DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.
Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.
Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatizo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.
Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa Rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mimi nkanunue nguo za watoto sikukuu.