Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Baba yangu mzazi alishaniuliza kama mara mbili siku tofauti,ukifa uzikiwe wapi? Duh! Sikutegemea swali kama hilo. Nikamwambia,yani baba unaniuliza kwa umri huu nikifa nizikwe wapi? Akasikia aibu. Siku nyingine akaniuliza Tena,nikamjibu ningekuuliza wewe si ungesema nataka kukuua? Dah! Ametangulia mbele za haki.
 
Umefanya jambo la maana hii hata Mimi hunisaidia kujua aina ya mtu uko naye na kuwa makini zaidi, wakati mwingine unamkorofisha kujua hasira zake ,wengine wakikasirika hufanya vitu vya kijinga inakusaidia kuchuja vimeo.Warning sio kila mda sasa.
 
Hata yeye atakuwa kasema hayo ili kuona reaction yako na usivyo sawa tayari umeshajaa na kufura kama kifutu ukichukulia maneno yake kwa uzito.

Kama ulikuwa unatania basi tambua kuwa naye anatania halafu endelezeni utani wa jadi na kesho mwambie unaongeza mke.
 
Sikulaumu sana mtoa mada japo umezingua na kamwe halitatoka Hilo akilini mwake Hadi unazikwa/kuzikwa kwakwe.

Mimi kipindi naoa nilikuwa na mtoto Tyr. Mama alinambia mwambie kabisa kuwa uliwahi zaa Nje ndo kwanza ana siku2 tu. Huwa nikaituma matumizi Kwa mtoto huyo hajui Wala hajawahi jua akiniuliza na mwambia Huwa hawaniombi Hadi yeye mwenyewe ananishawishi wee tuma tu.

Sasa wewe umeyakanyaga ulipaswa umwambie na mtoto unae. Cha kufanya hiyo mirathi yenu andika majina ya Watoto ama mama Yako. Utakufa kama sio Leo jioni basi kesho kutwa. Asubhi na mapema!!
 
Utani uliomtania ni sawa na yeye aje kukwambia kuwa mtoto wenu mmoja wewe siyo baba yake.

Kwahiyo kuna utani haufai, alafu katika viumbe ambao huwa hawasahau vitu haraka ni wanawake unaweza kufanya kitu kidogo kama utani ikamkera ila asiseme lakini akakasirika na akakaa na hilo jambo miaka mingi sana siku akija kukukumbusha we mwenyewe utakua umesahau kama ulishawahi kumfanyia hicho kitu.

Kwa huo utani Hadi hapo kuna kiwango flani cha uaminifu na upendo tayari kimeshaondoka kwenye hiyo ndoa
 
Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
Siku nyingine tumia akili au fikiri kabla ya kufanya jambo inshort mizaha yako inaenda kubadili namna zima ya maisha ya familia yako.
Muombe msamaha kwa utulivu na umwambie ulimdanganya na utarudia kumdanganya tena.
 
Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
Anajuaje utaanza wewe kufariki ? Wanawake wako selfish sana
 
Hizi hadithi zenu mnatunga kila siku zinatukosesha muda wa kujadili mambo ya msingi...
Au pengine tushauri JF, waweke Sehemu ya hadithi muwe mna weka huko au mpeleke Face Book
Tunachoshwa na hadithi nyingine hazina hata uhalisia....
 
Kuna Wanawake huwa wanaamini ataanza kufa mwanaume, wameamini mpaka kufikia hatua ya kupanga kabisa baada ya kifo chako ni nini kifuate. Sijajua ni nini huwasababisha kujiamini kwa kiwango hichi mpaka unaweza dhani Wao ndo wauaji.
 
Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
anajua wewe lazima utatangulia kufa. kila akilala anajua kuna siku tu atakuzika umwachie msala.
 
Ulichomwambia ndio ukweli wenyewe na yeye alichosema ni sahihi kabisa. Nilichokiona kwako, mna mgogoro wa kindoa na mkeo na mkeo mara nyingi inaonekana kakutuhumu kutoka nje ya ndoa au inawezekana kafanya uchunguzi wake kimyakimya na kujua wewe sio mwaminifu. Mbaya zaidi, mtego uliotega umekutega mwenyewe ndio maana ulipomwambia una mtoto nje ya ndoa hakuonekana kushtuka ila alichofanya ni kujilinda yeye pamoja na watoto wake.

Hofu aliyonayo sasa hivi mkeo ni wewe kushindwa kuihudumia familia ndio maana anaona ni bora hela zihudumie familia. inawezekana ndugu kuhudumia familia ni mgumu na mwenzako amejiuliza sana tatizo ni nini lakini umemfungukia una mtoto hapo hatokuamini kamwe. Hujafanya utani ila umefanya jambo la kujiabisha sana.
 
Subiri malipo ya Kimya kimya.
Na kingine umeleta ushindani ndani ya Familia
Huyo mke sasa hivi, maji mara moja tu ukitongozwa chap kavua Chup
 
Wanawake wote huwa wanajua mwanaume ndio ata tangulia kufa .kuna mda huwa na mwambia wife nikifa utafanya hichi na hichi . ki ukwel uwa ana hofu sana hataki kusikia niki ongelea hizo habari ana ogopa nisipo kuwepo duniani
 
Back
Top Bottom