Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Ccm huwa inashinda dodoma pekee kule ndio haiitaji msaada wa polisi.
 
Fanya kazi Mkuu Magufuli anakula Jokate , Zitto anakula Halima Bulembo, Mbowe anakula Joyce Mukya ... Wewe unapumzikia mtaa wa Fisi sinza ...wanasiasa sio wenzako elfu 7 nindogo sana .
Wewe ni mjinga natakiwa nikupuuze.
 
Kwa hiyo hata wewe unaunga mkono shule kugeuzwa wodi za wazazi?
 
Siunaona jamaa wa Hai, alivyoamua kubadili gia angani akijifanya ETI wazee wamemshauri achukue fomu ya kugombea ulahisi??? kichekesho. Kaishasoma mchezo kuwa hakubaliki kwao, awamu hii jimbo kwa kijani FULL STOP
 

Bahati mbaya kwenu ni kuwa hayo majimbo watakayogombea hao uliowataja ndiyo hayo hayo CCM hawatashinda...!!
 
Nimesoma argument zako na jamaa kwenye hoja hii. Nashindwa kukuelewa kidogo . Labda kwa kuwa una usongo na majimbo yaliokuwa chini ya wapinzani wa Ccm.

Hebu nieleze kazi ya mbunge kwenye suala la maendeleo ya wananchi jimboni ?!. Pesa za maendeleo zinatoka wapi na kwa ridhaa ya nani ?!.

Mwisho chaguzi hizi ambazo mheshimiwa anawaapisha watendaji kwa mkwara. Nimejupa gari, mshahara, ofisi, ulinzi nk halafu nione unamtangaza mpinzani wangu !!!. Hizi ni chaguzi za kujivunia na kupiga vigelegele ?!.
 
Ukiangalia 2015-2020 yaliyofanyika Kisarawe kwa Jaffo, halafu nenda Mkuranga kwa Ulega nikiitazama na Rorya ya Airo naona TANZANIA si MOJA.
Sasa wa kwetu huyo hata ukijiuliza alichofuata humo ?!. Kusema hasemi, na kuhudhuria kwa nadra na bado elimu ya kupewa post hakuwa nayo. Daahh !!. Na bado jimboni alikuwa anaonekana shujaa kwa umasikini ule. Basi tu hata mungu hatukumkosea ni sisi tu
 
Mwaka huu kutakuwa hamna uchaguzi Bali ni maigizo tuu ukiwa na akili timani usihangaike kupiga kura Magufuli hawezi siasa Magufuli hawezi ushindani. Siasa zitakuja kuonekana 2025 atakapo ondoka ikulu.

Miaka mitano yote kafanya siasa peke yake.
Anaondoka huyu?Tangia aliposema akiondoka flyovers hazitajengwa,madaraja na New Salander,Busisi-Kigongo,sgr,Stiegler's,mabarabara,kununua madege etc alimaanisha haondoki.Hiyo miradi haitakwisha ndani ya hata katika kipindi hiki cha utawala wake.Ni miradi mikubwa yenye kuhitaji gharama kubwa na kwa vyanzo vyetu vya ndani uwezo huo haupo,hivyo kuichelewesha zaidi. Kwa sababu ya aibu yake hiyo atahakikisha anabaki madarakani ili asipelekwe mahakamani.
Hiyo ndiyo maana wapo tayari kutoa uhai wa binadamu atakayeonekana kwenda kinyume nao iwe ndani ama nje ya lichama lao hill LA kigaidi.
Haiingii akilini kiongozi aseyejali mateso ya RAIA wake anatafuta kuendelea kuwaaminisha kuwa yeye ni Yesu/Kiongozi wa Malaika?Halafu bado kuna Wananchi wanampenda,wanamkubali na kuwa imani naye?Nahisi kama tumeingia kwenye daraja LA mwisho LA mahayawani!!!
 
Jamaa darasa la saba ila nasikia anafuatilia sana na kutekeleza mambo ya maendeleo jimboni kwake kuzidi hata wabunge wenye elimu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…