Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Sasa wa kwetu huyo hata ukijiuliza alichofuata humo ?!. Kusema hasemi, na kuhudhuria kwa nadra na bado elimu ya kupewa post hakuwa nayo. Daahh !!. Na bado jimboni alikuwa anaonekana shujaa kwa umasikini ule. Basi tu hata mungu hatukumkosea ni sisi tu
Jaduong Lameck nae unamlaumu? Au sababu alikuwa CCM?
 
Nimesoma argument zako na jamaa kwenye hoja hii. Nashindwa kukuelewa kidogo . Labda kwa kuwa una usongo na majimbo yaliokuwa chini ya wapinzani wa Ccm.

Hebu nieleze kazi ya mbunge kwenye suala la maendeleo ya wananchi jimboni ?!. Pesa za maendeleo zinatoka wapi na kwa ridhaa ya nani ?!.

Mwisho chaguzi hizi ambazo mheshimiwa anawaapisha watendaji kwa mkwara. Nimejupa gari, mshahara, ofisi, ulinzi nk halafu nione unamtangaza mpinzani wangu !!!. Hizi ni chaguzi za kujivunia na kupiga vigelegele ?!.
Jaduong pesa za maendeleo zinatoka serikalini. Na mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kuhakikisha anakuwa karibu na wananchi na kisha kuibana serikali itatue kero za wananchi.
 
Jaduong pesa za maendeleo zinatoka serikalini. Na mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kuhakikisha anakuwa karibu na wananchi na kisha kuibana serikali itatue kero za wananchi.
Ukilijua hilo, jua ya kuwa nafasi ya mbunge hasa backbenchers ni ndogo sana ktk swala la maendeleo ya Jimbo, unless awe amelamba uteuzi . Tumeyaona na ndiyo yanayoendelea. Na kama huafiki nitajie kwa dhati ni backbencher yupi hata huko Ccm aliyesimamia maendeleo ya maana jimboni especially awamu hii.
 
Sio kama ninaunga mkono. Ninachosema ni kwamba ile ni level tu ya ufanyaji siasa ambayo wabunge wengi wa ccm hawajaizoea na pengine hawana uwezo wa kuifanya coz wengi mambumbumbu tu
Level ya kufanya siasa za kutetea watoto wafanye ngono na kupata mimba,ili waendelee kusoma ndio siasa za wasio mbumbumbu!
 
Ukilijua hilo, jua ya kuwa nafasi ya mbunge hasa backbenchers ni ndogo sana ktk swala la maendeleo ya Jimbo, unless awe amelamba uteuzi . Tumeyaona na ndiyo yanayoendelea. Na kama huafiki nitajie kwa dhati ni backbencher yupi hata huko Ccm aliyesimamia maendeleo ya maana jimboni especially awamu hii.
Mbona tunaona sekta za afya,elimu,miundo mbinu n.k zimeimalishwa kila jimbo bila kujali huyu ni Waziri au ni mbunge wa kawaida!
 
Back
Top Bottom