GE2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM


Utabili wako umetimia mkuu
 
iringa sijasikia bado tarime mabomu now yanalindima...
 
Kama ni kubet mpaka sasa mkeka wangu unapumua
Moshi mjini ✔️
Mbeya mjini ✔️
Hai ✔️
😂😂😂🙌🙌🙌 mkuu japo kwangu ilikuwa ngumu kumeza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…