Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Kuna zahanati,shule na vituo vya afya vimekamilika.

Jamaa kakutega maskini hata hukujua na umetumbukia mtegoni.

Na zahanati, shule na vituo vya afya kwa Mbowe havijakamilika? Nani amevijenga? Au unajaribu kusema Mbowe kahujumiwa na wajenzo wa hivo vitu na Ndugai kapendelewa na wajenzi??

Ndio hapa mnashindwa kutushawishi tusio na vyama. Kwa wapinzani, maendeleo hayaletwa na wapinzani lakini wakati huo huo palipo na miradi mnasema ni Ilani ya CCM.

Guys, you cannot have it both ways!!
 
Mbowe amewatelekeza wananchi wake,hajui hata shida zao. Mimi najua namna Msukuma alivyopambana kusaidia jimbo lake. Muulize hata Waziri Jaffo,kupata zahanati na vituo vya afya na hospital palikuwa mpaka panachimbika. Msukuma alishawekwa lockup kwa ajili ya wananchi wake. Kwa hiyo hajanitega kitu. Point hapa ni kuwatelekeza. Na huyo jamaa yako aliuliza kile nilichomjibu. We unajua jimbo la Msukuma lilivokuwa miaka 5 iliyopita?
 
Ukiangalia 2015-2020 yaliyofanyika Kisarawe kwa Jaffo, halafu nenda Mkuranga kwa Ulega nikiitazama na Rorya ya Airo naona TANZANIA si MOJA.
 
Alidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi.
Ni wajibu wake kwa taifa kama mbunge? Wewe ulitaka asipeleke wakati na yeye alikuwa na benefit of dought katika jambo hilo? Halafu zile ni levels tu za ufanyaji siasa. Kama una wabunge mambumbumbu lazima waone alichofanya sio wajibu wake ila alikuwa sahihi na ndio maana jamhuri imeshindwa kumfungulia mashtaka ya kuisaliti nchi
 
Mwaka huu kutakuwa hamna uchaguzi Bali ni maigizo tuu ukiwa na akili timani usihangaike kupiga kura Magufuli hawezi siasa Magufuli hawezi ushindani. Siasa zitakuja kuonekana 2025 atakapo ondoka ikulu.

Miaka mitano yote kafanya siasa peke yake.
Hahahaaaa . . . .
 
Sanduku ni siri hilo lakwenu sio siri lina mshindi kabla hata tume hajatoa mchakato Aibu yenu washindi
Kuna mgombea wa chama fulani kushinda kabla hata uchaguzi. Inategemea na mazingira. Kama unawatelekeza wananchi wako unategemea nini?
 
Kama wanaenda bungeni na wanachangia sioni kosa lao, kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi bungeni, na sio kujenga barabara, shule au hospitali.
 
Back
Top Bottom