SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwani jimbo la Hai alikuwa anaongoza basha wako?Joyce Mukya ndio unaamka? Nani kamtaja bwana wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani jimbo la Hai alikuwa anaongoza basha wako?Joyce Mukya ndio unaamka? Nani kamtaja bwana wako?
Ngoja nikuache upike. Maana naona umetumwa.Kwani jimbo la Hai alikuwa anaongoza basha wako?
Kuna zahanati,shule na vituo vya afya vimekamilika.
Mbowe amewatelekeza wananchi wake,hajui hata shida zao. Mimi najua namna Msukuma alivyopambana kusaidia jimbo lake. Muulize hata Waziri Jaffo,kupata zahanati na vituo vya afya na hospital palikuwa mpaka panachimbika. Msukuma alishawekwa lockup kwa ajili ya wananchi wake. Kwa hiyo hajanitega kitu. Point hapa ni kuwatelekeza. Na huyo jamaa yako aliuliza kile nilichomjibu. We unajua jimbo la Msukuma lilivokuwa miaka 5 iliyopita?Jamaa kakutega maskini hata hukujua na umetumbukia mtegoni.
Na zahanati, shule na vituo vya afya kwa Mbowe havijakamilika? Nani amevijenga? Au unajaribu kusema Mbowe kahujumiwa na wajenzo wa hivo vitu na Ndugai kapendelewa na wajenzi??
Ndio hapa mnashindwa kutushawishi tusio na vyama. Kwa wapinzani, maendeleo hayaletwa na wapinzani lakini wakati huo huo palipo na miradi mnasema ni Ilani ya CCM.
Guys, you cannot have it both ways!!
Sanduku la kura? Lipi? Acheni unafiki
Sanduku ni siri hilo lakwenu sio siri lina mshindi kabla hata tume hajatoa mchakato Aibu yenu washindiInamaanisha sanduku la kura hulijui ama unajitoa ufaham?
Miaka 10 mingi sana, tofauti ipo vipi?Ukiangalia 2010-2020 yaliyofanyika Kisarawe kwa Jaffo, halafu nenda Mkuranga kwa Ulega nikiitazama na Rorya ya Airo naona TANZANIA si MOJA.
Ni wajibu wake kwa taifa kama mbunge? Wewe ulitaka asipeleke wakati na yeye alikuwa na benefit of dought katika jambo hilo? Halafu zile ni levels tu za ufanyaji siasa. Kama una wabunge mambumbumbu lazima waone alichofanya sio wajibu wake ila alikuwa sahihi na ndio maana jamhuri imeshindwa kumfungulia mashtaka ya kuisaliti nchiAlidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi.
Hebu tuambie mkuu, ni eneo gani kati ya hayo limepiga hatua zaidi?Ukiangalia 2015-2020 yaliyofanyika Kisarawe kwa Jaffo, halafu nenda Mkuranga kwa Ulega nikiitazama na Rorya ya Airo naona TANZANIA si MOJA.
Hahahaaaa . . . .Mwaka huu kutakuwa hamna uchaguzi Bali ni maigizo tuu ukiwa na akili timani usihangaike kupiga kura Magufuli hawezi siasa Magufuli hawezi ushindani. Siasa zitakuja kuonekana 2025 atakapo ondoka ikulu.
Miaka mitano yote kafanya siasa peke yake.
Ni 2015, nilisharekebisha...Miaka 10 mingi sana, tofauti ipo vipi?
Kuna mgombea wa chama fulani kushinda kabla hata uchaguzi. Inategemea na mazingira. Kama unawatelekeza wananchi wako unategemea nini?Sanduku ni siri hilo lakwenu sio siri lina mshindi kabla hata tume hajatoa mchakato Aibu yenu washindi
Sawa tofauti nini? Nchi moja.Ni 2015, nilisharekebisha...
Wewe ni mpiga kura wa Hai?Na kashfa zinazomuandama ndio wananchi wamemdharau kabisa. Anatuhumiwa kukwapua zaidi ya bil 8 za CHADEMA na hii shutuma ndio imemchafua kabisa,ukijumlisha na kizaa cha kuumia akiwa anatoka kula bata ndio kwisha kabisa.
Wapiga kura wa Hai walimzomea mbunge wao sababu alishawatelekeza. Huu ni ushahidi alishapigwa chiniWewe ni mpiga kura wa Hai?
Wale ni kikundi tu kilichoandaliwa na mkuu wa wilayaWapiga kura wa Hai walimzomea mbunge wao sababu alishawatelekeza. Huu ni ushahidi alishapigwa chini
Jipe moyo,hata wazee hawamtaki.Wale ni kikundi tu kilichoandaliwa na mkuu wa wilaya
Hai tunaijua sisi, sio wewe. Nakuhakikishia tu kwamba kama haki itatendeka hamna wa kumshinda MboweJipe moyo,hata wazee hawamtaki.