Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Maana ya Ndoa ni kumuita kwa mbembeleza Mtoto wa watu ukae naye halafu anazaa Ndugu zake halafu akishakaa na ndugu zake wanajipanga kugawana mali zako
Alisikika mlevi mmoja huko Bar
 
kwa majibu hayo anaamini wewe ndiye utakayetangulia mbele ya haki 🤣🤣🤣
 
Tunashukuru kwa kushare

Pole ssna mkuu, hapo anapoongelea mirathi ujue kabisaa akilini mwake ameshapanga kukutanguliza.

Shika moja kichwani
 
Ila wanaume jaman, mie mume wangu katamka kabisa ameza nje na ataendelea na hakuna kitu ntamfanya! Nimeamua kusamehe tu. Mungu anipe nguvu maana sijamuwazia kifo! Ila Najua Mungu hatoniacha hivi hivi....wanaume wanaume wa ndoa tulieni jaman siyo kila shimo ni la kumwagia shahawa
 
Dawa yake na wwe endelea kumzalia hadi watoto 11 team ya mpira hiyo ndiyo atatulia ndani!!
 
As long as mwanamke bado anakutegemea in more than 80% lazima awaze sana ukifa ataishije, akifa yeye kwanza hana cha kuwaza maana atakua katua mzigo 🤣
Kwanini usimuombee maisha marefu mumeo anayekuhudumia badala unawaza tu kifo chake.....??
 
Ndoa zinalalamikiwa sana lkn naamini shida sio ndoa, shida ni waliopo ndoani akili zao zipoje ndio kitu muhimu cha kuzingatia.
Unaamini haya ukiwa kwenye ndoa au nje ya ndoa
 
Daaah😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…