Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hawajali lugha au articulation imekaaje.Huwa wanawapatia tu.Nimekutana na akina Pendo,Gift,Bless ni wanaume.Kiswahili ya kiume
English ya kike
Imani= Faith
Tumaini= hope
Ushindi=winner
Baraka =blessings
Bariki =bless
Una mjua Rashida wanjala wew mzee wa misandambwaRashida ndio jina gani lakumpa mtoto wa kike 🤣🤣🤣🤣
Ni sawa tu, nadhani tu tofauti ni lugha.Wengine hawajali lugha au articulation imekaaje.Huwa wanawapatia tu.Nimekutana na akina Pendo,Gift,Bless ni wanaume.
Simjui ngoja nigugoooo hapaUna mjua Rashida wanjala wew mzee wa misandambwa
Na kuna akina Tumaini wengi tu ni wanawake.Ni sawa tu, nadhani tu tofauti ni lugha.
Lakini inavutia zaidi wa kiume akiitwa Kwa kiswahili na wa kike Kwa English
Mmh sio kwa jina kama SELEMANI😃😃Kila jina la kiume duniani lina counterpart yake ya kike. Majina machache sana yasiyokua na jina lake la kike
NImewahi kuona wa kike kapewa hilo jina. Nikajiuliza na Emilia au Emilio ni la jinsia gani?Hivi Emily ni la kiume au la kike?
Haya majina yananichanganyaga sanaNImewahi kuona wa kike kapewa hilo jina. Nikajiuliza na Emilia au Emilio ni la jinsia gani?