Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani
Hao wakurugenzi wapuuzi wa CCM wala hatuwasikilizi. Narudia tena hakuna muhuni yeyote yule kuanzia waziri mkuu mpaka muhuni wa mwisho kupita kihuni kama walivyofanya. Tutaimba nao kuanzia kesho!
All the best G Sam!
 
Wameshapita sasa mtangaza vifo. Wabunge wa CCM wameshafika 20 mpaka usiku huu.
Hatuwasikilizi hao wehu walioteuliwa ambao walikuwa wakata viuno wa CCM. Hakuna mtu kupita kihuni safari hii! Kawaambie wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Mchana kulikuwa na post mgombea wa chadema Katekwa Sasa inamaana tume haihoji utekaji? Je mbeya akitekwa tulia akson sugu atatangazwa mshindi?
 
*MAJIMBO 18*
*HADI MUDA HUU MAJIMBO HAYA WAGOMBEA WA CCM WAMEPITA BILA KUPINGWA*

1. Misungwi
2. Ruangwa
3. Ushetu
4. Morogoro Mjini
5. Mtama
6. Mvomero
7. Kilosa
8. Gairo
9. Kongwa
10. Namtumbo
11. Kavuu
12. Katavi
13. Morogoro Kusini
14. Chamwino
15. Kondoa
16. Mpwapwa
17. Vwawa
18. Dodoma Mjini

Hiki ni kisulisuli, subirini tufani inakuja Oktoba.
Mkuu,unaweza kutueleza kati ya haya majimbo ni mangapi ambayo wagombea wa CCM walikuwa peke yao 'pure' yahani ambayo wapinzani hawakuenguliwa kwa sababu zozote?.
 
Hatuwasikilizi hao wehu walioteuliwa ambao walikuwa wakata viuno wa CCM. Hakuna mtu kupita kihuni safari hii! Kawaambie wanajitekenya na kucheka wenyewe
Wewe tulishakudharau kila kitu unashindwa tu. Kwenye kutangaza vifo vya corona umeshindwa leo tena ulikuja na ngonjera ya kutekwa kwa wagombea wa saccos nako umeshindwa! Hata hili nalo utashindwa tu!
 
Kwa nini wapite bila kupingwa? Huu ujinga hatutaki kuusikia. Iweje ccm miaka yote wao tu ndio wapite bila kupingwa. Hizo figisu za kijambazi hazikubaliki.
 
CCM hawajapita bila kupingwa,CCM wamepora majimbo bila kupingwa.
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo
Sielewi,Zealand huyu huyu?Mvomero shida ni kubwa.Halimashauri ya Mvomero imeshindwa kabisa ku-deliver kwa wananchi,leo mwenyekiti wake anachaguliwa kuwa mbunge!CCM hamuitakii mema Mvomero na wananchi wake,inatisha sana dah!Yaani kinachotawala ni maslahi na "huyu ni mwenzetu" tu,weledi umetupwa mbali kabisa.
 
Mkuu,unaweza kutueleza kati ya haya majimbo ni mangapi ambayo wagombea wa CCM walikuwa peke yao 'pure' yahani ambayo wapinzani hawakuenguliwa kwa sababu zozote?
Wameenguliwa.awezi kukujibu
 
Hao wakurugenzi wa halmashauri hizo walioendesha uhuni huo wanamjua Tundu Lissu na wakili Kibatala. Wataweza kujibu maswali yao kesi za kupinga ushindi zitakapo anza.
 
Wewe tulishakudharau kila kitu unashindwa tu. Kwenye kutangaza vifo vya corona umeshindwa leo tena ulikuja na ngonjera ya kutekwa kwa wagombea wa saccos nako umeshindwa! Hata hili nalo utashindwa tu!
Yule baada ya kushindwa kumpora fomu mkafunga ofisi kule ukerewe.yani nyie majitu ni mashetani halisi
 
Hao wakurugenzi wapuuzi wa CCM wala hatuwasikilizi. Narudia tena hakuna muhuni yeyote yule kuanzia waziri mkuu mpaka muhuni wa mwisho kupita kihuni kama walivyofanyha. Tutaimba nao kuanzia kesho!
teh teh teh
Hamjiulizi, Mbona Halima Mdee, Sugu, Lema, Msigwa, Mwamba fomu zao hazijakosewa? kwa nini hao?
Biashara mkuu, wameshachukua chao mapema.
Kabla ya mapingamizi, wachunguzeni wagombea wenu kwanza
 
Back
Top Bottom