Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Sina mtoto,nilikua nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikua sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatzo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mm nkanunue nguo za watoto sikukuu.
We ndo tatizo
 
We si unajifanya unafanya PRANK sioo ??🤣🤣komaa nayo hiyo
 
Hapo kwenye mirathi ndio penye tatizo,Kwa hiyo kauli anaamini wewe ndio utatangulia kufa kabla yake na kama unachelewa kufa basi atakuua.
 
😂Mirathi,
Hapo anajua utakufa wewe kwanza umuache yeye😂😂
Na ndio ukweli wenyewe huo, haupingiki.
My take, wanaume inatakiwa tuwe na packge yetu ya maisha, kwa sababu hatuishi umri sawa na wake zetu. Japokuwa nao pia wakiwa wajane hawaishi tena maisha ya furaha, nasikia huwa wanakumbuka na kutamani hadi makofi waliyopigwa na marehemu waume zao.
 
Wanawake wote wanajiona wao ni Mungu kuwa lazima wanaume tuanze kufa.
Sio wanajiona ni obvious ipo hivyo, wanaume tunafanya kazi kwenye mazingira hatarishi sana ndo maana kifo hatuko nacho mbali.
Wanawake wameisoma hiyo scenario, wanatembea na biti tu sasa hivi.
 
Sijui kwanini wanawake muda wote huwa wanatuwazia vifo vya mapema.......

Yaani wao ni kuwaza utaniachaje na watoto......ukifa nitaishi vipi na hawa watoto.........ukiondoka nitapata tabu na watoto.........

Ifikie hatua sasa vifo vyetu wababa majumbani vichunguzwe kabla ya maziko inawezekana tukawa tunaondolewa kimya kimya.....maana haiwezekani mtu umuwazie mwenzio kifo tu kana kwamba yeye ndio mtoa roho........
As long as mwanamke bado anakutegemea in more than 80% lazima awaze sana ukifa ataishije, akifa yeye kwanza hana cha kuwaza maana atakua katua mzigo 🤣
 
Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.

Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina hati). Na nna hela kiasi UTT nibadiki umiliki.

Hoja yake akasema hataki baadae sijui kuwe na matatizo ya mirathi. Aiseeee sikuwaza huko kabisa.

Nimepata wazo huli kushea nanyi sababu jana nmemuambia kuna show ya mwanamziki wa Rwanda israel Mbonyi. Akasema kama show inazidi elfu 50 sitaki uende. Nkasema nna hela yangu nmeitenga. Hiyo hela bora unipe mimi nkanunue nguo za watoto sikukuu.
Amejuaje kama utakuta wewe kwanza?
 
Back
Top Bottom