Mimi niliunganisha Mother, nguzo moja ilikuwa Laki 3Nguzo moja
Maana yake ninanunua nguzo
Habari The mission 2017, asante kwa kuwasiliana nasi na asante kwa pongezi, tafadhali endelea kufurahia huduma zetu. TANESCO tunayaangaza maisha yako. ^GKHongereni TANESCO kwa ku - respond juu ya changamaoto za wateja wenu wa hapa Jamii Forums.
Ni kweli, sasa nikawa nawaza kuna mfanya kazi gani wa Bongo anaweza kuandika kwa ufasaha kihivi kumbe sio mtuππJamn hili ni robot kumbe...πππππ
Habari Gentlemen_ asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na asante kwa pongezi, tafadhali endelea kufurahia huduma zetu. TANESCO tunayaangaza maisha yako.^FLHongereni kwa response, baadhi ya taasisi zinapaswa kuiga huu utaratibu wenu wa kujibu hoja za Wananchi kwa wakati..
πππ,mshirikishe like wazo lako la duka la electronicπJamn hili ni robot kumbe...πππππ
Habari, Ndugu Mteja.Na hapa Kenyamonta na Iramba wilaya ya serengeti mkoa wa Mara ni kwanini huwa munakatakata huu umeme kila baada ya masaa mawili bila taarifa?
Hii kero ya kuukata na kurudisha, kukata na kurudisha kila wakati bila taarifa imekuwa taabu. hakuna predictability ya kufanya shughuli za maendeleo bila kuwa na uhakika utakatika saa ngapi, kwa muda gani , na utarudi saa ngapi...
Msije kusema ni matengenezo madogo madogo au transforma, mambo hayo yote huwa yanatolewa maelezo kwa wakazi husika...
Mimi changamoto yangu ni kuwa ninadai umeme wa sh 50000 baada ya mita ya mwanzo kuharibika nikawekewa mita mpya, tangu nipeleke maombi nizaidi ya miezi miwili sasa nilifatilia nikaambiwa nisubiri kupigiwa simu mpaka leo kimyaHabari nyachina asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na asante kwa pongezi, tafadhali endelea kufurahia huduma zetu. TANESCO tunayaangaza maisha yako.^FL
Nimemshirikisha umeona alivyojubu.. ahahahha mpaka nimechoka manina zake πππππππ,mshirikishe like wazo lako la duka la electronicπ
Habari makoye sr, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe namba yako ya mita mpya kwa msaada zaidi, ^GKMimi changamoto yangu ni kuwa ninadai umeme wa sh 50000 baada ya mita ya mwanzo kuharibika nikawekewa mita mpya, tangu nipeleke maombi nizaidi ya miezi miwili sasa nilifatilia nikaambiwa nisubiri kupigiwa simu mpaka leo kimya
Namba mpya ni 43036500924 siyo ile niliyotuma mwanzo, samahani kwa usumbufuHabari makoye sr, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe namba yako ya mita mpya kwa msaada zaidi, ^GK
Kwa nini mlifanya uhuni wa kutupandishia nguzo kutoka 27000 hadi laki tatu ndani ya mita 15 wakati biashara ya umeme haina ushindani zaidi yenu?pesa mnazotukamua za wateja wote nchi nzima huwa mnazipeleka wapi?Na kwa nini hamjapunuza bei ya umeme wakati bwa wa la JNHEPP limekamilika na kuwa na umeme wa kutosha hadi kuzidi matumizi?Habari, Ndugu Mteja. Tunashukuru sana kwa maoni yako. Ubarikiwe! ^NM