Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM imeshinda hata kabla ya Uchaguzi mkuu Oktoba 2020

Jaduong Lameck nae unamlaumu? Au sababu alikuwa CCM?
 
Jaduong pesa za maendeleo zinatoka serikalini. Na mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kuhakikisha anakuwa karibu na wananchi na kisha kuibana serikali itatue kero za wananchi.
 
Jaduong pesa za maendeleo zinatoka serikalini. Na mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kuhakikisha anakuwa karibu na wananchi na kisha kuibana serikali itatue kero za wananchi.
Ukilijua hilo, jua ya kuwa nafasi ya mbunge hasa backbenchers ni ndogo sana ktk swala la maendeleo ya Jimbo, unless awe amelamba uteuzi . Tumeyaona na ndiyo yanayoendelea. Na kama huafiki nitajie kwa dhati ni backbencher yupi hata huko Ccm aliyesimamia maendeleo ya maana jimboni especially awamu hii.
 
Kwa hiyo hata wewe unaunga mkono shule kugeuzwa wodi za wazazi?
Sio kama ninaunga mkono. Ninachosema ni kwamba ile ni level tu ya ufanyaji siasa ambayo wabunge wengi wa ccm hawajaizoea na pengine hawana uwezo wa kuifanya coz wengi mambumbumbu tu
 
Sio kama ninaunga mkono. Ninachosema ni kwamba ile ni level tu ya ufanyaji siasa ambayo wabunge wengi wa ccm hawajaizoea na pengine hawana uwezo wa kuifanya coz wengi mambumbumbu tu
Level ya kufanya siasa za kutetea watoto wafanye ngono na kupata mimba,ili waendelee kusoma ndio siasa za wasio mbumbumbu!
 
Mbona tunaona sekta za afya,elimu,miundo mbinu n.k zimeimalishwa kila jimbo bila kujali huyu ni Waziri au ni mbunge wa kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…