Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Kwani na yeye anaogopa kutekwa
 
Ndio maana kuna juhudi kubwa za mikakati ya wizi kutoka kila taasisi ya dola inayohusika na uchaguzi huu. Tume inafanya kila inachoweza kuhakikisha kunakuwa na mianya ya wizi wa kura. Kila DC, kila DED, vyombo vya usalamana kila mtu kwa nafasi yake wanaangalia namna ya kupata ushindi kwa njia ya uhalifu. Hakuna uchaguzi ambao wizi wa kura uko wazi kama uchaguzi huu. Kuanzia zile engua za wagombea, wengine hata kutekwa nyara ili wasirudishe fomu. Wengine walikata rufaa na bado hadi leo hazijatoka. Kitu kama kutopanga vyama kwa alfabeti kwenye karatasi ya kura ya uraisi na vitu kama hivyo. Kuanzia kuapisha mawakala, tutaona na kusikia mengo. Mawakala kuzuiwa kuingia vituoni, mianya ya kuongeza kura kwenye masanduku, kujumlisha vibaya, kutangaza matokeo ambayo sio, kuwanyima mawakala nakala za matokeo n.k tutaona mizengwe mingi kuanzia sasa.
 

Tafuta hela acha kukaa kuandika ujinga huu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tokea walivyoshinikiza lockdown kwenye kipindi cha corona, niliwaona hawana maana
Kwanini watz hawaelewi maana ya wabunge wa upinzani bungeni kamba ni wabunge muhimu sana
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
jisemee wewe na familia yako na si kusemea wako
 
Unaandika km kijana wa miaka 17, anayekaa kwa dadaake, anasubiri Shem aondoke ndo awashe tv!

Kwa taarifa yako huu uchaguzi c mchezo, Tena Ni do or die....watu wapo tayari kwa lolote jino kwa jino,

Kura hazitaibiwa, zitalindwa na magumashi yote yatathibitiwa kwa nguvu ya umma!!
Subiri muda utafika
 
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Mwaka huu iwe ameshinda Lissu ama kashinda Magufuli lazima tuingie road kuandamana either kwa furaha ama kwa Shari!.Sasa kati ya hao wawili tutajua ni nani kwa furaha na ni nani kwa Shari!.
 
Ujinga na upumbavu hauna gharama.
 
KWA KILIMANJARO NAFIKIRI JIMBO AMBALO CCM WANA UHAKIKA NALO MPAKA SASA NI MOSHI VIJIJINI TU.
TENA BAADA YA KUSAIDIWA NA NEC KUMKATA LUCY NDESAMBURO OWENYA WA CHADEMA KWA MADAI YA KUKOSEA KUJAZA FOMU.
 
Mleta uzi yuko sahihi kuwa ccm inatumia nguvu na sio kura itakayoshinda
Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Kama msipoheshimu maamuzi ya wapiga kura sawa, mnadhani mnakubalika Sana na propaganda zenu za maendeleo uchwara

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Keep on dreaming!! You don’t know USA. For your information JPM is a very potential the Hague remandee in few months to come. And if he insist in rigging this election , very tough sanctions are most likely to cripple him. Wait and see
I know USA very well.
This is the reality, the opposition will not win this year election.
It's the fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…