Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwanini hayupo na mkewe

Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwanini hayupo na mkewe

Itakuwa, maana huyu jamaa huwa haogopi kusema ukweli na hata fununu za kuelekea ukweli, iweje hili hajawa mkweli?
 
Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kuoa Mzungu na kwa nini hayupo na mkewe wakati akihojiwa na Clouds TV, leo Februari 3, 2023

Binafsi ambacho sijapenda ni uvaaji wa hao wanaohoji. Nadhani nia aina fulani ya dharau kwenda kumuhoji mtu mkubwa kama Lissu halafu unavaa kama hao wawili.

CHADEMA simamieni mambo kama haya viongozi wenu wanapohojiwa Erythrocyte
 
Tundu Lisu kawaomba wamuhoji

Usiwapangie namna ya kuvaa
 
Tundu Lisu kawaomba wamuhoji

Usiwapangie namna ya kuvaa
Wakienda kumuhoji Rais au hata Speaker tu unadhani wanaweza kujivalia wanavyotaka na kukaa kwenye kochi kama wanaangalia tamthilia sebuleni kwao?

Heshima lazima itengenezwe. Haya mambo effect yake ni "subtle" haionekani kwa macho ila inaenda kwenye subconscious ya mtazamaji. Imagine wote wangevaa suti hapo, unadhani picha hizo mbili zinafanana?
 
Mambo mengine ni too personal, kuanza kuyajadili ni kujishushia thamani, sioni sababu kwanini tuhangaike kwenda mpaka vyumbani kwa watu. Hata kama wengine watasema Lissu ni kiongozi mkubwa, lakini sio lazima tumfahamu mpaka kinachotokea chumbani kwake.

Itoshe tu kujua ana mke, mambo ya kutofautiana hakuna wasio tofautiana kwenye mahusiano yao.
 
Back
Top Bottom