Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Mkuu unapiga kwenye mshono
 
BALOZI KAWAAMBIA HIVI WATU WOTE NI SAWA HUYO MBOWE SIO SPECIAL WA KUTOKA BILA MAHAKAMA KUMSHUGHULIKIA KAMA WENGINE TU.
Msijidai hamjaelewa
 
Amejibu vizuri kwamba mahakama itaamua madam kafikishwa kizimbani..Niliwahi kuwaambia chadema kwamba ili wazungu wakusapoti lazima serikali iliyoko madarakani wawe wanatofautiana interest kinyume chake mtahangaika bure
 
Amejibu vizuri kwamba mahakama itaamua madam kafikishwa kizimbani..Niliwahi kuwaambia chadema kwamba ili wazungu wakusapoti lazima serikali iliyoko madarakani wawe wanatofautiana interest kinyume chake mtahangaika bure
watafute nchi nyingine sasa waende ubalozi wao, marekani washawapiga chini.
 
Wewe ni mpuuzi na mjinga.
Ni mara ngapi watu wamekimbilia ubalozi wa marekani?

Unashoboka na liujinga kama mwendazake
Hey!!! mbona hasira?

Vipi, mlisikilizwa na baba yenu Us pale ubalozini?

zungumia hili kwanza we binti
 
Amejibu vizuri kwamba mahakama itaamua madam kafikishwa kizimbani..Niliwahi kuwaambia chadema kwamba ili wazungu wakusapoti lazima serikali iliyoko madarakani wawe wanatofautiana interest kinyume chake mtahangaika bure
CDM ni sikio la kufa wanaharibu kusudi wakitegemea mabeberu wawatetee,most of time hutumia kugombana na serikali na jela na kusahau kujenga chama hadi uchaguzi ukifika wanalia Lia kuchezewa.
 

Utukanwe kwa lipi, labda kama unajustukia ulichosema. Hapa tutakupa ukweli wako. Ni kawaida unapofanyiwa uonevu kutafuta namna ya kuondoa huo uonevu, na kwenda kwenye ubalozi ni sehemu tu ya kujiondoa kwenye uonevu. Na inabidi cdm watumie mbinu za aina hiyo mara kwa mara.

ACT wameingizwa mkenge na ccm mambo ya serikali ya umoja wa kitaifa, kuwa waachane na zile mbinu za Maalim Seif kwenda ulaya kushitaki. Mbona bado wanaporwa uchaguzi na ccm, na hata juzi wamejitoa kwenye uchaguzi? Unataka cdm waende mahakamani kujitetea, unakwenda kujitetea kwenye mahakama kuhusu kesi ya kubambikiwa, wakati rais ana maamuzi kwa mahakama, na anaweza kuagiza hukumu iweje!

Nukueleze kitu mkuu, ccm imeshapoteza ushawishi kwa umma, Maguvu pekee yake ndio silaha yao. Ni vyema ungewashauri ccm yako kwamba wakati ni ukuta, hawawezi kupendwa kwa kushurutisha tena. Na hivyo vyombo vya ulinzi, ni vyema mngetoa hao wazee wenye mbinu za karne iliyopita ya kina Mahita ya kubambikizia kesi maana hazilipi bali mnajichoresha tu.
 
Ujumbe umefika vizuri
 
MWALA unaonyesha ni kiasi gani ulivyo bwabwa yaani siku zote hizo anazunguka washindwe kumkamata kweli? kuwa serious basi hata kidogo hata kama unapakuliwa huko nyuma usipoteze akili mbwa wewe
nilijua tu mtakuja vindezi vya LUMUMBA na vibwakobwako vyenu SHWAINNN NYIE 🐖🐖🐖🐖 mlimfatilia lakini mlichemsha mpaka mkalazimishwa mumsindikize na apande ndege asafiri bila kuguswa na vikenge ndezi nyie vya lumumba..



we lofa wa lumumba SIKILIZA WANAUME WANAONGEA HAPA
 
BALOZI KAWAAMBIA HIVI WATU WOTE NI SAWA HUYO MBOWE SIO SPECIAL WA KUTOKA BILA MAHAKAMA KUMSHUGHULIKIA KAMA WENGINE TU.
Msijidai hamjaelewa
bora umewaambia hawajaelewa hawo
 
Ujumbe umefika vizuri
Hapo walikuwa wanapitisha tu.Ujumbe upo mbali sana,watu tusijitoe ufahamu.USA embassy wapo nyuma ya Bawacha ili hamtawaona kwa mfumo wetu na mipaka ya Diplomat.
 
Wito kautoa baada ya barua ya Bawacha? Kama anaandika kingereza kizuri ndiyo itasaidia ubalozi wa Marekani kumtoa Mbowe? Akili za Pro-Chadema bana.
Sasa ulitaka aandike kizaramo?
Wito kama huu hutolewa wanapoona Kuna matukio ya uvunjifu wa haki za amani,sasa atatoa wito wakati hakuna ishu?ishu imetokea,watu wamepaza sauti,polisi ya Dunia ikatoa wito,haki na sheria za nchi zifuatwe,
This has nothing to do with being "a pro Chadema"we are just calling a spade a spade,not a big spoon,
Wakitaka atoke atatoka tu,Kama Lisu alisindikizwa mpaka airport na Balozi hata wasiojurikana wa JPM hawakuweza kufanya kitu.
Hiyo meseji ya ubalozi sio jibu kwa barua ya Bawacha,ni wito kwa serikali.
Eti Katiba sio kipaumbele,tujenge uchumi kwanza!what a rubbish!!tangu 60s mmeshindwa kujenga nchi,nini jipya mtafanya mjenge sasa hv.
 
CHADEMA wamekosa muelekeo hili nililisema jana lakini wafuasi wao wanakaza vichwa tu, niliwaambia kama wakati wanabatizwa kwa moto na JPM hakuna kilichofanywa na USA,EU na wengineo wasahau kabisa awamu hii..."mama" anajali diplomasia na image...JPM alikuwa hana muda anakupiga na anasema nimekupiga utafanya nini, mama yeye anakuonya kabla ya kukupiga, anakupiga kimya kimya na anakupa pole....wanasema don't mistake kindness for weakness🤣
 
Eti Katiba sio kipaumbele,tujenge uchumi kwanza!what a rubbish!!tangu 60s mmeshindwa kujenga nchi,nini jipya mtafanya mjenge sasa hv.
hivi nchi tangu uhuru ilikuwa hivi? baba yako na mama yako siwalikuwa kijijini wanakula na kunya na ng'ombe sehemu mojaangalia sasahivi nchi ilipo inapendeza mnataka mtuletee ujinga wa chadema waturudishe tena nyuma hakuna wa kuwasikiliza hata ha wamarekani wamewaona wajingabarua ndeeeeeeeeefuuuuuuuuu jibu la dharaaaaaaaaaaaauuuuuuuuuu
 
NDEZI TOKA LINI UKAONGEA UKAELEWEKA.?
SIKILIZA WANAUME HAWA SHWAIN WEWE
na kweli umewaona wanaume maana ndiyo wanaokupakuwa huko nyuma unaanzaje kumsifiamwanaume mwenzio kima wewe
 
bawacha naona mmekimbilia kwa mabwana zenu..sleeping with the enemy mkimaliza mnawatuma watu twitter wapost the mzungu wenu anakuja ongea mashudu humu...... hivi yule bwana wenu amsterdam kaishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…