Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Rashida WanjaraRashida ndio jina gani lakumpa mtoto wa kike 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rashida WanjaraRashida ndio jina gani lakumpa mtoto wa kike 🤣🤣🤣🤣
Wapo wengi tu, Tanzania tuliwahi kuwa na Rashida Wanjara kwenye Miss Tanzania na Marekani wana Rashida Jones ambae actress..,usihofu ni jina kama majina mengine ya kike kama Nyanzala etcRashida ndio jina gani lakumpa mtoto wa kike 🤣🤣🤣🤣
Hili jina la kabula yule muigizaji ameeliharibu sana.Mabula/Kabula
Mayala/ Nyanzala
It dnt even sound romantic kwa kweli.Rashida Wanjara
Well i dnt like it...not ideal for a womanWapo wengi tu, Tanzania tuliwahi kuwa na Rashida Wanjara kwenye Miss Tanzania na Marekani wana Rashida Jones ambae actress..,usihofu ni jina kama majina mengine ya kike kama Nyanzala etc
Hahaa mbona zuri tu, kuna wengine wanaitwa Shida... Hili ndio naona lina shidaIt dnt even sound romantic kwa kweli.
Kati ya hayo kuna jina langu. 😀😀😀Daniel/Daniela
Anthony/Anthonia
Eric/Erica
Henry/Henrica
Evance/Eva
Rashid/Rashida
Mwee mzabzab halina female version wewe. Unadhani mie mjinga kulichagua hilo jina 🤣🤣🤣🤣Mzabzab/Mzabzabina
Rashida wanjara, haujawahi kuwasikia kina Rashida? Wengine wanamodify Rashda
🤣🤣🤣🤣 I see u got a sense of humour😜 a play on words.Hahaa mbona zuri tu, kuna wengine wanaitwa Shida... Hili ndio naona lina shida
Wapo kina MzabzabinaMwee mzabzab halina female version wewe. Unadhani mie mjinga kulichagua hilo jina 🤣🤣🤣🤣
Ndio leo nalisikia hilo jina toka nizaliwe
Sugu/sugunyoPeter Msigwa(ke) /Sugu(me)
Hao wame force tuu kukokotoa jina la kike lakini mzabzab halina female versionWapo kina Mzabzabina