Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Kuna kitu kisheria kinaitwa convincing evidence. Huu ni ushahidi ambao unatumiwa kuthibitisha hasa kwenye kesi za madai,mfano mtu unamdai mtu alafu anakataa kukulipa wewe unaedai lazima uishawishi mahakama kuwa kweli kulikuwa na deni. Na utafanya hivi kwa kuleta vielelezo kuwa kweli una mdai, kama mliandikishina au kuna mtu alisikia kuwa mlikopeshana ikiwa hakuna maandishi.

Nirudi kwenye mada husika, majimbo ya uchaguzi ya Hai na Kigoma mjini kuna ushahidi unaonyesha kuwa yanarudi CCM au kwa ufupi yamesharudi CCM. Hii ni kwa sababu waliokuwa wabunge wa hayo majimbo waliyatelekeza.

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini hana muda kabisa na masuala yayowahusu wananchi wake, muda wote miaka mitano ni kutembea nje za nchi akiiponda Serikali kuwa haifanyi lolote zaidi ya kukandamiza demokraia. Alidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi. Yeye alitaka watoto wote jimboni kwake na Tanzania wawe wanasoma kama vile shule ni kliniki na wodi za wazazi.

Aliyekuwa Mbunge wa Hai yeye ndio alitelekeza jimbo kabisa hadi wananchi walishamsahau na hata alipofanya mkutano aliishia kuzomewa. Muda mwingi anaumalizia kwenye masuala yake.Na kashfa zinazomuandama ndio wananchi wamemdharau kabisa. Anatuhumiwa kukwapua zaidi ya bil 8 za CHADEMA na hii shutuma ndio imemchafua kabisa,ukijumlisha na kizaa cha kuumia akiwa anatoka kula bata ndio kwisha kabisa.

Kwa hiyo ni dhahiri kabisa kwa namna wabunge hawa walivyoyatelekeza majimbo yao kwa muda mrefu,kuna ushahidi unaotia ushawishi kuwa tayari hawarudi bungeni,ndio maana wadadisi wa mambo wansema itakuwa ni kijani tu mjengoni.
Kwa aliyekuwa mbunge wa Hai, siyo tu kuna convincing evidence bali it is obvious hatarudi bungeni kwani tayari amesalimu amri na kuamua kugombea uraisi badala ya ubunge. Anajua fika urais hawezi kushinda.
 
Kwa mitandaoni tu, thubutu yako!! CCM haifui dafu Mbele ya wapiga Kura mitandaoni, lakini huko ambako uchaguzi unafanyika Kwa uhalisia wake ukiachana na mitandaoni, Wewe Nani kama wale Jamaa? Huko ndio huwa wanashinda haswaaa!!

Wewe Endelea kupiga Kura yako mitandaoni, wenzio wanafanya kweli!
Dogo mambo mengine unajidhalilisha hivi watumishi wa NEC Tanzania haturuhusiwi kujiunga humu JF?
 
Tusubiri Sanduku la kura, Ndio litaamua nani awe mbunge na nani asiwe mbunge, binafsi naamini Upinzani utazidi kuchukua viti zaid katika Bunge lijalo.
 
Dola ndo inayoshinda. CCM (RIP) kilishakufa tangu 2015.
 
Matusi hayasaidii,uchaguzi umekaribia.

Fanya kazi Mkuu Magufuli anakula Jokate , Zitto anakula Halima Bulembo, Mbowe anakula Joyce Mukya ... Wewe unapumzikia mtaa wa Fisi sinza ...wanasiasa sio wenzako elfu 7 nindogo sana .
 
Magufuli mwenyewe anamashaka kuwa kama hatatumia vema Dola, NEC na wakurugenzi ndio utakuwa mwisho wake we unatulelea ngonjera hapa?
Nchi hii bora kuwaomba NATO kufanya kama Libya iwapo CCM haitaki kuheshimu uchaguzi na kulazimisha watakavyo.
Wao wana polisi na jeshi sasa wasio na hayo watasaidiwa na nani? Acha waje tuu NATO or else!
Natamani NATO waje hata .....sho
 
Kuna kitu kisheria kinaitwa convincing evidence. Huu ni ushahidi ambao unatumiwa kuthibitisha hasa kwenye kesi za madai,mfano mtu unamdai mtu alafu anakataa kukulipa wewe unaedai lazima uishawishi mahakama kuwa kweli kulikuwa na deni. Na utafanya hivi kwa kuleta vielelezo kuwa kweli una mdai, kama mliandikishina au kuna mtu alisikia kuwa mlikopeshana ikiwa hakuna maandishi.

Nirudi kwenye mada husika, majimbo ya uchaguzi ya Hai na Kigoma mjini kuna ushahidi unaonyesha kuwa yanarudi CCM au kwa ufupi yamesharudi CCM. Hii ni kwa sababu waliokuwa wabunge wa hayo majimbo waliyatelekeza.

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini hana muda kabisa na masuala yayowahusu wananchi wake, muda wote miaka mitano ni kutembea nje za nchi akiiponda Serikali kuwa haifanyi lolote zaidi ya kukandamiza demokraia. Alidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi. Yeye alitaka watoto wote jimboni kwake na Tanzania wawe wanasoma kama vile shule ni kliniki na wodi za wazazi.

Aliyekuwa Mbunge wa Hai yeye ndio alitelekeza jimbo kabisa hadi wananchi walishamsahau na hata alipofanya mkutano aliishia kuzomewa. Muda mwingi anaumalizia kwenye masuala yake.Na kashfa zinazomuandama ndio wananchi wamemdharau kabisa. Anatuhumiwa kukwapua zaidi ya bil 8 za CHADEMA na hii shutuma ndio imemchafua kabisa,ukijumlisha na kizaa cha kuumia akiwa anatoka kula bata ndio kwisha kabisa.

Kwa hiyo ni dhahiri kabisa kwa namna wabunge hawa walivyoyatelekeza majimbo yao kwa muda mrefu,kuna ushahidi unaotia ushawishi kuwa tayari hawarudi bungeni,ndio maana wadadisi wa mambo wansema itakuwa ni kijani tu mjengoni.
Mbowe kakutieni mimba mnacheua jina lake tu.
 
Back
Top Bottom