Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Kwanini watz hawaelewi maana ya wabunge wa upinzani bungeni kamba ni wabunge muhimu sana
Umuhimu wao nini?. Kususia bunge, kuukataa Bajeti, kutukana serikali?. Aaah labda muhimu Ufipa na kwa wale wapendao ushoga na usagaji. Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Stay blessed.
 
Majimbo uliyoyataja karibu yote yanarudi upinzani. Na kuna mengine mapya ambayo tatakuja kuwa surprise.
 
Shime watanzania tusicheze na maisha yetu. Tuipige chini CCM kila mahala. Huyu dikteta akirudi ikulu tena tumekwisha!

Mange Kimambi aliwahi kutuonya kipindi kile kwamba atatushika pabaya. Na kweli tumeumizwa Sana.
Mange aliwaambia mtokee barabarani nyie mkajificha kwenye uvungu wa kitanda huku mkibonyeza keyboards zenu. Ona sasa.
 
🙄
 
Kwingine sijui ila 8&9 ni never happen
 
Je wajua wako waliotangulia kuandika andiko kama lako miaka iliopita ya uchaguzi na cha ajabu waliosemewa hawahemi wakachukua jimbo
 
Kawe ‘Halima Mdee’ kwa jitihada zake mwenyewe ndio anaenda jipotezea jimbo. CCM walibugi kumpeleka Gwajima.

Ila kwa matusi ya Mdee dhidi ya Magu, watu watamchagua Gwajiboy sio kwa sababu wanamtaka bali hasira anazowapa Mdee kwa kumtukana Magufuli kila akipanda jukwaani.

Mdee angejikita na Gwajima na siasa za Kawe kwenye campaign zake. Magufuli sio size yake hizo kejeli zake kwake ndio zitampa ushindi asiotegemea Gwajima.
 
Endeleeni tu kuwaza ujinga wakati Marekani anafikiria Military options pale mtakapovuka mipaka.
Ccm mtajua hamjui mwaka huu!!
 
Labda wawauwe. Pole sana.
 
Sawa acha tusubiri
 
Ulizia waliowai kujadiliwa kwenye senate yaliwapata nini! America means business this year.
They know JPM is there to stay for his record and what he has achieved so far.

You want me to help you to read between the lines?

He is just replying to what Chinese said in their clear message.
 
They know JPM is there to stay for his record and what he has achieved so far.

You want me to help you to read between the lines?

He is just replying to Chinese Ambassador's message.
Keep on dreaming!! You don’t know USA. For your information JPM is a very potential the Hague remandee in few months to come. And if he insist in rigging this election , very tough sanctions are most likely to cripple him. Wait and see
 
Mange aliwaambia mtokee barabarani nyie mkajificha kwenye uvungu wa kitanda huku mkibonyeza keyboards zenu. Ona sasa.
Sasa Mungu ametupa Tundu Lissu ambae hasemi tu, anaongoza harakati na kwenda frontline huku sisi tukiwa nyuma yake. Ccm mtaita Maji Mmaaa mwaka huu
 
Shime watanzania tusicheze na maisha yetu. Tuipige chini CCM kila mahala. Huyu dikteta akirudi ikulu tena tumekwisha!

Mange Kimambi aliwahi kutuonya kipindi kile kwamba atatushika pabaya. Na kweli tumeumizwa Sana.
Nikisema wananioni mm ni CCM
 
Nahisi ungenielewa ingependeza sana...mimi nimetoa mtazamo wangu,mimi sio CCM ila ni muumini wa mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…