Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #21
Msukuma amesaidia kupatikana hospital yenye hadhi ya wilaya huko Nzera. Na masuala mengi tu.Kwani wananchi walioko majimbo ya ccm wamenufaika na nini ebu taja Maendeleo kwenye jimbo la msukuma , aliyekuwa anatetea bangi.
Nzera? Kitambo Sana tangu niweko huko, umenikumbusha mkuu, ndio maeneo yenu nini?Msukuma amesaidia kupatikana hospital yenye hadhi ya wilaya huko Nzera. Na masuala mengi tu.
Nchi hii bora kuwaomba NATO kufanya kama Libya iwapo CCM haitaki kuheshimu uchaguzi na kulazimisha watakavyo.
Msukuma amesaidia kupatikana hospital yenye hadhi ya wilaya huko Nzera. Na masuala mengi tu.
Namuelewesha tu huyu mpinga maendeleo. Ila napafahamu.Nzera? Kitambo Sana tangu niweko huko, umenikumbusha mkuu, ndio maeneo yenu nini?
Matusi hayasaidii,uchaguzi umekaribia.Unabidi ukaze kalio kabla awajakubreak down.
Kwa aliyekuwa mbunge wa Hai, siyo tu kuna convincing evidence bali it is obvious hatarudi bungeni kwani tayari amesalimu amri na kuamua kugombea uraisi badala ya ubunge. Anajua fika urais hawezi kushinda.Kuna kitu kisheria kinaitwa convincing evidence. Huu ni ushahidi ambao unatumiwa kuthibitisha hasa kwenye kesi za madai,mfano mtu unamdai mtu alafu anakataa kukulipa wewe unaedai lazima uishawishi mahakama kuwa kweli kulikuwa na deni. Na utafanya hivi kwa kuleta vielelezo kuwa kweli una mdai, kama mliandikishina au kuna mtu alisikia kuwa mlikopeshana ikiwa hakuna maandishi.
Nirudi kwenye mada husika, majimbo ya uchaguzi ya Hai na Kigoma mjini kuna ushahidi unaonyesha kuwa yanarudi CCM au kwa ufupi yamesharudi CCM. Hii ni kwa sababu waliokuwa wabunge wa hayo majimbo waliyatelekeza.
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini hana muda kabisa na masuala yayowahusu wananchi wake, muda wote miaka mitano ni kutembea nje za nchi akiiponda Serikali kuwa haifanyi lolote zaidi ya kukandamiza demokraia. Alidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi. Yeye alitaka watoto wote jimboni kwake na Tanzania wawe wanasoma kama vile shule ni kliniki na wodi za wazazi.
Aliyekuwa Mbunge wa Hai yeye ndio alitelekeza jimbo kabisa hadi wananchi walishamsahau na hata alipofanya mkutano aliishia kuzomewa. Muda mwingi anaumalizia kwenye masuala yake.Na kashfa zinazomuandama ndio wananchi wamemdharau kabisa. Anatuhumiwa kukwapua zaidi ya bil 8 za CHADEMA na hii shutuma ndio imemchafua kabisa,ukijumlisha na kizaa cha kuumia akiwa anatoka kula bata ndio kwisha kabisa.
Kwa hiyo ni dhahiri kabisa kwa namna wabunge hawa walivyoyatelekeza majimbo yao kwa muda mrefu,kuna ushahidi unaotia ushawishi kuwa tayari hawarudi bungeni,ndio maana wadadisi wa mambo wansema itakuwa ni kijani tu mjengoni.
Dogo mambo mengine unajidhalilisha hivi watumishi wa NEC Tanzania haturuhusiwi kujiunga humu JF?Kwa mitandaoni tu, thubutu yako!! CCM haifui dafu Mbele ya wapiga Kura mitandaoni, lakini huko ambako uchaguzi unafanyika Kwa uhalisia wake ukiachana na mitandaoni, Wewe Nani kama wale Jamaa? Huko ndio huwa wanashinda haswaaa!!
Wewe Endelea kupiga Kura yako mitandaoni, wenzio wanafanya kweli!
Matusi hayasaidii,uchaguzi umekaribia.
Natamani NATO waje hata .....shoMagufuli mwenyewe anamashaka kuwa kama hatatumia vema Dola, NEC na wakurugenzi ndio utakuwa mwisho wake we unatulelea ngonjera hapa?
Nchi hii bora kuwaomba NATO kufanya kama Libya iwapo CCM haitaki kuheshimu uchaguzi na kulazimisha watakavyo.
Wao wana polisi na jeshi sasa wasio na hayo watasaidiwa na nani? Acha waje tuu NATO or else!
Kuna zahanati,shule na vituo vya afya vimekamilika.
Sanduku la kura? Lipi? Acheni unafikiTusubiri Sanduku la kura, Ndio litaamua nani awe mbunge na nani asiwe mbunge, binafsi naamini Upinzani utazidi kuchukua viti zaid katika Bunge lijalo.
Kwa hiyo Siri zote unazo dogo siyo? 😂Dogo mambo mengine unajidhalilisha hivi watumishi wa NEC Tanzania haturuhusiwi kujiunga humu JF?
Kama hamna wahudumu mbona vinafanya kazi?Je hivyo vituo vya afya vina wahudumu au ni majengo tu
Mbowe kakutieni mimba mnacheua jina lake tu.Kuna kitu kisheria kinaitwa convincing evidence. Huu ni ushahidi ambao unatumiwa kuthibitisha hasa kwenye kesi za madai,mfano mtu unamdai mtu alafu anakataa kukulipa wewe unaedai lazima uishawishi mahakama kuwa kweli kulikuwa na deni. Na utafanya hivi kwa kuleta vielelezo kuwa kweli una mdai, kama mliandikishina au kuna mtu alisikia kuwa mlikopeshana ikiwa hakuna maandishi.
Nirudi kwenye mada husika, majimbo ya uchaguzi ya Hai na Kigoma mjini kuna ushahidi unaonyesha kuwa yanarudi CCM au kwa ufupi yamesharudi CCM. Hii ni kwa sababu waliokuwa wabunge wa hayo majimbo waliyatelekeza.
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini hana muda kabisa na masuala yayowahusu wananchi wake, muda wote miaka mitano ni kutembea nje za nchi akiiponda Serikali kuwa haifanyi lolote zaidi ya kukandamiza demokraia. Alidiriki kwenda USA kupeleka WB barua ili Tanzania isipate mkopo wa kuendeleza na kuimarisha elimu bila hata kuwa na hoja za msingi. Yeye alitaka watoto wote jimboni kwake na Tanzania wawe wanasoma kama vile shule ni kliniki na wodi za wazazi.
Aliyekuwa Mbunge wa Hai yeye ndio alitelekeza jimbo kabisa hadi wananchi walishamsahau na hata alipofanya mkutano aliishia kuzomewa. Muda mwingi anaumalizia kwenye masuala yake.Na kashfa zinazomuandama ndio wananchi wamemdharau kabisa. Anatuhumiwa kukwapua zaidi ya bil 8 za CHADEMA na hii shutuma ndio imemchafua kabisa,ukijumlisha na kizaa cha kuumia akiwa anatoka kula bata ndio kwisha kabisa.
Kwa hiyo ni dhahiri kabisa kwa namna wabunge hawa walivyoyatelekeza majimbo yao kwa muda mrefu,kuna ushahidi unaotia ushawishi kuwa tayari hawarudi bungeni,ndio maana wadadisi wa mambo wansema itakuwa ni kijani tu mjengoni.
Joyce Mukya ndio unaamka? Nani kamtaja bwana wako?Mbowe kakutieni mimba mnacheua jina lake tu.