Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,803
- 2,884
Kila siku tunawaambia ndugu zetu msiwaamini Wabongo kwenye mambo ya kuandamana
naona unamwita Bia yetu aje kutupigia kelele...
Niaje kamandaUnaandika km kijana wa miaka 17, anayekaa kwa dadaake, anasubiri Shem aondoke ndo awashe tv!
Kwa taarifa yako huu uchaguzi c mchezo, Tena Ni do or die....watu wapo tayari kwa lolote jino kwa jino,
Kura hazitaibiwa, zitalindwa na magumashi yote yatathibitiwa kwa nguvu ya umma!!
Subiri muda utafika
Vipi mkuu uko kitaa gani kuwasimesha namba?Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
Vipi nkuu unekimbia Id yako?Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo anayepanga udhalimu huu hiyo tarehe 28 October hataiona
Iringa tupo barabarani hivi sasa..tumetoka Manispaa,tunaandamanairinga sijasikia bado tarime mabomu now yanalindima...
Wahindi walitakiwa kuweka mikeka ya uchaguzi. Ungetusua mkuu!!Kama ni kubet mpaka sasa mkeka wangu unapumua
Moshi mjini [emoji3581]
Mbeya mjini [emoji3581]
Hai [emoji3581]
Nyamagana(mwanza) tunangojea wamtangaze wao na sisi tumtangaze wetuIringa tupo barabarani hivi sasa..tumetoka Manispaa,tunaandamana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji112][emoji112]Naona umeandika hapa kujifurahisha tu. Mahera anatoka jasho hajui awasaidie kwa njia gani, wapiga kura hawataki tena ule ujinga wa zamani mnawaibia kura halafu wanakaa kimya, mwaka huu mtaisoma namba.
samahani mkuu, kama ntakua nje ya mada kukuliza elimu yakoHayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema
Tutawachagua CCM
Baadae waluopitishwa na ccm watalinda favor ,wamchague bwana yule tena term ya tatu na wao kwa kulinda tumbo lao ili waendelee watabadilisha katibaMkiyaruhusu haya Watanzania mmekwisha.
Tunasubiri mwitikio wa majirani zetu kwanza kama watabariki ushindi wa Jiwe, pili jumuia za Afrika na jumuia ya madola pamoja na EU na UN.Baadae waluopitishwa na ccm watalinda favor ,wamchague bwana yule tena term ya tatu na wao kwa kulinda tumbo lao ili waendelee watabadilisha katiba
This is yes,labda USA and allies wafanye very strong intervention ya moja kwa moja