Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
Huo moto unatakiwa uuzime mwenyewe sI ajabu hata mgodi huchimbi, unacheza na hisia za watu

You started you have to finish
 
Hapo unaweza kumuhukumu bure mkeo lakini anaweza kuwa ana haki kwa asilimia kubwa kwa maana ishitoshe mali mmechuma wote na amekuwa na wewe bega kwa bega kuhakikisha familia ake inajipata alafu uanze tu kusema una mtot😀😀
Bro ngoja nikukumbushe siku zote mwanamke anaamini utakufa wewe kabla yake hvo ni vyema aweke mazingira sawa na huo ndio ukweli wake na ndio moyo wake ulupo sasa chagua.
Uendelee kumuamini au uanze kumuamini mama ako mzazi.
 
Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
Katika jambo ambalo linaweza kukufanya uishi kwa amani katika ndoa yako ni pamoja na kuijua saikolojia ya mwanamke mapema sana,hutapata shida,wala hutaona ni mtu wa ajabu,maana usipojua hilo unaweza kufika mahali ukasema huyu mbona yuko hivi,wakati hivyo ndivyo alivyo,ni kuomba tu Mungu akupe hekima ili uishi nae kwa amani...
 
Back
Top Bottom